DAUDI GEMBE
Member
- Jan 12, 2011
- 38
- 3
Kaka mm nasoma hapo sina habari na ni member wa cdm tafadhali nijulishe ikoje hiyo
Chanda chema huvishwa pete.Ndugu wana JF, baada ya jana Kamanda Mbowe kufungua Tawi la CDM pale Makumira university, habari nilizozipata sasa hivi ni kwamba Chuo cha uhasibu Arusha nao wako kwenye mazungumzo na uongozi wa CDM Mkoa juu ya uwezekano wa kufungua Tawi lao haraka iwezekanavyo.
Haya sasa mnaona nako tena SAUT nao ndio wenyewe wameamua kuwaita CHADEMA taifa kwenda kufungua tawi huko.Big up CDM shika wanavyuo wote baadaye wape nyenzo waende vijijini, CDM msisahau kuja huku SAUT moto wa huku ni mkubwa kuliko muulizeni Masha atawasimulia.
Kazini kidogo inakua issue kujikita kwenye siasa moja kwa moja ni bora hao wabaki wanachama tu vinginevyo kweli vibarua vitaota nyasi. Chadema wafanye hima kufungua matawi kwenye vyuo vyote kuna jamaa yangu yuko pale Morogoro University of Muslim (MUM) anasema nao wanasubiri kwa hamu hatua hiyo..
Aaaaa wakitaka wachalazwe viboko na mashehe wajaribu!
Well done!!
Well done!!
Kaka mm nasoma hapo sina habari na ni member wa cdm tafadhali nijulishe ikoje hiyo
Kwani nyie hamuwezi kuanzisha tawi lenu hadi msubiri kuanzishiwa.Mbona wengine tupo uhasibu na hatujasikia?
Tunapongeza hilo.Hata hapa St Joseph Songea tungependa kufanya hivo lakini wahindi hawataki kabisa siasa hapa.Ndugu wana JF, baada ya jana Kamanda Mbowe kufungua Tawi la CDM pale Makumira university, habari nilizozipata sasa hivi ni kwamba Chuo cha uhasibu Arusha nao wako kwenye mazungumzo na uongozi wa CDM Mkoa juu ya uwezekano wa kufungua Tawi lao haraka iwezekanavyo.