Baada ya Makumira, Uhasibu Aarusha nao kufungua tawi la CDM

Saharavoice

JF-Expert Member
Aug 30, 2007
3,882
2,374
Ndugu wana JF, baada ya jana Kamanda Mbowe kufungua Tawi la CDM pale Makumira university, habari nilizozipata sasa hivi ni kwamba Chuo cha uhasibu Arusha nao wako kwenye mazungumzo na uongozi wa CDM Mkoa juu ya uwezekano wa kufungua Tawi lao haraka iwezekanavyo.
 
Habari njema.
 
Well done!!
 
Safi sana,
 
Mkuu SV
hizi habari ni za kusisimua. Nahisi kutokwa machozi ya furaha.
Huu moto utaendelea kuwaka..hakuna wa kuuzima!!
 
Ndugu wana JF, baada ya jana Kamanda Mbowe kufungua Tawi la CDM pale Makumira university, habari nilizozipata sasa hivi ni kwamba Chuo cha uhasibu Arusha nao wako kwenye mazungumzo na uongozi wa CDM Mkoa juu ya uwezekano wa kufungua Tawi lao haraka iwezekanavyo.
Big up CDM shika wanavyuo wote baadaye wape nyenzo waende vijijini, CDM msisahau kuja huku SAUT moto wa huku ni mkubwa kuliko muulizeni Masha atawasimulia.
 
nashkuru Mungu saaannaa...manake hicho chuo, wengi wa wanafunzi ni chadema lakini baadhi ya viongozi ni ccm na wanawaharibia chuo sana...mpaka hivi sasa kuna mgogoro mkubwa baina ya wanafunzi na serikali yao.. Viongozi wana kashfa za rushwa, na wengi wa viongozi hawa ni wanachama wa ccm... Nashukuru Mungu sana kama tawi la chadema litafunguliwa hapo... Bigup wanafunzi wa uhasibu..
 
Inatia moyo, maendeleo mazuri. SAUT hongereni nanyi, vuta kamba na jiji la mwanza hakuna kurudi nyuma. Moto huo uendelee Tanzania yote hadi vijijini ambako kuna mtaji wa ccm
 
Hii ni habari njema. Nadhani kuna umuhimu wa kufungua matawi ya CDM hata sehemu za kazini. Kwa vile ni muhimu kuongelea mustakabali wa kitaifa kama masuala ya Katiba, rushwa n.k.
Hapo panatakiwa umakini mkuu vinginevyo vibarua vya watu vitaota nyasi asubuhi!!! Kumbuka code of conduct for public service inakataza siasa kazini. Kama mnatupenda na mnapenda tuendelee kuwaletea vitu laivu tubaki kuwa wanachama /viongozi katika matawi ya mitaani. Vinginevyo wengine hatutaruhusiwa hata kuingia ofisini na tutakuwa watuhumiwa wa kwanza likitokea lolote baya mfano mgomo au kuvuja kwa siri. Nadhani umenipata mkuu
 
He ehe he Waziri ajue mfanyakazi wake yuko Chadema siku inayofuata hauna kazi
 
Back
Top Bottom