Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,638
- 4,182
Mayalla=njaa ya kichwa,kwa kisukuma!
Hivi huwa inchi hii huwa ina utaratibu wa kuchagua watu kwa misingi ya dini zao?NI ZAMU YA RAISI MUISLAMU; PUNGUZA MAPENZI PASCO
Uko makini Mwanabodi,tatizo nnaloliona ni kwamba atapigwa zengwe chamani ukizingatia tayari wamesham-mind,na kwake zengwe litakuwa rahisi sana kwamba Rais hawezi kutoka kanda ya ziwa na particularly kabila hilo hilo mfululizo.labda ukawa wamnyakue halafu tumchague kupitia huko.Wanabodi,
Kabla Magufuli hajawa rais wetu, sisi wengine wenu tulijua tangu mwaka 2014 na tukasema humu!.Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli
Miongoni mwa sifa zilizomuibua Magufuli ni sifa inayoitwa "uthubutu" unreasonably ambayo wengine huita ni udikiteta. Yaani kuachana na mambo ya kufuata sheria, taratibu na kanuni, ndiyo yametufikisha hapa, hawa viongozi wenye "uthubutu" hawahitaji kujua sheria, taratibu na kanuni, zinataka nini, bali hufanya lile linalowezekana,
Ndio maana tukasema humu, japo Magufuli kweli ni dikiteta, Tanzania mahali ilipofika ilimhitaji mtu kama Magufuli na Mwenyeenzi Mungu akaisikia sala yetu, akatupatia Magufuli!.
Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!
Tukija kwa Makonda, muda mfupi baada ya kuteuliwa DC wa Kinondoni, akaonyesha uwezo, hivyo kama ilivyokuwa kwa Magufuli, mwaka 2014 tulisema ni Magufuli, na mwaka 2015 kweli akawa yeye. Vivyo hivyo kwa Makonda akiwa DC, akina sisi tukasema hivi Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
Na kweli haukupita muda akawa!.
Hivyo kwa hii kazi nzuri yote anayoifanya Magufuli, atakapoondoka ile 2025, kama hatamuachia nchi mtu mwenye kufuata nyayo zake, hii kazi nzuri yote ya Magufuli itakuwa ni kazi bure! . Hivyo nimeshauri Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Kwa vile katiba sio Msahafu, 2025 tuibadili katiba Magufuli aendelee indefinitely kama Mugabe, mpaka atakapo choka kabisa na kuwa hawezi tena kwa incapacitation, au tumsubirie Mungu, au Tanzania sasa na sisi tuanze mtindo wa spotting na headhunting na kumfantia grooming huyo headhunted.
Kwa maoni yangu Makonda atatufaa sana kumpokea Magufuli, maana kiukweli huyu Jamaa atatufaa sana kwa sababu ana uthubutu mkubwa zaidi kuliko hata Magufuli. Makonda akimpokea kiukweli kabisa Tanzania itanyooka.
Magufuli pamoja na mazuri yake, naye kama binadamu pia ana madhaifu na mapungufu yake, Vivyo hivyo Makonda pia sio malaika naye ana mapungufu yake, moja ya mapungufu makubwa ya Makonda ni inferiority complex inayopelekea ku practice superiority complex na kujikuta ana over do bila kujijua.
Mfano ni jinsi anavyojikomba komba kwa rais Magufuli mpaka kupindukia, karibu kila jambo lazima amtaje Magufuli tena kwa majina yake yote manne na sifa zake zote nne "Rais Wetu Mpendwa Mheshimiwa Dr. John Pombe Joseph Magufuli" (si mnajua watu wa Kanda yetu kwa kupenda masifa). Makonda lazima afike mahali aonyeshe anaweza kusimama on his own na sio kila wakati kutegemea apron strings za Magufuli.
2025 atatufaa sana. Kwa kuanzia 2020 akalichukue lile jimbo la yule mama pale, au akampumzishe Musukuma na kumshikisha adabu. Atashinda na kupewa moja ya portfolio zenye impact, ili 2025 ampokee Magufuli. Kitendo cha Magufuli kushika nchi, ni dalili ya Tanzania kutenda haki ya wengi wape, yaani wenye haki na uhalali wa kutawala nchi ni wale walio wengi. Baada ya Magufuli aje Makonda, na baada ya hapo kule kule mpaka na wengine wawe ni walio wengi! .
Makonda konyesha uwezo wa uthubutu, jee mnalionaje hili la kwanini asiwe Makonda kumpokea Magufuli?.
Kwa kwa wale mashabiki wa upinzani mtanisamehe bure, kwenye urais upinzani ni bado sana.
Paskali.
Mkuu umeongelea Uthubutu mwanzo mpaka mwisho wa bandiko lako...hiyo ndiyo sifa ya kuwa rais??Wanabodi,

Kwani wewe uliishia darasa la ngapi?Wanabodi,

Uzi usipo usoma unaweza uchukia. lakini umetoa sifa zao zote za kijinga. haaaWanabodi,

Hata ukijikomba vipi huna nafasi ya kufikiriwaWanabodi,

Mkuu mleta uzi kapagawa na ugumu wa maisha ya kitaaMakonda ana kipi special kiasi cha kumuona anafaa?
anza na mwaka wake mmoja wa ukuu wa mkoa ni innovation idea gan iliyowasaidia wananchi zaidi ya siasa za muda mfupi?
Msukuma pia ni msukumaNimependa hapo ulipomalizia. Utasababisha akina Msukuma wamnyonge mzima mzima
Hafai hata kuongoza nyumba kumiPascal hebu jaribu kumuogopa Mungu.
Yaani unamzungumzia Makonda huyu huyu alotupigia mzee wetu Warioba!
kampiga mzee tena jaji na waziri mkuu mstaafu sa unazani atashindwa nini kutukandamiza wanyonge.
Ninjaa tu inamsumbuaWatasema Mayala=Njaa
Tatizo la mleta uzi habebeki maana elimu ni sheeeedaaaaPaskali kwa nyuzi hizi iko namna kuna mtu unamkwepa kiaina baada ya kumtupia bomu la mkono kwenye mkutano pale nyumba nyeupe. Pamoja na hayo bado anakunyatia kimya kimya hivyo kila hatua moja mbele geuka nyuma mara mbili..!!
Operation mtanzania itaanza very soonKwani kuwa Muislamu ni ishu? Si atabadili Dini kama hilo ni muhimu kwako?