Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,308
- 27,084
Hawa wametajirika sasa hawaoni umuhimu wetu wamezingua sanaNgoja upepo upoe, naenda kukomba kila kilicho changu narudi NBC, kitendo cha kutorespond Kwa vilio vya wateja ni dalili ya zereu mithili ya zile za sisiem!
Matawi yake ni machache sana ndo shidaNjoo TCB BANK
Ndo bank ya 3 kwa wingi wa Matawi Tanzania, yaani saiv wapo Tanzania nzima.Matawi yake ni machache sana ndo shida
Nitakurdia nikitoa vijisent vyanguNdo bank ya 3 kwa wingi wa Matawi Tanzania, yaani saiv wapo Tanzania nzima.
Kwa msaada zaidi naweza kukusaidia .
Mjinga tuNsekela si amesema kila kitu kiko shwari Kwa sasa?
SahihiChakua pesa zako weka selcom, Maisha rahisi sana