Baada ya Lowassa kuhama CCM hali ilivyo Monduli

Baada ya Lowassa kuhama CCM hali ilivyo Monduli

Leo nakunywaa bia pakaaaaa....safar ya matumaini imerejeaa

Kunywa pombeka lakini ujue anatafutwa Rais wa Tanzania na si vinginevyo atakayechaguliwa na idadi kubwa ya wananchi na si Rais wa kuchongwa na wachache.
 
babes steph curry mbona sasa hujaniita twende yote,,huoni mama Regina amemsapoti mbebez wake wote team UKAWA!!!

teh teh teh teh ule ndio ubabes wa kweli u know..

Mama Regina jana alitisha sana alafu wale waliokuwa wanasingizia Mama hataki mmewe aende UKAWA akawaua kwa tabasamu na furaha iliyopitiliza pale walipokuwa wanapewa kadi..

Haya karibu na wewe kwenye safari ya uhakika..
 
hadi sasa UKAWA wana uhakika wa kura yangu, ya mume wangu, watoto wangu 8, jumla? utajiju ukikasirika
 
Kunywa pombeka lakini ujue anatafutwa Rais wa Tanzania na si vinginevyo atakayechaguliwa na idadi kubwa ya wananchi na si Rais wa kuchongwa na wachache.

We mchawiiiii...
Lowassa ndio habar ya town
 
Zamani nilikuwa nasikia Yanga wakipata goli wanaimba "CCM-CCM-CCM........ bado wanafanya hivyo?
 
Nnyinda ro meku kunu nfull sherehe Babaaa vandu vakenwa bia kila andu nlowasa aise shekee kunu mwanza

ghaa den babaa wandu wanfughaaa kikasha lowasa akundwa den aiseee..kwamibooo kadi ya kura
 
teh teh teh teh ule ndio ubabes wa kweli u know..

Mama Regina jana alitisha sana alafu wale waliokuwa wanasingizia Mama hataki mmewe aende UKAWA akawaua kwa tabasamu na furaha iliyopitiliza pale walipokuwa wanapewa kadi..

Haya karibu na wewe kwenye safari ya uhakika..
SASA NILETEE KADI YA CDM...NA USISAHAU KUWABEBEA WAKWE ZAKO NA MASHEMEJI..NI MWENDO WA KUPIGA KURA HADI KIELEWEKE!!! UKAWA FOR LIFE MBEBEZ MWAMBIE NAPE aje kuchukua kadi yake au niichanee...
 
SASA NILETEE KADI YA CDM...NA USISAHAU KUWABEBEA WAKWE ZAKO NA MASHEMEJI..NI MWENDO WA KUPIGA KURA HADI KIELEWEKE!!! UKAWA FOR LIFE MBEBEZ MWAMBIE NAPE aje kuchukua kadi yake au niichanee...

Hiyo kadi itie kiberiti... Nimeshuka Arusha asubuhi hii yaani kila kona ni shangwe tu.. Nitaanza kupeleka kadi kwa babu zako pale nikirudi nakuja na yako..

Wale brokers wote pale mtaani kwenu leo wanatoa bia za bure bure tu teh teh
 
Siasa bwana!! Ila nimeona Tanzania watu wengi elimu ya kupambanua mambo ama ni ndogo kutokana na kiwango. Cha elimu au kusudi kutokana na kukumbatia udini au ukabila, na hili lisipoangaliwa litakua janga la taifa letu, mfano mi si mshabiki ila kwa utafiti wangu nimeona wachaga wengi ni chadema, naona ni wapare tu ndio wamejitenganisha, je huu ni ukabila, ujinga au vyote? Na kama nchi hii itaenda kwa mtindo huu si ndio nchi itaenda kumwagika vipande vipande kama unguja na pemba,! Lowassa kaenda cdm nasikia na waarusha nao wanamfuata! Ningeelewa zaidi kama wangekuwa ni wa jimboni kwake tu ! Tufanyeje ili hali hii isiendelee?
ww kweli janga la taifa hebu usiaribie watu raha zao bhana pita na zako
 
Back
Top Bottom