Baada ya Lowassa kuhama CCM hali ilivyo Monduli

Baada ya Lowassa kuhama CCM hali ilivyo Monduli

yaani mie mngoni nnaeshangilia jee..?tena mama angu mkubwa kapita UWT CCM kua mbunge ila mie ndo chadema damu damu![/QUOTE]

Achana nae huyo.Kumbe wewe geniveros ni mngoni?
Yaani huku kwetu ni sherehe tokea jana.
 
Last edited by a moderator:
huyu mzee nampenda sana niliumia sana siku aliyokatwa .
Nashukuru Mungu kuona naungana na 'maadui' zangu huku siasani.
Mkuu hunizidi mimi kabisa, nililia mno.Dah...nobody knows what I went through.
 
Katika watu waliokasirika ni mimi,,,sijui hasira zangu nizitolee wapi?Dahh anyway leo Lowasa anamalizwa watanzania wajue huyu ni mtu wa namna gani.#tukutaneoctober31
Basi tu ni vile wewe ni mtu wangu wa nguvu ila ningekuchana vibaya sana.
CCM imeshakufa, hakuna wa kupambana na UKAWA tena.
 
Wameingia wengi mitini teh teh teh

Hapa atabaki Lizaboni na Ritz peke yao

Hata mie mafuriko yameshanisomba kwenda UKAWA, ngoja tuwaachie lichama lao la kifisadi linalonuka rushwa, laana ya huyu mzee itawatafuna na hawatabaki salama, tumeshaanza kuyasikia tayari, naibu katibu mkuu wao Mwigulu Nchemba anashikiliwa na maafisa wa TAKUKURU kwa mahojiano baada ya kubainika kukiuka sheria za gharama za uchaguzi na sheria za TAKUKURU (kutoa rushwa).
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa halafu kipa ni Kikwete beki ni Magufuli!

ha ha ha beki na kipa wake wanapigwa bao la tobo kiulaiiiiniiiii...

Asante sana baba Lowassa "safari ya matumaini imehamia kwa nguvu ya umma"
 
Hata mie mafuriko yameshanisomba kwenda UKAWA, ngoja tuwaachie lichama lao la kifisadi linalonuka rushwa, laana ya huyu mzee itawatafuna na hawatabaki salama, tumeshaanza kuyasikia tayari, naibu katibu mkuu wao Mwigulu Nchemba anashikiliwa na maafisa wa TAKUKURU kwa mahojiano baada ya kubainika kukiuka sheria za gharama za uchaguzi na sheria za TAKUKURU (kutoa rushwa).
Kumbe huku nako tuko pamoja? Hakika nimefurahi sana.
Tuko pamoja kwenye safari ya matumaini yenye uhakika.
 
Kumbe huku nako tuko pamoja? Hakika nimefurahi sana.
Tuko pamoja kwenye safari ya matumaini yenye uhakika.

Hahaha...niliugua kabisa, sitasahau kile walichotufanyia Dodoma, miss you though uko kimya sana.
 
Hahaha...niliugua kabisa, sitasahau kile walichotufanyia Dodoma, miss you though uko kimya sana.
Mkuu mimi hali ilikua tete kama sio baba yangu kunifariji basi mngekua mnakuja kunisalimia hospital.
Nilikua nahisi kama naota, sitaki kukumbuka zile kejeli Kikwete alizokua anamfanyia Lowassa kwenye ule mkutano mkuu.
Sasa tutamuonesha kwa kujaribu kuzuia chaguo letu wananchi.
 
mtakosea sana kuingiza masuala ya ukanda humu,hii ni Tanzania moja tafadhalini.
 
Tuache kabisa kuhubiri utengano,mkifanya hivyo ni kuonyesha wazi mlivyo wachanga katika game,na mwisho wake si mzuri.
 
Back
Top Bottom