Baada ya kutamba, Taxify wahusishwa na Tuhuma nzito

Sijasikia kuhusu kukamatwa kwao ila tu inasemekana wanapigwa block tu kuhudumia kupitia bolt
Issue ni kuwa hiyo ni police case Ni mteja kwenda police na police wataenda taxify kukusanya taarifa za dereva wao.

Duniani kote Hizi Uber Ni vigumu Sana mtu kufanya uhalifu maana dereva amechukuliwa taarifa zake zote Hadi fingerprint... Hakuna muhalifu wa kufanya uhalifu kwenye mazingira ya wazi namna hiyo.
 
ila bei jamani mpaka huruma muda mwingine unaongeza tu mwenyewe
Mkuu Hakuna dereva anaefanya taxify tu.

Kama umepanda taxi kwa taxify jua kuanzia leo kuwa Huyo dereva anakuwa amewasha Taxify na unakuta Uber ameizima.

Hakuna dereva eti ana taxify tu au Uber tu. Waulize. Wengine unakuta wana mpaka Application 5 sema ndio hivyo inabidi simu yako iwe na RAM nzuri ili isistack hovyo.

Pigia mstari, kuanzia leo jua Hakuna dereva anaendesha taxi akiwa na application moja, kwa maana hiyo dereva wa uber Huyo Huyo ndio wa taxify.

Dereva anaweza kukutoa Mwenge - Tegeta kwa taxify. Na akifika tegeta anazima taxify anawasha Uber. Na anapata mteja kumtoa Tegeta kumleta Mwenge kwa Uber ... Hapo umeona dereva ni mmoja Ila kaendesha abiria kwa kampuni mbili.

Sasa mnaposema madereva wa taxify wako hivi au vile tofauti na Uber ndio nakuwa nashangaa. Madereva wa Uber wako aje
 
natumia bolt na sijawahi pata tatizo lolote, wamesaidia sana maana mwanzo kisehemu toka hap kwenda hapo tu unakuta bei ni ya hatari ila sasa narequest tu chap imeisha, pia uber kubadilikabadilika kwa bei kumefanya tuhamie bolt
 
Umeelewa mada lakini?
 
Binafsi natumia sana Bolt hayo matukio sijawahi kukutana nayo

Ila kwenye mitandao kuna tuhuma zinasambaa kuhusu wateja kuumizwa na madereva

Labda ni kweli au pengine ni aina ya uchafuzi unaotokana na wapinzani wao kibiashara
 
Wapumbavu sana, madereva wote hao kila mtu na kisingizio chake.
Mkuu ata mimi akaona naenda buza kaona hailipi anasema pikipiki yake mbovu eti.

Kutoka mwenge kwenda buza.
Jambo la kushangaza hasemi kabla ya kujua unakoenda,anauliza kwanza unaensa wap? Ukishajibu anatoa kisingizio
 
Big
Issue ni kuwa hiyo ni police case Ni mteja kwenda police na police wataenda taxify kukusanya taarifa za dereva wao.

Duniani kote Hizi Uber Ni vigumu Sana mtu kufanya uhalifu maana dereva amechukuliwa taarifa zake zote Hadi fingerprint... Hakuna muhalifu wa kufanya uhalifu kwenye mazingira ya wazi namna hiyo.
Umeongea point sana mkuu
 
Tabu ya sisi waswahili ni uharibifu, kila jambo zuri likija linaharibiwa, tazama wameleta mabasi ya mwendokasi yamehujumiwa, ukienda Benjamin Mkapa stadium, hivyohivyo, nasubiri kuona SGR
 
Back
Top Bottom