Baada ya kutamba, Taxify wahusishwa na Tuhuma nzito

Tabu ya sisi waswahili ni uharibifu, kila jambo zuri likija linaharibiwa, tazama wameleta mabasi ya mwendokasi yamehujumiwa, ukienda Benjamin Mkapa stadium, hivyohivyo, nasubiri kuona SGR

Ila mbona Uber ipo vizuri bado?
 
Kwa wiki mbili hivi kumekuwa na minong’ono juu ya madereva wanaotoa huduma kupitia Bolt
Tuhuma hizo zinahusisha kujeruhi, kupiga, kutapeli na kunyang’anya abiria mali zao

Pia kupeleka abiria kwenye wrong destination.

Hizi tuhuma zinaweza kuwa ni za kweli ila ikawa ni mipango mikakati ya wapinzani wao kuwamaliza, Baada ya Bolt kutamba sana ndani ya soko.

pia nimewaza pengine ni udogo wa bei unaofanya madereva wanapata pesa kidogo huku wakihitajika kupeleka hesabu kwa maboss na wao kuendesha maisha Yao.hivyo wanajikuta wanaishi kwa msongo wa mawazo na ku overreact kwa wateja!

Je kuna ndugu humu amewahi kukutana na matukio ya kusikitisha kutoka huduma ya Bolt?​

View attachment 1797176
View attachment 1797179

Sijawahi kupigwa lakini madereva wengi ni wezi na hawana lugha nzur wengi wao wameniibia mara nying nauli hasa nikiwa nimeadd trip nikirud kwenye ride history nakuta nauli ni different nikifnya contact na bolt wanaconfirm na pesa yngu inarud
 
Hiz ni habar za uongo mimi natumia bolt kila siku tena usiku wakati wa kutoka job tena natoka KATIKATI ya jiji naenda ununio sijawahi ona wala kusikia hiyo ishu wako smart unaenda unakoenda kwa usalama bila tatizo
 
mimi naona tunasikia upande mmoja ila dereva mmoja wa bolt aliwahi kunieleza kuwa abiria huwa wanakataa kulipa pesa pindi unapomfikisha kituo chake na hapa ndio ugomvi unapoanzaa ni abiria ndio wenye matatizo
 
Kilichonitisha ni ile conversation ya Dereva
 
Hiz ni habar za uongo mimi natumia bolt kila siku tena usiku wakati wa kutoka job tena natoka KATIKATI ya jiji naenda ununio sijawahi ona wala kusikia hiyo ishu wako smart unaenda unakoenda kwa usalama bila tatizo

Natumia Bolt pia changamoto ni kuingia sheli katikati ya safari ila tofauti na hapo sijawahi kupata shida na bolt
 
Back
Top Bottom