Baada ya kutamba, Taxify wahusishwa na Tuhuma nzito

Unasemekana wanascreenshot kwa mteja mwingine anakuonyesha wewe

Mimi nakua siwaulizi mpk nikifka nyumban nishatulia napitia trip moja moja ambayo imezid hata buku tu nilolipa nailiopo kwenye record bac naongea na uber wacheki trip yngu imecost fare shingap km nimeibiwa bac nawambia rudishen pesa yngu na inarud wezi sana madereva wengne
 
Umaskin m'baya jaman
 
ila mbagala mbali jamani halafu inakuja 6000
Mbali inategemea unatoka wapi... Ila kwa kuanzia katikati ya jiji k.koo au posta au temeke..

Aisee mbagala ni karibu kuliko sehemu zingine zoote zinazokuwa kimaendeleo kwa nyakati hizi.

Upanuzi na ujenz wa mwendokasi ndio unafanya uone mbali kutokana na foleni tu.

Ila boko, bunju, madale sijuh mabwepande, sala sala... Chanika, sijuh mbezi mwisho..

Ooya huko ni mbaaaali kiseee
 
Sasa dreva wa bolt si kasajiliwa kwa anuani kamili?
Akifanya ujinga huo maana yake si rahisi kudakwa?
 
Mbali inategemea unatoka wapi... Ila kwa kuanzia katikati ya jiji k.koo au posta au temeke..

Aisee mbagala ni karibu kuliko sehemu zingine zoote zinazokuwa kimaendeleo kwa nyakati hizi.

Upanuzi na ujenz wa mwendokasi ndio unafanya uone mbali kutokana na foleni tu.

Ila boko, bunju, madale sijuh mabwepande, sala sala... Chanika, sijuh mbezi mwisho..

Ooya huko ni mbaaaali kiseee

Very true
 
Ila mbona Uber ipo vizuri bado?
Baadhi ya madereva si waaminifu, kuna mmoja kama lisaa limepita wa Uber baada ya kuita Uber akanipigia simu akaniuliza wapi ulipo na unakwenda wapi, nikamwambia akasema anakuja.

Nikiangalia kwenye App yao sioni akisogea na baada ya dk 5 nikampigia simu akaniambia anakuja lakini hajaonekana na baadae nikampigia simu zaidi ya mara 3 hakuzipokea na ni lisaa likapita nikahamua kuchukua Bajaj.

Huyu anatakiwa nimripotie sasa nimeangalia App yao sioni issue kama hii jinsi ya kumripoti.
 
Kwa wiki mbili hivi kumekuwa na minong’ono juu ya madereva wanaotoa huduma kupitia Bolt
Tuhuma hizo zinahusisha kujeruhi, kupiga, kutapeli na kunyang’anya abiria mali zao

Pia kupeleka abiria kwenye wrong destination.

Hizi tuhuma zinaweza kuwa ni za kweli ila ikawa ni mipango mikakati ya wapinzani wao kuwamaliza, Baada ya Bolt kutamba sana ndani ya soko.

pia nimewaza pengine ni udogo wa bei unaofanya madereva wanapata pesa kidogo huku wakihitajika kupeleka hesabu kwa maboss na wao kuendesha maisha Yao.hivyo wanajikuta wanaishi kwa msongo wa mawazo na ku overreact kwa wateja!

Je kuna ndugu humu amewahi kukutana na matukio ya kusikitisha kutoka huduma ya Bolt?​

View attachment 1797176
View attachment 1797179
Mara nyingi natumia bolt, na marafiki zangu kadhaa wanatumia, ila hakuna aliwahi niambia amepata madhara yoyote
 
ila bei jamani mpaka huruma muda mwingine unaongeza tu mwenyewe
Kweli, kutoka kkoo to ubungo bolt watu watatu elf 5,500.....daah sijui wanapataje faida, Bro juzi nikamuitia Bolt juzi ya watu watatu Mnazi-Mmoja to Kibamba elf 20.

Mwezi wa 5 kuna dada alijifungua Muhimbili ,nikamfuata ili arudi home, yaani mpaka Chanika 26 elf,wakati taksi za kawaida waligoma bila 50 elf.
 
Sijawahi kupigwa lakini madereva wengi ni wezi na hawana lugha nzur wengi wao wameniibia mara nying nauli hasa nikiwa nimeadd trip nikirud kwenye ride history nakuta nauli ni different nikifnya contact na bolt wanaconfirm na pesa yngu inarud
Wanajiridhisha vipi kuwa umelipa zaidi?
 
Back
Top Bottom