Baada ya kutamba, Taxify wahusishwa na Tuhuma nzito

Hornet

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
23,216
2,000
Kwa wiki mbili hivi kumekuwa na minong’ono juu ya madereva wanaotoa huduma kupitia Bolt
Tuhuma hizo zinahusisha kujeruhi, kupiga, kutapeli na kunyang’anya abiria mali zao

Pia kupeleka abiria kwenye wrong destination.

Hizi tuhuma zinaweza kuwa ni za kweli ila ikawa ni mipango mikakati ya wapinzani wao kuwamaliza, Baada ya Bolt kutamba sana ndani ya soko.

pia nimewaza pengine ni udogo wa bei unaofanya madereva wanapata pesa kidogo huku wakihitajika kupeleka hesabu kwa maboss na wao kuendesha maisha Yao.hivyo wanajikuta wanaishi kwa msongo wa mawazo na ku overreact kwa wateja!

Je kuna ndugu humu amewahi kukutana na matukio ya kusikitisha kutoka huduma ya Bolt?​

IMG_1494.jpg

IMG_1495.jpg

IMG_1469.png
IMG_1494.jpg
 
BMWsimba

JF-Expert Member
Aug 6, 2018
355
500
kwa kifupi hakuna maelewano kati ya wamiliki wa mtandao wa Bolt/uber/ nk na madereva kwani bei zinapangwa na wenye app na mamlaka aka latra wamekaa kimyaaaa wao kazi kukusanya mapato sio kusimamia usafiri wa mtandaoni kila siku wanaibuka na kitu kipya
 
ooh hivyo ndo sababu ya kugombana na wateja?
 
lunatoc

JF-Expert Member
Aug 16, 2017
1,468
2,000
sasa ni kwa nini case kama hizi zinawakumba Bolt pekee?
Hapo Sasa jiulize na wewe inakuaje dereva ambae ana application tatu (Uber, taxfy na bolt ) aonekane mbaya akiwasha bolt na sio Uber au Taxfy.

Kwa kifupi hizi ni michezo michaFu ya baadhi ya madereva Kuna vitu Wanatengeneza.

Madereva wote Hadi uwe verified na Uber au Taxfy Kuna taarifa Hadi za police criminal records zako. Kwamba Kama kuna siku gari A limekufanyia ujinga Huyo dereva kukamata na ndani ya dakika kadhaa maana Kuna taatifa zake zote kuanzia police hadi system za Uber au Taxfy.

Je Kuna taarifa ya dereva yoyote kukamatwa ?
 
Sijasikia kuhusu kukamatwa kwao ila tu inasemekana wanapigwa block tu kuhudumia kupitia bolt
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom