Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 7,011
- 12,753
NO REFORMS, NO ELECTION!Nimekuwa kazini Kwa zaidi ya miaka thelathini na sita, mwaka Jana nimestaafu nimelipwa mafao yangu nikazifix benk mwaka mmoja baadae nataka nizitoe nifanye biashara, naomba ushauri wenu ziko zaidi ya 80m
EEEeeenHEEEEE,Fuga ngombe , kuku na samaki sato na kambale, pia wekeza kwenye kilimo cha umwagiliaji 🤔
Hii nimependa japo inahitaji mtu mzoefu anayefahamu biashara hii kiundanitenga milion tano tu, anzisha kilimo cha mpunga au mahindi ila mahindi sikushauri sana ni gharama pia losi ipo karibu labda kama upo karibu na bonde utamwagilia.
pili hyo milion 25 iliyobaki kanunue mpunga vijijn uweke store mashine za mpunga ni bure kabxa, saiv junia sie tunanunua kwa laki moja. hapo utakuwa na junia 250.
mwez wa tatu au pili mwakan utaukoboa bei itakua imechangamka.
huenda kila junia ukawa na faida ya 50,000 na zaid endapo ukivuka 3000 kwa kilo.
50M kanunue bond au share na makampun yaliyo imara uwe unapata gawio.
Halafu umuunganishe na tutoto twa afu mbili!Humtakii mema Mzee wanguKwanza tukafanye kikao kitambaa cheupe tabata
Pale kuna mawazo mazuri sana
mkuu hata mim nilikua mgen sijui haya mambo, ukitaka mafanikio lazma ujiripue tuHii nimependa japo inahitaji mtu mzoefu anayefahamu biashara hii kiundani
☺️☺️☺️huyu kijana wetu kachanganya mafaili. huyu sio wa jukwaa hili. itakuwa alidhani yupo kule MMU. asamehewe tu.Mmmh milion 80 mbona kama bado hvi kwa biashara serious mkuu..
Naomba fanya hv tafuta tafuta upate hata milion 100 hv ndo uje tukupe ushauri
Evelyn Salt
🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌 Daaah☺️☺️☺️huyu kijana wetu kachanganya mafaili. huyu sio wa jukwaa hili. itakuwa alidhani yupo kule MMU. asamehewe tu.