Baada ya kupigiwa simu jana, nina maswali 3 kwa wapinzani wa UKAWA ndani ya CHADEMA na CUF

Mkuu Aweda mimi naona kama tayari walishauza, mimi nafikiri tunachopigania sasa hivi ni kama kunakilichosahauliwa na ccm kuuzwa tuiokoe, Maana Tembo tayari wako china, madini yako Europe na Canada, Viwanja vyetu vya ndege vinamilikiwa na wageni.

Mimi nahisi tukikaa kimya watatuletea mawaziri na viongozi wengine kutoka nje. Sasa hivi wakoloni waliofukuzwa na nyerere wanaitwa wawekezaji na wale walioko serikalini wanaitwa wataalam elekezi. Kidogo wataalam elezkezi watageuka kuwa mawaziri elekezi chini y Serikali ya ccm. subiri.
 
Nilidhani una hekima na Busara!!! Sasa kilichokufanya usisikilize ujumbe ni nini? Huenda ungepata muda mzuri wa Kujibiwa maswali yako yote ungekuwa na huyu jamaa wako wa CDM!
 
Ukawa is not a political party mkuu,its a group of comrades with common idiological thinking toward katiba mppya,
So sizani kama wanaitaji Kuwait name pact au mou.labda baadae wakiamua kuungana chini ya mwamvuli Wa ukawa kuekuelekea uchaguzi mkuu.

Tayari wameshatangaza kusimamisha mgombea mmoja wa urais.
 
Ndugu yangu AWEDA, yakupasa kuwa makini sana hasa nyakati hizi za kuelekea Uchaguzi mkuu wa 2015. Watakuja wengi kwa jina lake na watatenda miujiza mikubwa sana. hata hivyo msiwaamini.
 
Nilidhani una hekima na Busara!!! Sasa kilichokufanya usisikilize ujumbe ni nini? Huenda ungepata muda mzuri wa Kujibiwa maswali yako yote ungekuwa na huyu jamaa wako wa CDM!
 
Historia inaonesha walioenda huko walirudi wasaliti.
Pili, wewe unadhani wote waliohongwa lazima wawe na status ya kuwa mbunge? Lile kundi la akina juliana na wenzake walikuwa na status gani mpaka wakarudishwa ccm?

Tatu, nilikueleza kuwa niliongea naye kwa muda mrefu na aka pre empty hoja yake. Lengo lake ni kujitoa kwenye ukawa full stop. Japo ananijia kwa gia kubwa. Sasa unataka niende huko kuangalia fursa gani? Wanaotafuta fursa kwenye siasa ndo wanaotumaliza.

Nne, nilikuambia kuwa kwa kumwangalia tu kwa macho ya kawaida, mtu yule kuniita Ubungo Plaza lazima ametumwa!

Tano, unataka niweke vitu kifuani kwa maslahi ya nani? wakati vitu hivo ni hatari kwa maslahi ya chama chetu.

Sita, mimi sijasema alitaka kuniua, wewe umetoa wapi habari ya kuniua? Hata hivyo, unafikiri ni ajabu kujihadhari?

Saba, mimi kwangu chadema siyo income na ni expenditure kwa faida ya watanzania. Chadema sichumi, ninatumia kwa faida ya watanzania. Mimi ni ninafanya kazi katika mashirika ya kimataifa, siko chadema kutibu njaa, niko chadema kizalendo zaid. kwa hiyo, sihitaji kujipendekeza kwa Kiongozi ye yote.

Na mwisho lazima ujue kuwa kama wewe mbinu yako ni kwenda ili ujue fursa na mimi mbinu au approach yangu ni kutokwenda. Mimi ni mimi na wewe ni wewe. Usitake mimi niwaze na kufanya kama wewe. POLE SANA.

Hata hivyo, wewe waberoya ni nani ndani ya ccm mpaka mimi nimekukera kiasi hiki? Kwa nin imekuuma sana? Kwani wewe ndo ulimtuma huyo aliyenipigia simu?

1- Walitaka kujua current & future plan za UKAWA
2- Walitaka kukuhonga zile za Ujerumani uingie kwenye kapu lao
3- Wameanza kukutia grease ili mwisho wa safari uwe Dr Ulimboka
4- Wangepata nafasi wangeweka kitu kwenye glasi yako na ndio ingekuwa ze end
5- Ukiona bure bure kiulaini laini basi jua hiyo ni mtama kwa kuku na mwisho wake ni kuchinjwa awe kitoweo cha siku

KUWA MWANGALIFU NA KILA KITU UFANYACHO..CCM SASA HIVI NI KAMA MFA MAJI HATA JANI WANAKAMATA KUOKOA ROHO ZAO
 
Mkuu Mikael P. Aweda, nikupongeze sana kwa wasilisho lako Murua kabisa. Ninawashauri watu wote wapenda mabadiliko katika nchi hii wachukue mfano wako huu wauweke peupe!!! Hakika watu wengi tunaangamia sana kwa kufuata upepo tu. Nina hakika kutakuwa na tactics nyingi sana za kujaribu kuangamiza chochote kinachopinga ufisadi, rushwa, wizi na kila aina ya chawa anayeitafuna Tanzania kwa sasa. Maswali yako ni ya msingi sana tena ninafikiri CDM wayajadili kwa mapana kwa kuwa wapo wengi wa aina yenu watapigiwa simu!!!!! Pamoja na kwamba UKAWA unaweza kuwa ni kitu kizuri kama kweli wanayoyasema hadharani ni yale wanadhamiria mioyoni mwao!!! Hapa ninawasemea wale ambao ni UKAWA ila bado ni vibaraka wa chama tawala. Ningetaka niulize wale wana UKAWA wapinzani wengine less Chadema maswali haya:
1. Je Umoja wa CUF na CCM umeshavunjika?
2. NCCR Mageuzi na Mbatia ni wapinzani wa kweli? Alikuwa mstari wa mbele kuipinga CDM na akadiriki kusimama Kawe na Halima Mdee 2010!!! Akashindwa na kesi akafungua!! Mkishapelekana mahakamani mnaongea tena Lugha moja? Nina wasiwasi!!!!!!
3. Hamad Rashid bado ni mwanachama wa CUF?? Hapana!!! Ni mbunge wa mahakama!!! Hayuko upinzani!!! Ni lazima aropoke!!! Ila wako akina Hamad Rashid wengi katika Mungano wa UKAWA sema wao bado hawajesema public ila progress report wanapeleka kwa wafadhili wao wanaowatumia!!

Kwako mkuu Aweda, mambo mlioongea ya kukurubuni ukawashtukia ndiyo yaliyo mioyoni kwa wasaliti wa UKAWA!!! CDM kuweni makini sana na baadhi ya members wa UKAWA!! Machaleeeeeee Machaleeeee.
 
Ukawa is not a political party mkuu,its a group of comrades with common idiological thinking toward katiba mppya,
So sizani kama wanaitaji Kuwait name pact au mou.labda baadae wakiamua kuungana chini ya mwamvuli Wa ukawa kuekuelekea uchaguzi mkuu.

Very correct, crucial man, ungewacopy makada maarufu wa ccm humu ndani.
 
Mkuu Mikael P. Aweda, nikupongeze sana kwa wasilisho lako Murua kabisa. Ninawashauri watu wote wapenda mabadiliko katika nchi hii wachukue mfano wako huu wauweke peupe!!! Hakika watu wengi tunaangamia sana kwa kufuata upepo tu. Nina hakika kutakuwa na tactics nyingi sana za kujaribu kuangamiza chochote kinachopinga ufisadi, rushwa, wizi na kila aina ya chawa anayeitafuna Tanzania kwa sasa. Maswali yako ni ya msingi sana tena ninafikiri CDM wayajadili kwa mapana kwa kuwa wapo wengi wa aina yenu watapigiwa simu!!!!! Pamoja na kwamba UKAWA unaweza kuwa ni kitu kizuri kama kweli wanayoyasema hadharani ni yale wanadhamiria mioyoni mwao!!! Hapa ninawasemea wale ambao ni UKAWA ila bado ni vibaraka wa chama tawala. Ningetaka niulize wale wana UKAWA wapinzani wengine less Chadema maswali haya:
1. Je Umoja wa CUF na CCM umeshavunjika?
2. NCCR Mageuzi na Mbatia ni wapinzani wa kweli? Alikuwa mstari wa mbele kuipinga CDM na akadiriki kusimama Kawe na Halima Mdee 2010!!! Akashindwa na kesi akafungua!! Mkishapelekana mahakamani mnaongea tena Lugha moja? Nina wasiwasi!!!!!!
3. Hamad Rashid bado ni mwanachama wa CUF?? Hapana!!! Ni mbunge wa mahakama!!! Hayuko upinzani!!! Ni lazima aropoke!!! Ila wako akina Hamad Rashid wengi katika Mungano wa UKAWA sema wao bado hawajesema public ila progress report wanapeleka kwa wafadhili wao wanaowatumia!!

Kwako mkuu Aweda, mambo mlioongea ya kukurubuni ukawashtukia ndiyo yaliyo mioyoni kwa wasaliti wa UKAWA!!! CDM kuweni makini sana na baadhi ya members wa UKAWA!! Machaleeeeeee Machaleeeee.

Thank you
 
Nilidhani una hekima na Busara!!! Sasa kilichokufanya usisikilize ujumbe ni nini? Huenda ungepata muda mzuri wa Kujibiwa maswali yako yote ungekuwa na huyu jamaa wako wa CDM!

Mimi siendi kwenye kikao cho chote cha wanachadema wazalendo chenye agenda ya kujitoa UKAWA. Huo ni uwenda wa zimu. Kwanza nina mashaka na uzalendo huo wa kinafiki.
 
Ukiona ivo ujue chama chenu hakiko salama kabisa.... Manake inaonekana mamluki wengi.
 
Wadau,
Jana nilipigiwa simu na mtu ambaye ninamfahamu kidogo kama mwanachadema kwani tuliwahi kuonana mara moja tukaongea naye kwa muda mrefu maeneo ya ukonga Dsm. Jana alinipigia simu na kunipongeza kwa makala yangu JF na facebook. Baada ya pongezi nyingi kuliko kawaida akanisihi kuwa sisi wazalendo wa kweli ndani ya Chadema tukae kwa umakini na tujadili kwa undani hatima ya chadema yetu ndani ya ukawa.

Hata hivyo, nina maswali matatu kwa wapinzani wa UKAWA ndani ya chadema na CUF.
Mosi, Ni kwa nini wanaopinga ukawa kwa nguvu ni watu wenye matatizo ndani ya vyama vyao kama Yona aliyekanwa uongozi halali wa chadema Temeke kuwa siyo mwenyekiti?? Fuatilia wapinzani wote wa ukawa JF, Utaliona hilo.

Jibu ni rahisi kazi waliyopewa ya kuzamisha Upinzani iko hatarini -UMOJA NI NGUVU HAPO UPO!

Tatu, gharama ya kunikaribisha kwenye chakula cha mchana ubungo Plaza kujadili mambo haya inatoka kwa nani na kwa maslahi ya nani?? Au mhusika anagaenda gani zaidi?? Mtu huyu kwa kumwangalia tu kwa macho ya kawaida, siyo mtu wa kunikaribisha chakula cha mchana ubungo Plaza. Na kwa nini ubungo Plaza, mbona mara ya kwanza tulipoonana tulikaa masaa mawili na tukaishia kunywa maji na soda tu tena kwenye mgahawa wa kawaida.
NB; Kilichonishtua zaidi ni pale nilipomshauri kuwa awasilishe hofu yake kwa viongozi wa juu lakini hakutaka hilo, badala yake aonnane na mimi ili tujadili hatima ya chadema yetu sisi wazalendo wa chadema.

Ni maswali ninayojiuliza, wahenga wanasema hakuna swali la kijinga ila kuna jibu la kijinga.

Baada ya kumsikiliza ushauri wa akili yake niliuchanganya na akili yangu, nikajiambia mwenyewe, sidanganyiki.

Nawasilisha.

Mkuu natumai taarifa ya mapandikizi/wasaliti kama hawa lazima ifike makao makuu ya Chama .
Na kama Chama hakina mfumo wa kuwachunguza viongozi na wanachama wake basi ningeshauri chama kuanzia sasa kila kona ya Nchi hii iwe na Mashushu wakufuatilia wanachama na hasa Viongozi wa Ngazi yoyote na taarifa ziwe zinafika Makao makuu.

Au makao makuu kiwe na timu ndogo kupitia idara ya Ulinzi na Usalama kufanya kazi hii ya kufuatilia Mienendo ya wanachama na hasa Viongozi.Mfumo huu utasaidia kuondokana na Viongozi wasaliti mapema zaidi kabla hawajasababisha usumbufu na maradha/migogoro ndani ya taasisi.

Bila kufanya hivyo safari ya mafanikio ya kuwakwamua watanzania kifikra na kiuamuzi na hatimaye kiuchumi itangumu na itachukua muda.

NB; Kwa kutangaza vita hiyo umekaribisha Changamotto ambayo Imani yako ya Fiti Mwiko/Sidanganyi iko kwenye Majaribu na ni vizuri ukajiandae/jipange.
 
Back
Top Bottom