Baada ya kupigiwa simu jana, nina maswali 3 kwa wapinzani wa UKAWA ndani ya CHADEMA na CUF

Mwenye busara huyaona mabaya na kujificha,mjinga anayafuata na kuumia

nyoka yumo ndani unajificha wapi?? be a man, anasema ni mwanachadema so he was supposed to make sure anatafuta ukwei na wasaliti wengi zaidi

unafiki huu
 
Wewe mbona uko kama ndumi la kuwili? Wewe mbona ni kama popo na husomeki? Pole sana.
Mwanzani ulikuwa unajenga hoja kuwa mimi ni mwoga ningeenda ili nitumie fursa ghafla sasa umegeuka kuwa nimetung story - fiction. Sasa wewe uache upopo na undumi la kuwili. Jenga hoja unayoiamini, hii fiction hadith ya kutunga au mimi ni mwoga? zote haziwezekani. Poor Waberoya.

Pili, unathubutu kuniita mimi mwoga wakati ww umejificha nyuma ya laptop hata jina lako unaogopa kuliweka hadharani. Naomba nikuulize wewe ni nani? jitoe hadharani kwa jina kamili kama mimi ili mm niweze kukujua live.

Tatu 99% walichangia wamenisifu ila wewe unataka kuonesha kuwa wewe ndo una akili kuliko mimi na wote waliochangia - you are kidding.

Nne, yaani nimwekee mtego mwanachama wa kawaida asiye na jina? Unataka kuniambia hao security wa chama hawana kazi waanza kufuatilia wanachama wakati hatujamaliza viongozi wasaliti. Kuna hadhi na kiwango cha watu wa kufanya hivyo, siyo kila mtu. Ushauri wako mzuri lakini haufai.

Tano, unasema nilichoandika siyo tangible na siyo size ya great thinkers - poor you. Kwa hiyo wewe waboraya huwa unajadiliana na watu wasiogreat thinkers kama mmi. Kama uliona hii ni pumba usingefungua kabisa thread hii. Na kama kichwa cha habari ilikudanganya uliposoma mpaka mwisho ungeondoka na kufanya vitu vya size yako. Lakini umeandika jibu ndeefu na nikakujibu bado umerudi kunijibu tena. Ndege wanaofanana huenda pamoja na wajinga wanaofana pia huenda pamoja. kama mimi ni mjinga na wewe pia ni mjinga vinginevyo usingepoteza muda wako na mimi. Pole sana. wewe inaonekana siyo size yangu kwa hoja.

MWISHO, unalalamika mm kukuita wewe ccm. KAMA wewe siyo ccm inakuwaje unadai ukawa siyo tishio? KAMA ww siyo ccm kama unavyosema na wakati huo huo unaponda ukawa ina maanisha uko wapi? ACT (ALLIANCE OF COWARDS OF TANZANIA? Hata ACT nao ni tawi la ccm. Pole sana.

Guys with this kind of argument msitegemee lolote kwa huyu mkuu na kiongozi wa chadema

Hivi chadema hawa watu/viongozi wenu wa caliber hii mnawatoa wapi??

Hujagusa ubongo wangu mkuu

I told you straightly....you are wrong. Unakuja na hoja asilimia 99% wanaku support!!!! I mean mpenzi wa yanga au simba atoe hoja ya kujionyesha anaipenda yanga , then akaosolewe na wana yanga

unaijua demokrasia wewe??? ingekuwa fair tusingekuwa na Kikwete madarakani, ingekuwa fair mbowe asingekuwa m/kit wa chadema; wala zitto asingeondolewa chadema!!!

hands up

haya angalia hii uone hiyo asilimia yako 90!!! wtf

https://www.youtube.com/watch?v=YnSZJ-dMRBQ


hands up!!!!!!!!!!!
 
Mkuu ungeenda kulamba mshiko wa mainterahamwe! Anayeipenda chadema zaidi, kuliko watanzania haitendei haki chadema, hawatendei haki watanzania! Taifa kwanza, vyama baadae!
 
Historia inaonesha walioenda huko walirudi wasaliti.
Pili, wewe unadhani wote waliohongwa lazima wawe na status ya kuwa mbunge? Lile kundi la akina juliana na wenzake walikuwa na status gani mpaka wakarudishwa ccm?

Tatu, nilikueleza kuwa niliongea naye kwa muda mrefu na aka pre empty hoja yake. Lengo lake ni kujitoa kwenye ukawa full stop. Japo ananijia kwa gia kubwa. Sasa unataka niende huko kuangalia fursa gani? Wanaotafuta fursa kwenye siasa ndo wanaotumaliza.

Nne, nilikuambia kuwa kwa kumwangalia tu kwa macho ya kawaida, mtu yule kuniita Ubungo Plaza lazima ametumwa!

Tano, unataka niweke vitu kifuani kwa maslahi ya nani? wakati vitu hivo ni hatari kwa maslahi ya chama chetu.

Sita, mimi sijasema alitaka kuniua, wewe umetoa wapi habari ya kuniua? Hata hivyo, unafikiri ni ajabu kujihadhari?

Saba, mimi kwangu chadema siyo income na ni expenditure kwa faida ya watanzania. Chadema sichumi, ninatumia kwa faida ya watanzania. Mimi ni ninafanya kazi katika mashirika ya kimataifa, siko chadema kutibu njaa, niko chadema kizalendo zaid. kwa hiyo, sihitaji kujipendekeza kwa Kiongozi ye yote.

Na mwisho lazima ujue kuwa kama wewe mbinu yako ni kwenda ili ujue fursa na mimi mbinu au approach yangu ni kutokwenda. Mimi ni mimi na wewe ni wewe. Usitake mimi niwaze na kufanya kama wewe. POLE SANA.

Hata hivyo, wewe waberoya ni nani ndani ya ccm mpaka mimi nimekukera kiasi hiki? Kwa nin imekuuma sana? Kwani wewe ndo ulimtuma huyo aliyenipigia simu?

Well said Mikael Aweda
 
Guys with this kind of argument msitegemee lolote kwa huyu mkuu na kiongozi wa chadema

Hivi chadema hawa watu/viongozi wenu wa caliber hii mnawatoa wapi??

Hujagusa ubongo wangu mkuu

I told you straightly....you are wrong. Unakuja na hoja asilimia 99% wanaku support!!!! I mean mpenzi wa yanga au simba atoe hoja ya kujionyesha anaipenda yanga , then akaosolewe na wana yanga

unaijua demokrasia wewe??? ingekuwa fair tusingekuwa na Kikwete madarakani, ingekuwa fair mbowe asingekuwa m/kit wa chadema; wala zitto asingeondolewa chadema!!!

hands up

haya angalia hii uone hiyo asilimia yako 90!!! wtf

https://www.youtube.com/watch?v=YnSZJ-dMRBQ


hands up!!!!!!!!!!!

Naona umenielewa, sidhani kama nina hitaji kubishana na wewe zaidi.
 
Huyo mtu aliyekualika PLAZA kwa nini usimtaje hadharani tumjadili kama ni pandikizi au ana nia njema???
 
Mikael P Aweda bosi wa EWURA "alijinyonga kwa tai" wewe sijui utajizamisha kwenye "bath tab"? Achana na hao watu. Utapotezwa bure.
 
Last edited by a moderator:
umefanya jambo la busara sana kumtosa


Salamu kwa waberoya aliyetaka niende ili nitumie fursa. watumiaji wa Fursa hizi ndo wanatuharibia chama chetu wanalegezwa kwa ahadi za rushwa na vyeo kwenye chama kinachozama baharini 2015
 
Back
Top Bottom