Baada ya kuoa, maisha yaliendeleaje mwanangu?

Nilipigika kiasi kwamba kula ikawa stress, kuvaa stress na mwisho nikafirisika nikakimbia kwangu nikaenda kuwa kibarua wa rafiki yangu ambae nilikuwa namzidi mtaji, madeni yaliniandama yaani miaka 2 natafuta japo nimiliki smartphone ya Vodafone ilikuwa inauzwa 60k wakati huo na sikuweza afford kwa miaka 2. Mshikaji wangu mmoja akanipa code kwamba nivumilie mambo yataanza kukaa sawa after 3 to 4 yrs, basi nikakaza mambo yalianza kurudi sawa mwaka wa 4. Mpaka nilihisi nimerogwa kumbe ile huwa ni hali ya kawaida hasa kama wewe mwenyewe au mwenza wako mnatokea kaya maskini hamna sapoti yoyote basi mjiandae kuswampa
 
Noma sana
 
Ilinichukua muda sana kukubali kuwa wali ,nyama na vingine ninavyoleta na yeye atakula hivyo hivyo bila kuchangia chochote ,roho ilikuwa inauma sana kiasi kuwa nilijipa muda kuiondoa hiyo roho ya uchoyo kichwani mwangu na moyoni ila ilinitesa .

Ila walisema usiodharau instinct yako ni bora ningemnyima hiyo misosi yangu maana badaye kiliniacha aisee

Kataa ndoa stand up 💪
 
Aisee huwa inachukua muda kurekebisha kichwani kwamba unatakiwa kugharamia ma isha ya wawili na sio wewe peke yako.Lakini baadaye huwa hali hiyo inajirekebisha yenyewe na unaingia kwenye "provider mode".Ukishakaa muda mrefu kwenye ndoa unaona ni sawa tu kulisha wote waliopo chini ya himaya yako
 
Ilikuwa inaniuma sana aisee kuna muda nilikuwa sirudi nyumbani nakula huko huko kazini ili tu asile jasho langu ,kumbe na wewe yalikukuta mshikaji wangu ?
 
Back
Top Bottom