Chiwa
JF-Expert Member
- Apr 17, 2008
- 4,000
- 4,782
haha ahah...haha... hii tamu sana"maji ya mto hayarudi nyuma"
haha ahah...haha... hii tamu sana"maji ya mto hayarudi nyuma"
Asome hapa kama asipoelewa basiWanawake wana silaha nne kuu za kuwacontrol wanaume mabwege
1. Sex
2. Machozi/kujiliza
3. Maneno matamu
4. Drama
Kama una sababu ya msingi ya kumpiga chini fanya hivyo usisite. Mwanamke huwa hasamehewi hata ajilize. Kwa kifupi usimpe nafasi ya kumsikiliza
Kama ume maintain usiri wa ID fake huna sababu ya kuogopa, ila Kuna baadhi yetu ID zetu zinajulikana na baadhi ya watu hapo ndio inakuwa sio sahihi kueleza mambo yako ya ndani.Hivi watu mnapata wapi ujasiri wa kuyaanika ya ndani humu mitandaoni?
Alafu unakuta Kuna watu wanakushauri cha kufanya kuhusu juu ya huyo mwanamke.
hiyo namba moja na namba tatu mhn! sina uhakika kama naweza himiliWanawake wana silaha nne kuu za kuwacontrol wanaume mabwege
1. Sex
2. Machozi/kujiliza
3. Maneno matamu
4. Drama
Kama una sababu ya msingi ya kumpiga chini fanya hivyo usisite. Mwanamke huwa hasamehewi hata ajilize. Kwa kifupi usimpe nafasi ya kumsikiliza
Huyo mnatoshana mrudishe tuWakuu naanza kumuonea huruma huyu mke wangu baada ya kumpiga chini sasa amenza kulia na kusaga meno yaani napata na huruma aisee na mimi naanza kulia na kusaga meno nakumbuka zile moment lakini moment nyingi zilikuwa za mimi kupigwa,kuchambwa na kutukanwa aiseee lakini sio kesi
Wakuu nifanyeje?
Acha maboya wapigwe😅😅😅Mwanamke unaanzaje kumpiga mumeo?
Hata kama umemkinai,kumchamba baba wa watoto wako?
malezi kama mama alikuwa anampika baba yake uko uwezekano mkubwa na yeye akafanya hivyo hivyo.Mwanamke unaanzaje kumpiga mumeo?
Hata kama umemkinai,kumchamba baba wa watoto wako?
NAKAZIAAsome hapa kama asipoelewa basi
Machozi ya wanawake huwa sio ya kweli achana nayo
Kweli? kumbe mtu ukikaza wanaumia sana......naomba jibu MamndenyiWanawake wachache sana wanaoweza kuhimili kuachwa.
Mrudie
Kaza jombaa kwenye 1 & 3 ili usije kupigwa na kitu kizito. Tuishi nao kwa akilihiyo namba moja na namba tatu mhn! sina uhakika kama naweza himili
Ya ndani ni yapi,hakuna siri hapa Duniani unalolipitia wewe katika mahusiano yako kuna wenzako walilipitia 100 years ago.jifunze kutoka kwa wenzio acha kujifanya nunda.Hivi watu mnapata wapi ujasiri wa kuyaanika ya ndani humu mitandaoni?
Alafu unakuta Kuna watu wanakushauri cha kufanya kuhusu juu ya huyo mwanamke.
Nawewe tafuta sehemu ulieWakuu naanza kumuonea huruma huyu mke wangu baada ya kumpiga chini sasa amenza kulia na kusaga meno yaani napata na huruma aisee na mimi naanza kulia na kusaga meno nakumbuka zile moment lakini moment nyingi zilikuwa za mimi kupigwa,kuchambwa na kutukanwa aiseee lakini sio kesi
Wakuu nifanyeje?
acha kabisaKaza jombaa kwenye 1 & 3 ili usije kupigwa na kitu kizito. Tuishi nao kwa akili
upo mkuu wa majeshi?Usimuonee huruma hao ni mashetani kabisa ukipata mwanya wa kumkandamiza mwanamke wee mkandamize kweli kweli mwanawane