Singo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 1,184
- 1,107
Umewaelewa wanawake vizuri,Mimi nimefikiri kama weweAnalia maana hakujiandaa na pa kwenda kuishi bila kuweweseka, Siku akijihakikishia hilo atakupiga tukio kiasi kwamba utakuja hapa kutuandikia uzi mwingine ukiwa umelewa.