Baada ya kumtongoza kwa Miaka 7,Leo amekubali

Baada ya kumtongoza kwa Miaka 7,Leo amekubali

Mtu mwenye nia ya kuwa na wewe hakusubirishi miaka 7 huyo ameenda off chart!!Wewe ni last choice ndio maana amekusubirisha sana yaani hapo alipo yuko njia panda ndo kakuonea huruma....Kitu kimoja weka sawa akilini hutaki kuwa na mtu kwasababu she feels sorry for you!You want someone who truly loves u and have sincere feelings for you and tht chick doesnt feel you period!!
 
Leo kanikubalia sijui hata nimpe adhabu gani kwa kunisumbua miaka yote hii.Ni binti wa Kiarabu nilianza kumtokea mwaka 2009 tukiwa tunasoma mwaka wa kwanza pale Tumaini university.

nilimpenda sana huyu Dada ila alikuwa anakataa kila nilipomtokea ila sikuacha kumsumbua kila nilipojisikia kutongoza nilikuwa nampigia simu then nakumbushia ombi langu.

Leo kama masihara nilisema nimkumbushie hatimae mtoto kakubali.sijui nimgonge halafu nimwache sababu kanisumbua sana huyu mtoto.

Nishaurini.
Vipi alikupwerepweta ?
 
Uyooo kakosa soko na umri umesonga akaona akukubalie tuu. But your not her first choice keep it on your mind.

akose soko kwani yeye ni kofia ya police? a woman is just a woman karidhia tu ombi kaona ampe chance jamaa sio kama kadoda.
 
Kakupa hifadhi kama Umoja wa Mataifa unavyohifadhi wakimbizi..
 
Leo kanikubalia
sijui hata nimpe adhabu gani kwa kunisumbua miaka yote hii.Ni binti wa
Kiarabu nilianza kumtokea mwaka 2009 tukiwa tunasoma mwaka wa kwanza
pale Tumaini university.

nilimpenda sana huyu Dada ila alikuwa anakataa kila nilipomtokea ila
sikuacha kumsumbua kila nilipojisikia kutongoza nilikuwa nampigia simu
then nakumbushia ombi langu.

Leo kama masihara nilisema nimkumbushie hatimae mtoto kakubali.sijui
nimgonge halafu nimwache sababu kanisumbua sana huyu mtoto.

Nishaurini.


wew huyoo! kabisa kabisaa weweeee ukamtongoza! embu acha utani aiseee. anyway toa adhabu utaleta mrejesho.
 
Leo kanikubalia sijui hata nimpe adhabu gani kwa kunisumbua miaka yote hii.Ni binti wa Kiarabu nilianza kumtokea mwaka 2009 tukiwa tunasoma mwaka wa kwanza pale Tumaini university.

nilimpenda sana huyu Dada ila alikuwa anakataa kila nilipomtokea ila sikuacha kumsumbua kila nilipojisikia kutongoza nilikuwa nampigia simu then nakumbushia ombi langu.

Leo kama masihara nilisema nimkumbushie hatimae mtoto kakubali.sijui nimgonge halafu nimwache sababu kanisumbua sana huyu mtoto.

Nishaurini.

we jua kuna ---- kaachwa kajili ya kukubaliwa wewe..
nawe itafika utaachwa kama ---- kwa mwingine anayemtongoza adi leo
 
Inasikitisha kuona msomi kama wewe tena kutoka chuo maarufu unapost ishu ya kipuuzi. Sitaki kuamini kuwa ndivyo ulivyofunzwa ila unanilazimisha niamini kuwa elimu uliyonayo imeshindwa kukusaidia kuvumbua na kuleta mabadiliko chanya yako binafsi na jamii kwa ujumla. Tumuogopeni Mungu basi jamaniiiii.....
Inawezekana yeye kaposti ishu ya kipuuzi ... lakini inawezekana na wewe unafanya upuuzi wa kutotumia kondomu... NGOMA DROO
 
inasikitisha kuona msomi kama wewe tena kutoka chuo maarufu unapost ishu ya kipuuzi. Sitaki kuamini kuwa ndivyo ulivyofunzwa ila unanilazimisha niamini kuwa elimu uliyonayo imeshindwa kukusaidia kuvumbua na kuleta mabadiliko chanya yako binafsi na jamii kwa ujumla. Tumuogopeni mungu basi jamaniiiii.....
kwani siku hizi kuna wasomi?
 
akose soko kwani yeye ni kofia ya police? a woman is just a woman karidhia tu ombi kaona ampe chance jamaa sio kama kadoda.

Usimpotoshe mwenzio miaka 7 si haba, kwa akili yako ya kawaida we unadhani hapo katikati alikuwa anafanya nini?
 
The most vulnerable (to male approach) woman is the one who has been recently heartbroken and is in emotional distress

Iko hivi, mwanamke akitendwa katika mapenzi basi kumkubali mwingine harakaharaka ni kitu chepesi mno. Huwa wanatake it as some sort of revenge. Sasa kulichotokea ni kuwa huyo mwarabu wako katendwa na kidume anachokipenda na because wewe umekuwa unakumbushia mara kwa mara bac, by default, chombo cha kutumia katika revenge utakuwa wewe.

I can assure you that muda si muda watarenconcile na mtu wake na utatemwa as you are destined to.

It is unfortunate kwamba hutaleta mrejesho humu JF.
 
Malafyale,naomba tafsiri ya ujana na ujana unarange kuanzia miaka mingapi hadi mingapi?maana kwa calculations zako huyo binti umemuita mzee.ni hayo tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom