Baada ya kumtongoza kwa Miaka 7,Leo amekubali

Baada ya kumtongoza kwa Miaka 7,Leo amekubali

Rafiki baadhi ya Wanaume ndiyo walivyo, labda alitaka aendelee kumtolea nje kwa miaka mingine 7. Umeongea vizuri sana kwa hekima na busara tele.

Hapo ndo panaposhangaza mdada wa watu kakukubali wewe mbio jf kuja kutafuta mawazo ya kumuumiza kumbuka Mungu anauona mpango wako jitahidi kuwazia wengine mema ili nawe upate mema. Hujui kwanini alikua anakukataa na hujui kwanini amekukubali sasa hivi. Pengine kuna kitu Mungu alikua anamrekebisha au anakurekebisha.
 
Kakubali pengine baada ya kupigwa kibuti na muarabu mwenzie,kwani madem wa kiarabu wana ubaguzi sana hasa hasa kwa wanaume weusi
 
kumbuka kipindi hicho chote ulipokua unamhangaikia huyu dem kuna mtu alikua anakula kila kitu kuanzia 0713 mpaka Airtell so sio kitu gani kinachokutia pressure na kiwewe eti mwarabu......inamaana hukua na mwanamke kipindi chote hicho unamsubiri yeye tuu
 
Leo kanikubalia sijui hata nimpe adhabu gani kwa kunisumbua miaka yote hii.Ni binti wa Kiarabu nilianza kumtokea mwaka 2009 tukiwa tunasoma mwaka wa kwanza pale Tumaini university.

nilimpenda sana huyu Dada ila alikuwa anakataa kila nilipomtokea ila sikuacha kumsumbua kila nilipojisikia kutongoza nilikuwa nampigia simu then nakumbushia ombi langu.

Leo kama masihara nilisema nimkumbushie hatimae mtoto kakubali.sijui nimgonge halafu nimwache sababu kanisumbua sana huyu mtoto.

Nishaurini.

Hiyo adhabu utapewa wewe boya maana ujatambua kuwa miaka saba kuna walevu zaidi yako wanakulamzigo utakufa na UKIMWI ----- wewe...!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom