Baada ya kumtongoza kwa Miaka 7,Leo amekubali

The most vulnerable (to male approach) woman is the one who has been recently heartbroken and is in emotional distress

Iko hivi, mwanamke akitendwa katika mapenzi basi kumkubali mwingine harakaharaka ni kitu chepesi mno. Huwa wanatake it as some sort of revenge. Sasa kulichotokea ni kuwa huyo mwarabu wako katendwa na kidume anachokipenda na because wewe umekuwa unakumbushia mara kwa mara bac, by default, chombo cha kutumia katika revenge utakuwa wewe.

I can assure you that muda si muda watarenconcile na mtu wake na utatemwa as you are destined to.

It is unfortunate kwamba hutaleta mrejesho humu JF.

Captaiiin! Salute sana mkuu!
 
Noop seven year not yet!chuo 2009..tuliingia october...na leo ni march 2015!wanahesabu jaman hii miaka saba inatokea wap?
 
Mkamia maji hayanywi. Gonga kwanza uje kutujuza ulicho kikuta, si ajab ukafika langoni mtarimbo ukashindwa vunja ngome. We waone watu hao kivile tu.
Nadhani mpaka uisome hii thread tena na mawazo ulopewa utakuwa ushaleta mrejesho tu. Pole kwa sifa kabla ya kuimenya ndizi mbivu. Menya, onja, ndo ujisifie
 
The most vulnerable (to male approach) woman is the one who has been recently heartbroken and is in emotional distress

Iko hivi, mwanamke akitendwa katika mapenzi basi kumkubali mwingine harakaharaka ni kitu chepesi mno. Huwa wanatake it as some sort of revenge. Sasa kulichotokea ni kuwa huyo mwarabu wako katendwa na kidume anachokipenda na because wewe umekuwa unakumbushia mara kwa mara bac, by default, chombo cha kutumia katika revenge utakuwa wewe.

I can assure you that muda si muda watarenconcile na mtu wake na utatemwa as you are destined to.

It is unfortunate kwamba hutaleta mrejesho humu JF.

Mkuu umezungumza ukwel kabisa!! Hii ndo saikolojia ya wanawake! Nina uzoefu kidogo na hili!!
 
Kwani alipokuwa akikataa alikuwa akitoa sababu gani? Maana hilo hujatueleza na ndo sehemu nzuri ya kuanzia kwa ushauri.
 
Unajua nn? Je kipindi iko na sasa yupo vile vile? Sio kesha zeeka huyo? Halafu take care waarabu hawapendi watoto wao wagegedwe na weusi usije ukatolewa sadaka
 
Hapo kuna mawili 1. Kaachika sehemu aliyoitegemea kaona umekumbushia kakubali 2. Au kuna kitu anakitaka kwako, hainiingii akilin miaka saba duuuuhhh kwanini asikubali tokea mwanzo
 
Hii inaitwa PROTEST VOTE

The most vulnerable (to male approach) woman is the one who has been recently heartbroken and is in emotional distress

Iko hivi, mwanamke akitendwa katika mapenzi basi kumkubali mwingine harakaharaka ni kitu chepesi mno. Huwa wanatake it as some sort of revenge. Sasa kulichotokea ni kuwa huyo mwarabu wako katendwa na kidume anachokipenda na because wewe umekuwa unakumbushia mara kwa mara bac, by default, chombo cha kutumia katika revenge utakuwa wewe.

I can assure you that muda si muda watarenconcile na mtu wake na utatemwa as you are destined to.

It is unfortunate kwamba hutaleta mrejesho humu JF.
 
Hata mimi sikutegemea kumuona msomi analeta post ya kipuuzi hv.umeshindwa kabisa kupata hoja yenye uwezo wa kuleta mtazamo chanya kwa jamii?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom