Baada ya kumtongoza kwa Miaka 7,Leo amekubali

Baada ya kumtongoza kwa Miaka 7,Leo amekubali

​duuuhhh, so hapo katikati kagegedwa weeee walivomdamp ndo kaamua kuja kukulisha shombo
 
Umaskini kitu kizuri sana, mtu maskini tu ndo anaweza subiri miaka 7 apewe shimo
fanya cost analysis ulizotumia kwanza
 
pole sna lakini nikupe hongera. kukubali inamaana amekuamini kuwa siyo mpita njia. na ameona miaka yote hiyo hukati tamaa. ameona kwali upo serious na nimuoaji wewe. sasa usimwangushe. mpende kama alivyokupenda. na nikuambie tu huyo ndo mwanamke wa kuweka ndani. nikutakie mgegedo mwema. ila usimwache please

Muulize atuambie kama bado yupo sealed na malinda yapo ndo useme ivo.
Unaweza kuta kuna jamaa alikua anapelekewa.
 
Unachekelea ujinga pengine huyo dada mwarabu ana umeme na anataka kukunganisha kwenye gridi ya taifa...hata kama huna ubongo jaribu hata kutumia tumbo kufikiri kwa miaka yote saba aliyokuzungusha umebadilika nini mpaka leo akuone wa maana........THINK BIG......
 
mzee alipokuwa kigori..alikuwa anapelekea bad boys..sasa hivi kachoka miaka 7 imepita anakuletea wewe...kweli GOOD boys finishes last...hana motto kweli..? embu mkuu ingie youtube type neno Do GOOD boys finishes last utakuta video humo zenye shule ya hiyo situation yako hapo...uone hapa kati ya wewe na yeye nani analiwa...!! pole sana
 
​duuuhhh, so hapo katikati kagegedwa weeee walivomdamp ndo kaamua kuja kukulisha shombo

Mkuu wanasema good boys finishes last...hapo bado boy washafumua mpaka marinda mtu kachoka jamaa ndo analetewa...
 
Leo kanikubalia sijui hata nimpe adhabu gani kwa kunisumbua miaka yote hii..ni binti Wa kiarabu nilianza kumtokea mwaka 2009 tukiwa tunasoma mwaka Wa kwanza pale tumaini university..nilimpenda xana huyu Dada ila alikuwa anakataa kila nilipomtokea ila sikuacha kumsumbua kila nilipojisikia kutongoza nilikuwa nampigia simu then nakumbushia ombi langu..Leo kama masihala nilisema nimkumbushie hatimae mtoto katiki bhana..sijui nimgonge halafu nimwache coz kanisumbua xana huyu mtoto..ebu nishaurin


Kugonga na kuacha hayo ni mawazo ya ki ccm
 
kachezea ujana wake halafu anataka uzeeni atulie na wewe....hajazalishwa na wajanja huyo?
 
Mwonja asali haonji mara moja. km bro wangu alikuwa anasema hiyo ni renewable pleasure unapomaliza unatamani tena hutaacha kamanda!!
 
Hapo ndo panaposhangaza mdada wa watu kakukubali wewe mbio jf kuja kutafuta mawazo ya kumuumiza kumbuka Mungu anauona mpango wako jitahidi kuwazia wengine mema ili nawe upate mema. Hujui kwanini alikua anakukataa na hujui kwanini amekukubali sasa hivi. Pengine kuna kitu Mungu alikua anamrekebisha au anakurekebisha.

Word......
 
Ulitakiwa kwenda kutoa sadaka ya shukrani kwanza alafu urudi kumuuliza yeye kama kweli asemayo! basi kama ulikuwa unampenda haswa na naamini ndivyo maana miaka 7 it not easy kusubiri japo ulikuwa na konakona but stil huyu alikuwa moyoni mwako. Kaceki afya zenu kama zipo sawa basi vuta kitu kisomi nipate wifi wa ukwelii na si mchepuko wa kaka na kama si muoaji basi mwambie muishie hapohapo alipotolea jibu usije jiletea laana buree kwako na familia yako maana imeandikwa "Nitawapatiliza wana laana ya baba zao kizazi cha kwanza mpk cha nne" sasa ya nini kujiletea laana sinazoepukika maana hii ni laana ya kujitakia kwa makusudi. I wish u all z best my dear!
 
Leo kanikubalia sijui hata nimpe adhabu gani kwa kunisumbua miaka yote hii..ni binti Wa kiarabu nilianza kumtokea mwaka 2009 tukiwa tunasoma mwaka Wa kwanza pale tumaini university..nilimpenda xana huyu Dada ila alikuwa anakataa kila nilipomtokea ila sikuacha kumsumbua kila nilipojisikia kutongoza nilikuwa nampigia simu then nakumbushia ombi langu..Leo kama masihala nilisema nimkumbushie hatimae mtoto katiki bhana..sijui nimgonge halafu nimwache coz kanisumbua xana huyu mtoto..ebu nishaurin

Kwahiyo wewe kutongoza miaka yote hiyo ulikuwa unavizia kumgonga tu kisha usepe? hakika nyie ndio huwa mnabaka kwa kuwa sipati picha ugumu ulio nao mpaka dakika hii. Jiangalie usije kuwa dunga dunga kwani kichupa chako kimejaa kiasi kwamba kikitikiswa tu kinamwaga kilichomo ndani yake.
 
Inasikitisha kuona msomi kama wewe tena kutoka chuo maarufu unapost ishu ya kipuuzi. Sitaki kuamini kuwa ndivyo ulivyofunzwa ila unanilazimisha niamini kuwa elimu uliyonayo imeshindwa kukusaidia kuvumbua na kuleta mabadiliko chanya yako binafsi na jamii kwa ujumla. Tumuogopeni Mungu basi jamaniiiii.....

sidahni kama kuwa kwenye chuo cha elimu ya juu ndio kinga ya kukuzuia kula mema ya kati ya kitovu....kama ndo hivyo basi maprof wa vyuoni wangekuwa "masela au spinster" kwani wakijihusisha na "nyapu "tu wangeonekana weupe kwa madenti na wafanyakazi wengine, mkuu kumbuka chuo ni chuo tu na nyapu ni nyapu na ndio maana hata mkulu wa Kaya ana goma lake au mkuu wa majeshi anye anaonja vyombo licha kuonekana mgumu kwa nje.
 
Last edited by a moderator:
Muulize atuambie kama bado yupo sealed na malinda yapo ndo useme ivo.
Unaweza kuta kuna jamaa alikua anapelekewa.

Sildi ya nini? anaenda kuishi na silid au mtu? mbona mtu akitaka kukupa sild za mchina kibao kwani wanaume mnaujanja hapo kwa mwanamke? Mybe alikuwa na mtu mwingine maana huyu wamekutana chuo na huko nyuma mdada unajua nani alishatangulia kumwambia anamuhitaji? uenda aliishi naye na ikawa ni safari tu ya maisha na sasa anapata pumziko na mapenzi shida iko wapi? Eti sild sasa si mtasema na muhuri wa TBS uwepo? akhaaaaaa...!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom