23+7=30
Bila shaka huo ndiyo umri wake huyu binti!Ujana wake kala na wengine sasa kazeeka ndiyo anakuja kwako!
Akili za mbayuwayu ehehhe
Haswaa huo ndio ukweli 100%, hamna kitu hapo, katumika sana sasa kajikuta ...................
23+7=30
Bila shaka huo ndiyo umri wake huyu binti!Ujana wake kala na wengine sasa kazeeka ndiyo anakuja kwako!
Akili za mbayuwayu ehehhe
Leo kanikubalia sijui hata nimpe adhabu gani kwa kunisumbua miaka yote hii.Ni binti wa Kiarabu nilianza kumtokea mwaka 2009 tukiwa tunasoma mwaka wa kwanza pale Tumaini university.
nilimpenda sana huyu Dada ila alikuwa anakataa kila nilipomtokea ila sikuacha kumsumbua kila nilipojisikia kutongoza nilikuwa nampigia simu then nakumbushia ombi langu.
Leo kama masihara nilisema nimkumbushie hatimae mtoto kakubali.sijui nimgonge halafu nimwache sababu kanisumbua sana huyu mtoto.
Nishaurini.
Kosa kubwa ambalo mwanamke anapaswa kuepuka ni kumkubali mwanamke ambaye umemkatalia kwa mda mrefu. Wanaume wengi wanakuwa na mtizamo kwamba umekubali kwa kuwa ulikokutegemea kumegonga mwamba na hapo yeye an a panga kukutosa pia na huo unakua mwanzo wa maumivuBora kumwacha kama alivyo kuliko kumfunua kisha usepe, itamuumiza sana! imagine wewe unakuwa na mtu kwa mara moja na huyo mtu akate mawasiliano ghafla utajisikiaje? plz don't do that,......
Leo kanikubalia sijui hata nimpe adhabu gani kwa kunisumbua miaka yote hii.Ni binti wa Kiarabu nilianza kumtokea mwaka 2009 tukiwa tunasoma mwaka wa kwanza pale Tumaini university.
nilimpenda sana huyu Dada ila alikuwa anakataa kila nilipomtokea ila sikuacha kumsumbua kila nilipojisikia kutongoza nilikuwa nampigia simu then nakumbushia ombi langu.
Leo kama masihara nilisema nimkumbushie hatimae mtoto kakubali.sijui nimgonge halafu nimwache sababu kanisumbua sana huyu mtoto.
Nishaurini.
.......... Am talking this with experience maana hata mimi ni victim. Hapo wanaume mnakosea, binti ameamua kukukubalia ni kwa kuwa sasa ametambua nia yako ya dhati.
kabla hujamgonga hakikisha umeita kabisa ambyulensi ili ukimgonga tu awahishwe hospitali haraka...