10000
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 844
- 811
Tecno ni kifaa chakutumia wakati unatafuta simu...
wachache wanaelewa
Tecno ni kifaa chakutumia wakati unatafuta simu...
Swali lako sio la mtu mwenye uwezo mzuri wa kufikiri mdau, umewahi ona samsung au iphone hazinunuliwi... hata bei ikiwa kubwa quality inawabeba. mtu anaona kuliko kununua simu ya bei rahisi ambayo anaweza kubadilisha na kununua nyingine bora agharamie kwa kitu cha uhakika.Ila kuna anaetaka kukosa wateja??
Bei yake ni 250,000/= ina finger print kwa nyuma tecno w5 lte betri 3000mh kwenye internet hadi kidole kinakufa ganzi chaji ipo tu mkuuHivi bei zake jaman ni kias Gan isije ikawa wengine tumelimwa mikoani huku
Nani kasema nzuri kuliko? Hata mimi nishatumia hzo brand zenye majina makubwa ila hebu kuwa mkweli vitu unavyopata kwenye hyo L8 hzo brand kubwa utapata kwa chini ya laki 7?japo natumia Tecno L8 plus lakin sikubalian nawanaosema eti tecno ni nzuri kuliko samsung au iphone
Tecno W5LTE zipo imara mkuu sio rahisi atengeneze bidhaa feki ambazo zitamnyima soko upo apoSwali lako sio la mtu mwenye uwezo mzuri wa kufikiri mdau, umewahi ona samsung au iphone hazinunuliwi... hata bei ikiwa kubwa quality inawabeba. mtu anaona kuliko kununua simu ya bei rahisi ambayo anaweza kubadilisha na kununua nyingine bora agharamie kwa kitu cha uhakika.
Na mwisho wa siku kila mtu ana soko lake ndo mana anazalisha, unadhani hizi techno wanatuletea sisi wala vumbi na kwa wabeba box huko wanapeleka ?
Tuweke space na simu gani ilete unayoijuaTatizo mnabishana kwa kuchambana. Hebu wekeni spec za kila1.
Tuongee kitaalamu
Vitu vichache kwa vipi mkuuTecn anazngua vtu vichach km camera .display screen .weight.inch. nimeham tecno j8 nimechukua galaxy j7 hatar tupu km mbel
Mhwachache wanaelewa
Mkuu tatizo la simu za tecno zina lag sana ukitaka kuandika msg keyboard haitokei hadi usubiri dakika 2 au 3Nani kasema nzuri kuliko? Hata mimi nishatumia hzo brand zenye majina makubwa ila hebu kuwa mkweli vitu unavyopata kwenye hyo L8 hzo brand kubwa utapata kwa chini ya laki 7?
Tecno ya bei gani??Mkuu tatizo la simu za tecno zina lag sana ukitaka kuandika msg keyboard haitokei hadi usubiri dakika 2 au 3
Nimekusamehe, endelea kudownload apps zako [emoji4]Tecno W5LTE zipo imara mkuu sio rahisi atengeneze bidhaa feki ambazo zitamnyima soko upo apo
We si ashomile lazima utakuwa kwenye ma iPhone halafu unaomba urushiwe vochaAnayeisifia tecno huyo ni taahira hajitambui mi yangu ilikufa saketi
SawaNimekusamehe, endelea kudownload apps zako [emoji4]
Ya laki 2 na nusu tecno l8 plus....tecno zikiwa mpya utazipenda ngoja ukae nazo mwaka ndipo zinaanza kuznguaTecno ya bei gani??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tecno ni kifaa chakutumia wakati unatafuta simu...
Uzuri nina experience na simu za gharama hii W5 mwezi wa 11 huu naumaliza no mushkel sibebi power bank net asubuhi hadi nalala simu inasoma chaji 30% nataka nini tenaUkiona design yoyote inafanya mambo mengi mno kwa gharama ndogo ujue ni unstable, baada ya muda huelemewa maana background running applications zinakuwa nyingi kuliko hata uwezo wa processor walizoweka na bila shaka wametumia vitu vya quality ya chini kias flani kufidia gharama... hakuna anayetaka hasara
HahahaUzuri nina experience na simu za gharama hii W5 mwezi wa 11 huu naumaliza no mushkel sibebi power bank net asubuhi hadi nalala simu inasoma chaji 30% nataka nini tena