Nokia tochTecno siipendi Lakini ninaisifu kwa kushika network kijijini, sijaona nyingine ya sifa hio
Zinaponishinda mimi pale zinapo clack yaani ikiclack kidogo tu basi inataka bajeti ya kubadilisha tachi, maana ninalo Xperia T2 Ultra, haijaclack wala nini lakini nashangaa tu tachi haifanyi kaziMtu hajanitoa kwenye sony bado...mi nazikubar sana sony aisee..simu imara sana
Ni makalio yako basi.Narudia tena "Techno sio simu".
Hongera Mzungu.Mwanaume kutumia TECNO ni kujidhalilisha, jina gani la simu hilo? Tekno, techno..aaghr acha jokes bwana we simu gani ziko nchi zenye wala vumbi tu (in Ngabu voice)
Unajisifu kwa sare za ma bar medi?Nimeamini hakuna simu bora kama tecno Nimeamini baada ya kununua tecno W5LTE aisee sijutii laki mbili Zangu
Una siku ngapi za kumiliki hiyo simuNimeamini hakuna simu bora kama tecno Nimeamini baada ya kununua tecno W5LTE aisee sijutii laki mbili Zangu
Yupo siriaz kabisaNa ukipanda daladala nawe unaitoa kabisa watu waniona?
Faida zake ni zipi mkuu Mzee wa kusawazisha ??Nimeamini hakuna simu bora kama tecno Nimeamini baada ya kununua tecno W5LTE aisee sijutii laki mbili Zangu
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Nimeamini hakuna simu bora kama tecno Nimeamini baada ya kununua tecno W5LTE aisee sijutii laki mbili Zangu
Hili ndilo jibu sahihi, interest zinatofautiana.Ukipendacho wewe sio kila mtu atakipenda.
Ni kweli mkuu, kwa sababu nikipendacho mimi wewe hauwezi kipenda pia'' kwa hiyo kila mtu na kile anacho penda full stop.Hili ndilo jibu sahihi, interest zinatofautiana.