[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nnachoipendea tecno ni utunzaji wa charge.ninamiliki tecno l8.cjawah kujutia wala kuhangaika na mapower bank.
Wapi weweTecno ni kifaa chakutumia wakati unatafuta simu...
Mkuu ndo ad inaboa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Tecno L9plus. Habari nyingine.... Betri haiishi upesi hadi inaboa
Hahahaha nimeifunga siku kwa kuchekaTecno ni kifaa chakutumia wakati unatafuta simu...
Tecno W5LTE ndo natumia mkuu noma SanaTecno ndo mpango mm ni W 4 mwezi wa 7 huu inadunda ijawahi hata leta usumbufu
Dooh we jamaa kila sehemu upo!Aseeh, ikianza kuzingua ukae kimya eee...we unatukana mamba kabla hujavuka mto?? Hivi unazijua Tekino vizuri
kivipi?Dooh we jamaa kila sehemu upo!
Hv phantom 6+ inatumia mda gan kujaa toka 0%-100%?!Natumia Tecno Phantom 6 plus toka Januari mwaka huu,tangu enzi za Tecno P5 tecno haijawahi kuniangusha. Ila Samsung ukiacha camera on muda mrefu ndiyo ugonjwa wake mkubwa,virus njenje.
Tecno ni kifaa chakutumia wakati unatafuta simu...
Huyo ni hatari kubwaDooh we jamaa kila sehemu upo!
Mkuu hebu niambie wewe unatumia simu gani na uzuri wa hiyo simu ni upi ili na mimi nikanunue kama hiyo coz, hizi tecno naona watu wengi wanaipondaNarudia tena "Techno sio simu".
We nae Huawei tangu lini ikawa nzuri.??Huawei yangu inakaa na chaji naipenda akuna simu nzuri kama huawei