Baada ya kumiliki tecno W5LTE, Nimeamini hakuna simu bora kama tecno

Baada ya kumiliki tecno W5LTE, Nimeamini hakuna simu bora kama tecno

Nimeamini hakuna simu bora kama tecno Nimeamini baada ya kununua tecno W5LTE aisee sijutii laki mbili Zangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , isukume mapema hiyo simu kabla haujamuuzia fundi spea kwa bei ya hasara.
Hizo simu nzuri unapotoka nayo dukani, baadae inajam,inapata moto, hardware inachakaa vibaya
 
Nipo tayari niingie gharama ninunue Samsung na sio Tecno, maana ni heri ukanunua kitu chenye high durability kwa gharama kubwa kuliko kununua chenye low durability. Techno amejaa mbwembwe kibao mno ila hamna kitu hapo.
Vitu unavyofata kwenye simu zenu za misifa unavipata kwenye W5 sijutii kuwa na techno wereva
 
Q
Zinaponishinda mimi pale zinapo clack yaani ikiclack kidogo tu basi inataka bajeti ya kubadilisha tachi, maana ninalo Xperia T2 Ultra, haijaclack wala nini lakini nashangaa tu tachi haifanyi kazi
Weka protector, hilo unaolalamikia ni matokeo ya uzembe wako!
Sony is forever legend
 
Tecno[emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23]
Alaf tecno zote W5[emoji23][emoji23][emoji23]
Na umenunua leo af unaisfu
Ngja ianze kufany yke utarud hp kutubu uongo wako!
Tecno cio smu!
Ht cx uchfu tuu!
Response ya tecno ukitouch ni taabu tu. Keyboard unasubirrr, camera ukipga picha kusave unasubirrrr'

Cmu n iphone & samsung'
Hzo unazoona ni simu hebu nitajie moja yenye bei chini ya laki 3 ukitumia huwa unaenjoy? acha Mbwembwe hzo brand matoleo mazuri ni laki 7 kwenda juu ambapo vitu vyake vyote unavipata kwenye techno ya laki 3 plus chaji haiishi sasa kipi bora?
 
Vitu unavyofata kwenye simu zenu za misifa unavipata kwenye W5 sijutii kuwa na techno wereva
Ukiona design yoyote inafanya mambo mengi mno kwa gharama ndogo ujue ni unstable, baada ya muda huelemewa maana background running applications zinakuwa nyingi kuliko hata uwezo wa processor walizoweka na bila shaka wametumia vitu vya quality ya chini kias flani kufidia gharama... hakuna anayetaka hasara
 
Ila kuna anaetaka kukosa wateja??
 
Internal 16GB
OS Android 6.0 Marshmallow
Processors 1.3GHz quad-core Cortex-A53 CPU, MediaTek MT6735 chipset, Mali-T720 GPU
RAM 1GB

Hii ndio simu ambayo unaisifa! mi naona unajifariji tu.
Taja simu unayoiona wewe ni bora yenye sifa kama hzo halafu sema bei yake kama hujapigwa laki 9
 
Back
Top Bottom