Baada ya kumiliki tecno W5LTE, Nimeamini hakuna simu bora kama tecno

Nimeamini hakuna simu bora kama tecno Nimeamini baada ya kununua tecno W5LTE aisee sijutii laki mbili Zangu
Samahani mkuu, naomba unielekeze Duka linalouza TECNO USED kisha muuzaji akatoa na warranty ya mwezi mmoja, maana mi nishazoea kuzikuta, NOKIA, SAMSUNG, MOTOROLA, LG, SONY ERICKSON na BLACKBERRY na muuzaji ananihakikishia nikinunua atanipa na warranty ya mwezi mmoja ikinisumbua nimrudishie, na nimeshazifanyia majaribio simu mbili huku nikizipigisha mzigo mzito, hii nnayo tumia hapa ni NOKIA LUMIA 925,....

Sasa naomba unielekeze duka ambalo naweza pata TECNO USED matoleo ya nyuma tukianzia na P3 na P5 maana kwa hizi simu za NOKIA, SAMSUNG, SONY Ericsson, MOTOROLA na LG na BLACKBERRY huwa nakuta matoleo ya tangu 2002 na zinauzwa USED.

NIKIPATA HILO DUKA NDO NITAAMINI KWAMBA TECNO NI SIMU IMARA, ZENYE UBORA WA HALI YA JUU NA ZINADUMU MUDA MREFU.....kinyume cha hapo TECNO zitakuwa uchafu flani hivi ambao unaletwa AFRICA
 
Nimeamini hakuna simu bora kama tecno Nimeamini baada ya kununua tecno W5LTE aisee sijutii laki mbili Zangu
we unatumia copy ya simu unasema unatumia simu labda angalau ungesema oppo kidogo inakauwezo? ombi langu kwako mkuu ukianza kutumia simu basi uje kutupa mrejesho.
 
Natumia techno W5lite huu mwaka wa pili sasa.Nakumbuka niliponunuwa simu yangu nilimnunulia na mama simu ya Samsung galaxy note 5,lakini cha ajabu anataka nimpe my phone. Nilianza kutumia techno M3,Techno kiboko
 
tecno haijawahi kuniangusha pamoja na kuwa na fursa ya kununua hizo nyingine lkn heshima hiko tecno.
tatizo wakati wanaingia ilionekana kama ni watu wa vitu feki feki.

Nimewahi kuwa na tablet moja TECNO 8H. Dar arusha naitumia Bila pause kusomea books na bado nashuka chaji haijaisha. Hadi Kuna kipindi ilikuwa inanichosha maana haiharibiki zaidi ya mimi kuiangusha na kupasuka screen.
 
Back
Top Bottom