Hafaidiki na uwepo wako kwani umeshindwa kumkatia hata bima ya afya aje kufaidika na Bombardier !...?Hivi hizi ndege zinamnufaishaje babu yangu anayeishi kule nanjilinji
Akili za lumumba bana...haya nenda ka edit kichwa cha thread isomeke nimeshindwa kimkatia babu yangu bimaHafaidiki na uwepo wako kwani umeshindwa kumkatia hata bima ya afya aje kufaidika na Bombardier !...?
Hafaidiki na uwepo wako kwani umeshindwa kumkatia hata bima ya afya aje kufaidika na Bombardier !...?
Jibu swali Kwa point na siyo kupayuka kilumumba Lumumba, Hizo ndege zimenunuliwa Kwa jasho letu watanzania, sasa hujajibu sisi tuliopo huku porini tutafaidikaje?Hafaidiki na uwepo wako kwani umeshindwa kumkatia hata bima ya afya aje kufaidika na Bombardier !...?
Hivi hizi ndege zinamnufaishaje babu yangu anayeishi kule nanjilinji
Jibu swali Kwa point na siyo kupayuka kilumumba Lumumba, Hizo ndege zimenunuliwa Kwa jasho letu watanzania, sasa hujajibu sisi tuliopo huku porini tutafaidikaje?
OK badilisheni basi hilo tangazo lenu baada ya kuandika watanzania vumilieni andikeni "Lumumba vumilieni"Siyo lazima anufaike.
Dah...acha uboya bana...umesikia watu wanapanda bure?....ile nauli inayolipwa pale...serikali inachukua sehemu..kisha Babu yako anunuliwa dawa[emoji13] [emoji13] [emoji13]Hivi hizi ndege zinamnufaishaje babu yangu anayeishi kule nanjilinji
Hivi hizi ndege zinamnufaishaje babu yangu anayeishi kule nanjilinji