Swali la kujiuliza ni kwanini Raisi Magufuli amemtoa mtu mzoefu wa mahusiano ya kimataifa na kumuweka mtu ambaye hana uzoefu na siasa za kimataifa. Tena kwanini amuweke kwenye kipindi ambacho siasa za dunia yetu zimebadilika kwa kasi sana.
Jibu:-Swali la kujiuliza ni kwanini Raisi Magufuli amemtoa mtu mzoefu wa mahusiano ya kimataifa na kumuweka mtu ambaye hana uzoefu na siasa za kimataifa. Tena kwanini amuweke kwenye kipindi ambacho siasa za dunia yetu zimebadilika kwa kasi sana.
Halafu kesho anatumwa kupeleka bakuli la ombaomba Ulaya?“A few hooligans in the EUparliament Foreign Affairs Committee.” - Palamagamba Kabudi.
Sijui kama Kabudi ana abc za international relations.Halafu kesho anatumwa kupeleka bakuli la ombaomba Ulaya?
Tumepeleka profesa wa sheria za ndoa kwenye masuala ya diplomasia wakati amezoea mfumo dume. Yaani Magu aliamini Kabudi akiwatolea macho Pima wazungu wataufyata.Sijui kama Kabudi ana abc za international relations.
Kimataifa zaidi.
Kabudi kafeli karibu kwa kila kitu, anakabidhiwa majukumu makubwa ya kurudisha heshima ya nchi yetu kwa jumuiya za kimataifa, majukumu yanayohitaji mtu aliye na msimamo, a principled person, anayesimamia ukweli, asiye kurupuka, mtu mwenye uwezo wa control emotions na temper, Kabudi hana hizo sifa, si mkweli, ana jaziba, tutegemee nini kwa Prof. Kabudi kama siyo kuharibu zaidi.
Kasimamia uanzishwaji wa sheria mbovu ya vyama vya siasa ambayo inakwenda kuongeza ufa katika jamii.
Kasimamia mazungumzo yasiyo na faida ya makinikia kiasi kwamba hadi sasa hatima yake haijulikani.
Kasimamia uanzishwaji wa sheria mbovu ya mashirika ya mifuko ya kijamii kuhusu kikokotoo hadi rais alipoingilia kati.
Kasaini mkataba na kampuni hewa ya Kenya kuhusu ununuzi wa korosho hadi sasa hatima yake haijulikani.
Kwa kipindi chake kama msimamizi mkuu wa wizara ya sheria tumeshuhudia ukiukwaji mkubwa wa katiba na sheria za haki za binadamu.
A principled person is someone who acts with integrity and honesty, with a strong sense of fairness, justice and respect for the dignity of the individual, groups and communities.
Amesahau kimo chake huyo....!Kimataifa zaidi.