ni kweli ukiwa na gari inakurahisishia mambo mengi sema tu umasikini aliotuletea ccm hii ya kikwete
katika east africa Tanzania pekee ndio bidhaa bei ghali sana.
mfano mdogo tu hapa mwanza kuna maji yanatoka uganda yanaitwa rwenzori yanauzwa 1000 dukani ila ya gachuma (dasani )1200 ya Kilimanjaro 1200