Baada ya kuathirika na vvu sasa aokoka!

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,174
Sijui kwa nini huyu jamaa yangu wa karibu sana afya ilipokuwa swafi hata kanisani alikuwa haendi na alikuwa gwiji wa fataki....................sasa mpira umemgeukia aumwa kisawasawa sasa amekimbilia kwenye ulokoli na hataki tena utani kwenye swala la kumcha Mungu kuna nini?
 
unauliza kwanini tena jaman?kwanini umekwanini?
kafanya la mbolea sana
amrudie mungu atengenezee mapito yake
sa wewe ulitaka aendelee na ushedwanii wake?
mzidi kumtia moyo azidshe sala
mungu anarehemu na muweza wa yote anaweza akamponya uo ugonjwa cz yote yalimalizwa pale kalvary ..magonjwa yooooooooooooooote,tabu zoooooooote zilifukiwa pale msalaban ni kiasi cha kuomba msamaha na kuomba huruma na msaaada wake yote yanawezekana
KAFANYA LA UKWELI KUMRUDIA MUNGU.
WEWE PIA ANZA KUMRUDIA MUNGU USISUBIRI MPK UIKANYAGE.
 
Naona una speed kali kuongeza post zako kaka enedlea bado kidogo ugonge post buku. :biggrin1: Ila elewa kuwa unachokiongelea hakina tija yoyote unatuuliza sie tusiomjua huyo jamaa yako kweli wewe timamu? sisi ndio wa kukuuliza wewe maana ni jamaa yako wa karibu kama unavyojinasibisha au wewe wa kutuuliza sisi details za jamaa yako wa karibu?

Note*

Mods watu kama hawa wawe na special attention maana wanajaza mi thread mingine haina kichwa wala miguu tukiwaachia hivi watakuja kutuuliza mambo ya wake zao ilhali wao ndio wanaowajua kiundani. Hawa watu wamulikwe!!! :director:
 
Vipi bw. Rutashubanyuma, ulitaka aje hapa JF nini????

Halafu suala la mtu kuumwa na kumrudia Mungu wake hilo ni lake binafsi, mi nafikiri ungekuwa muungwana sana kama ungempongeza kwa uamuzi wake mzuri, kwani kwa Mungu hakuna linaloshindikana.

Tuache Unyanyapaa...
 
Vipi bw. Rutashubanyuma, ulitaka aje hapa JF nini????

Halafu suala la mtu kuumwa na kumrudia Mungu wake hilo ni lake binafsi, mi nafikiri ungekuwa muungwana sana kama ungempongeza kwa uamuzi wake mzuri, kwani kwa Mungu hakuna linaloshindikana.

Tuache Unyanyapaa...

Ni mtu wake wa karibu lakini it seems anataka sisi tutolee maamuzi yake huyo mtu wake wakaribu ilhali ukaribu alionao ungemsaidia kila kitu. Huyu jamaa sijui anafanya kazi internet kafee! yeye akiwaza tu anaanzisha ka thread
 
sijui kwa nini huyu jamaa yangu wa karibu sana afya ilipokuwa swafi hata kanisani alikuwa haendi na alikuwa gwiji wa fataki....................sasa mpira umemgeukia aumwa kisawasawa sasa amekimbilia kwenye ulokoli na hataki tena utani kwenye swala la kumcha mungu kuna nini?

ungefikiria mara mbili kabla haujaposti hiki ulichoandika sielewi kama unashangilia au unafurahia au ni message gani unataka ku percive
 
huko ndiko wanakodanganyana wamepona na kuanza kueneza kwa wengine haswa mahouse girl,ambao huwa nanaenda huko kutafuta wachumaba,maana ktk matangazo ya haya makanisa ya kilokole ni 'njoo upate mchumba'
 
Back
Top Bottom