Kanisa la Chanzo Halisi sasa kufanya Hijja Kigoma badala ya Israel na Makka

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,012
142,046
Askofu mkuu wa Kanisa la Chanzo Halisi amesema sasa watafanya Hijja mkoani Kigoma na kwa mara ya kwanza matukio kwenye Hijja yatarushwa mubashara na Star tv na Chanzo Halisi TV

Askofu amesema awali alikuwa akienda Hijja Israel na Baadhi ya Waumini wake wamewahi kuhiji Makka Madina

Ticket za safari zinapatikana Kanisani Tegeta

Source: Star tv
 
Elia Elisha Miaka 1000 kiongozi wa Kanisa Halisi la Mungu Baba akiwa anamuombea mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan

2021 /8 August 🔴 #LIVE : KANISA HALISI LA MUNGU BABA LAMUOMBEA RAIS SAMIA NA TAIFA


1704006245555.png
 
Back
Top Bottom