Baada ya kuathirika na vvu sasa aokoka!

Watu wa humu ndani kwa kukurupuka hamjambo. Huyu jamaa ametuelezea kisa cha jamaa yake hakumaanisha anakuuliza swali wewe kuhusu huyo jamaa; yeye anahoji kwa nini wakati wa shida ndiyo watu humrudia muumba wao wakati wa raha wanasahau? toa maoni yako kuhusu uliloullizwa siyo kuanza lawama za kizee humu. kama huna maoni kaa kimya siyo lazma kila thread uijibu hasa pale unapoona haina maana. Wewe unaweza ona haina maana lakini kwangu mimi ikawa na maana.

Dharai siyo nzuri, njia nzuri ya kudharau kitu ni kukaa kimya!
 
chonde - pamoja na kuwa ni mtu wako wa karibu - USIMKATISHE TAMAA KWA NJIA YOYOTE ILE - KWANI KUMKIMBILIA MUUNGU NDIO SAHIHI

ila na wewe MUUNGE MKONO - UOKOKE ILI MUWE KARIBU VIZURI OTHERWISE MUNGU ATAMPA MTU MWINGINE WA KARIBU KWAKE = MLOKOLE MWENZAKE - [ushauri wa bure tuuu]
 
Labda hujamwelewa hakufurahia kwa huyo jamaa wake wakaribu kumrudia Mungu wake alitaka aondoke na wengi.....
 
Mkuu mbona unakosa uungwana na hili.. Sasa unataka kufanana na yule aliyesema walio na UKIMWI NI KIHEREHERE CHAO. Ingekuwa vyema kama ungekuja na post ya kusema 'Jamani nina rafiki yangu ambaye ni mgonjwa naomba tuungane pamoja kumweka katika maombi' hapo ungekuwa umefanya la mbolea. Natumaini utakuwa umejifunza kwa hili mkuu tuzidi kuombeana. Maneno ya Mungu yanaleta faraja na matumaini kwa hivi ni vyema alivyoamua kumrudia mungu..Mpe pole ndugu yetu mwambie asife moyo azidi kuomba nasi tutazidi kumwombea.
 
Back
Top Bottom