secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 22,849
- 47,878
Mimi huvaa vazi liitwalo kondom hivyo gono nitalisikia tu kwenye redio mbao.Kitembeze mpk gono ikistopishe kwa muda
Mimi huvaa vazi liitwalo kondom hivyo gono nitalisikia tu kwenye redio mbao.Kitembeze mpk gono ikistopishe kwa muda
Ntumie nyimbo ya muchana ya Kanda ManMimi huvaa vazi liitwalo kondom hivyo gono nitalisikia tu kwenye redio mbao.
Ngoja nikutumie piemNtumie nyimbo ya muchana ya Kanda Man
Ntumie WhatsAppNgoja nikutumie piem
watsApp haisopoti utumaji wa baadhi ya nyimbo hasa za wasanii wa njeNtumie WhatsApp
Sigala kali nikajua umepotelea Ulaya huko kumbe ulipigwa ban mkuu sema punguza maneno makali sasa hivi wahuni wachache ndio wanatukana hovyo.Acha uchochezi mkuu
Teh teh tehee, nimecheka sana,uenda watamwambia kwanini walimpiga ban,tuwe na subraBan ya mwaka mzima kwani ulitoka na mke wa moderator wa jamiiforum?
Angalia mkuu,ban isije kukumba!!Ban miaka ulikutwa unakunya JF HQ mezani au?
Hivi logo imebadilika kuwa Jamii Afrika ama bado?Unaijua "JamiiAfrica" ?
Bado nadhani wako kwenye mchakato huo.Hivi logo imebadilika kuwa Jamii Afrika ama bado?
Maana kwangu bado logo ni Jamii Forums na app ipo updated.