Ndoa ni kitu mbaya mno.Sogea tukae
Usinglr ndo una faida gani kwa mfno ?Ndoa ni kitu mbaya mno.
Kwani we umeoa?🤔Usinglr ndo una faida gani kwa mfno ?
Nimeoa nipo kwenye ndoa mwaka wa kumi huu, Nina watoto wanneKwani we umeoa?🤔
Je, uko single?
Kama uko single huenjoi life?
Kama huinjoy sababu ni nini?
Hahaha 😂, ni changamoto gani unakutana nazo ndoani.Nimeoa nipo kwenye ndoa mwaka wa kumi huu, Nina watoto wanne
changamoto watoto kunivunjia tv, mara vyombo lkn ma mtu nimemweka chini ya Sheria zangu kama mkoloni sitaki kuzoeanaHahaha 😂, ni changamoto gani unakutana nazo ndoani.
Hahahaha 😂, hongera sana kwa kumburuta huyo bibie.changamoto watoto kunivunjia tv, mara vyombo lkn ma mtu nimemweka chini ya Sheria zangu kama mkoloni sitaki kuzoeana
Acha uchochezi mkuuMods piga ban huyu
Aisee pole sana! Na karibu tena jukwaani.Nilipigwa BAN kimya kimya kwa miaka kadhaa kosa silijui Ila imerudi tena Sigara Kali.
Asanteni moderators wote wa JF
Mwaka huu nampa talaka niish singleHahahaha 😂, hongera sana kwa kumburuta huyo bibie.
Du ulikuwepo long time.Nilipigwa BAN kimya kimya kwa miaka kadhaa kosa silijui Ila imerudi tena Sigara Kali.
Asanteni moderators wote wa JF
Mi gentleman nipo kanda ya ziwa usukumani ndani ndani hukuNgoja tumuulize Sigara Kali ana jinsia gani, zali la mentali linaweza kutudondokea eti!
Asante mkuu nipo tangu 2017 hiviDu ulikuwepo long time.
Karibu.
Hapo uta enjoy your life, marriage is an optical illusion 😎Mwaka huu nampa talaka niish single
Hapo sawa mkuu.Mi gentleman nipo kanda ya ziwa usukumani ndani ndani huku
Illusion kwako ndege wa kiotani sio kwangu DrHapo uta enjoy your life, marriage is an optical illusion 😎
Mimi nina tembeza tu rungu kipepe na sipangiwi na pimbi yeyote.Illusion kwako ndege wa kiotani sio kwangu Dr
Kitembeze mpk gono ikistopishe kwa mudaMimi nina tembeza tu rungu kipepe na sipangiwi na pimbi yeyote.