Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,708
- 8,746
Nilipigwa BAN kimya kimya kwa miaka kadhaa kosa silijui Ila imerudi tena Sigara Kali.
Asanteni moderators wote wa JF
Asanteni moderators wote wa JF
Nyingine tena?Mods piga ban huyu
Ban miaka ulikutwa unakunya JF HQ mezani au?Nilipigwa BAN kimya kimya kwa miaka kadhaa kosa silijui Ila imerudi tena Sigara Kali.
Asanteni moderators wote wa JF
Ngoja tumuulize Sigara Kali ana jinsia gani, zali la mentali linaweza kutudondokea eti!Unamjua secretarybird mpenzi wa BICHWA KOMWE - ?.
Kwani ndguyo @poorbrain Yuko wapNgoja tumuulize Sigara Kali ana jinsia gani, zali la mentali linaweza kutudondokea eti!
Kwani ndguyo @poor brain Yuko wap
Hujajua kivipi ? Au dory keshachoma dawa ya mbu imeondoa uhai wa mpendwa wetu
Inawezekana pia maana ndoa ni kitu cha hatari sana.Hujajua kivipi ? Au dory keshachoma dawa ya mbu imeondoa uhai wa mpendwa wetu
Ndoa wapi 😂 Hana ndoa kichwa poorInawezekana pia maana ndoa ni kitu cha hatari sana.
Yule ana muke.Ndoa wapi 😂 Hana ndoa kichwa poor
Sogea tukaeYule ana muke.