Baada ya kifo cha CHADEMA, nini hatma ya upinzani nchini?

Uliadimika sana mkuu, nikajisemea moyoni jitihada zimezaa matunda. Umepambana sana, sijui kama wanatamini au kutambua mchango wako.

CDM kama ni kufa ingeshakufa kitambo, inapigwa vita za majini, nchi kavu na angani.

Ushindi wenu unatokana na anaetangaza mshindi sio anaechaguliwa na wananchi.
Lizabon umesikia hekaya za abunuwasi..eti ushindi unatokana na anaetangaza..hahaaah..ingekuwa hivyo walahi chadema wangepewa wabunge wawili tuu...hawa wabunge wanaopayukapayuka wasingekaa wakaonja.harufu ya Bungeni..this is a fact..hivi watanzania unawajua au huwajui...mmeota ndoto.za safari ya matumaini weeeeee....haijawahi fika..imeishia kule.Monduli ..tusikae tukaanza tukajipa moyo usiokuwa na.sababu yoyote
 
Lizabon umesikia hekaya za abunuwasi..eti ushindi unatokana na anaetangaza..hahaaah..ingekuwa hivyo walahi chadema wangepewa wabunge wawili tuu...hawa wabunge wanaopayukapayuka wasingekaa wakaonja.harufu ya Bungeni..this is a fact..

Umeshawahi sikia matokeo ya urais yamepelekwa mahakamani au kupingwa baada ya kutangazwa na mwenyekiti wa tume?
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Kwanza kabisa napenda kukipongeza chama changu cha Mapinduzi kwa kusimamia vema mabadiliko ya kimuundo, kimfumo na kiuchumi katika nchi hii chini ya Jemedari Comredi John Pombe Magufuli. Kwa kweli sijajuta tangu nilipoanza harakati za kumtaka awe Rais wa nchi hii na sasa anatuongoza vema. Nchi imetulia, nchi imechangamka, nchi inasonga mbele kwa kasi ya ajabu. Ndani ya miaka 3 tu ya utawala wake tumeyaona tusiyoyatarajia kuyaona. Nani alijua kama kuna Bombardier kama si Rais Magufuli kutuletea? Nani alijua kuhusu Reli ya Standard Gauge kama si jitihada za Rais Magufuli? Nani alijua kuhusu Stiggler's Gourge kama si Jemedari Magufuli.

Kwa hapa tulipofikia Watanzania wameelewa somo. Majority tunazungumza lugha moja nayo ni Hapa Kazi Tu. Majority tunajua kuwa kiongozi na mwokozi wetu ni mmoja tu naye ni DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI. Chama cha siasa kinachong'ara na kutamba kwa sasa ni kimoja tu nacho ni CCM. CUF kimefyekelewa mbali. NCCR Mageuzi tupa kuleeeee! ACT Wazalendo kimekuwa ACT Wasaliti. CHADEMA kimekimbiwa na wabunge na madiwani wengi na sasa kimebaki kuwa chama cha ukoo wa Mbowe tu.

Kifo cha CHADEMA hakileti uhai wa siasa za Tanzania. Kimeua ushindani wa hoja hapa Jamiiforums. Umetufanya wengine tulale usingizi wa pono. Umesababisha baadhi ya watu wafe njaa kwa kuwa uwezo wa CHADEMA kuwalisha na kuwanywesha haupo. Kutokana na hali hiyo, bado najiuliza nini hatma ya upinzani nchini?

Tukutane kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020 tushuhudie aibu ya chama kikuu cha upinzani kushindwa kupata hata mbunge mmoja.

Msinitafute. Naendelea kula bata huku kwenye nchi za watu baada ya kuhitimu masomo yangu ya Shahada ya Pili.
Lizaboni hongera sana mdau. Hilo lichama lilishakufa siku nyingi, nadhani sasa tunajenga nchi na yule tapeli yupo lupango wala hakuna anayepoteza muda kumuongelea
 
Mkuu bado unatafuta kiki ya uteuzi? Una gundu mkuu mpaka leo bado mtukane membe utapata udas
 
Huu ni muhuri mwingine wa Timu Magufuli katika uimara wake!!
Asante sana kwa maneno kuntu...
Kwako mchapakazi Lizaboni
 
Hahahahahahahaaaaaa. Vipi yule Mzee wa Mabadiliko? kwa mnavyomuona ana uwezo hata wa kushika kikombe cha chai?
Hebu tutajie jinsia yako kwanza mkuu, sidhani kama mwanaume alie kamilika anaweza kumkejeli mwanaume au binadamu mwenzake kutokana Na madhaifu yake,
 
Siyo rahisi sana kwa CHADEMA kufa, hiyo ni wishful thinking. Kinaweza kisiwe na nguvu kwa sasa kutokana na utendaji wa Mh. Raisi ila wakijipambanua bado wananafasi ya kushindana kama chama mbadala.
Wakiacha kuchukua na kutetea mafisadi
 
Gunia la mahindi la kgs 100 kwenu Songea ni 18,000 tena bado hakuna wa kununua.
Kahawa Mbinga wamepeleka ushirika tangu mwezi wa 7 mpaka Leo hawajalipwa.
Hayo ya reli,ndege,bwawa la umeme hata hawayafahamu kilio Chao ni kuporomoka kwa bei ya mazao.
Hata hivyo Wewe endelea kula Bata!
Mahindi yasagwe wauze unga
 
Siyo rahisi sana kwa CHADEMA kufa, hiyo ni wishful thinking. Kinaweza kisiwe na nguvu kwa sasa kutokana na utendaji wa Mh. Raisi ila wakijipambanua bado wananafasi ya kushindana kama chama mbadala.
Labda chama mbadala cha *******
 
Back
Top Bottom