Baada ya kifo cha CHADEMA, nini hatma ya upinzani nchini?

Wadau, amani iwe kwenu.

Kwanza kabisa napenda kukipongeza chama changu cha Mapinduzi kwa kusimamia vema mabadiliko ya kimuundo, kimfumo na kiuchumi katika nchi hii chini ya Jemedari Comredi John Pombe Magufuli. Kwa kweli sijajuta tangu nilipoanza harakati za kumtaka awe Rais wa nchi hii na sasa anatuongoza vema. Nchi imetulia, nchi imechangamka, nchi inasonga mbele kwa kasi ya ajabu. Ndani ya miaka 3 tu ya utawala wake tumeyaona tusiyoyatarajia kuyaona. Nani alijua kama kuna Bombardier kama si Rais Magufuli kutuletea? Nani alijua kuhusu Reli ya Standard Gauge kama si jitihada za Rais Magufuli? Nani alijua kuhusu Stiggler's Gourge kama si Jemedari Magufuli.

Kwa hapa tulipofikia Watanzania wameelewa somo. Majority tunazungumza lugha moja nayo ni Hapa Kazi Tu. Majority tunajua kuwa kiongozi na mwokozi wetu ni mmoja tu naye ni DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI. Chama cha siasa kinachong'ara na kutamba kwa sasa ni kimoja tu nacho ni CCM. CUF kimefyekelewa mbali. NCCR Mageuzi tupa kuleeeee! ACT Wazalendo kimekuwa ACT Wasaliti. CHADEMA kimekimbiwa na wabunge na madiwani wengi na sasa kimebaki kuwa chama cha ukoo wa Mbowe tu.

Kifo cha CHADEMA hakileti uhai wa siasa za Tanzania. Kimeua ushindani wa hoja hapa Jamiiforums. Umetufanya wengine tulale usingizi wa pono. Umesababisha baadhi ya watu wafe njaa kwa kuwa uwezo wa CHADEMA kuwalisha na kuwanywesha haupo. Kutokana na hali hiyo, bado najiuliza nini hatma ya upinzani nchini?

Tukutane kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020 tushuhudie aibu ya chama kikuu cha upinzani kushindwa kupata hata mbunge mmoja.

Msinitafute. Naendelea kula bata huku kwenye nchi za watu baada ya kuhitimu masomo yangu ya Shahada ya Pili.
Nani aliyekudanganya CDM imekufa?
 
by the time unarudi Bongo, CCM itakuwa tayari ishaporwa na wasaka tonge.

utakuwa mgeni wa nani??!
 
Kwani kifo kinajificha? Huoni jinsi watu wanavyolia?
Nani anayelia? Kama CDM imekufa mbona JIWE anatumia fedha kununua wabunge wa CDM? Mbona anazuia CDM wasifanye mikutano? Mbona viongozi karibu wote wa CDM wameshtakiwa kwa kesi zisizo na kichwa wala miguu? Kama kimekufa mbona TLP,CHAUMA,JAHAZI HASILIA hamvifatilii?
 
Mwenzio anaongeza elimu wewe unacheza singeli ya membe mitaani
Uwiii bavicha magoti fukara kabisa
Hivi wewe una faida gani hapo lumumba? Maana huna akili hata kidogo,una low IQ
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Kwanza kabisa napenda kukipongeza chama changu cha Mapinduzi kwa kusimamia vema mabadiliko ya kimuundo, kimfumo na kiuchumi katika nchi hii chini ya Jemedari Comredi John Pombe Magufuli. Kwa kweli sijajuta tangu nilipoanza harakati za kumtaka awe Rais wa nchi hii na sasa anatuongoza vema. Nchi imetulia, nchi imechangamka, nchi inasonga mbele kwa kasi ya ajabu. Ndani ya miaka 3 tu ya utawala wake tumeyaona tusiyoyatarajia kuyaona. Nani alijua kama kuna Bombardier kama si Rais Magufuli kutuletea? Nani alijua kuhusu Reli ya Standard Gauge kama si jitihada za Rais Magufuli? Nani alijua kuhusu Stiggler's Gourge kama si Jemedari Magufuli.

Kwa hapa tulipofikia Watanzania wameelewa somo. Majority tunazungumza lugha moja nayo ni Hapa Kazi Tu. Majority tunajua kuwa kiongozi na mwokozi wetu ni mmoja tu naye ni DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI. Chama cha siasa kinachong'ara na kutamba kwa sasa ni kimoja tu nacho ni CCM. CUF kimefyekelewa mbali. NCCR Mageuzi tupa kuleeeee! ACT Wazalendo kimekuwa ACT Wasaliti. CHADEMA kimekimbiwa na wabunge na madiwani wengi na sasa kimebaki kuwa chama cha ukoo wa Mbowe tu.

Kifo cha CHADEMA hakileti uhai wa siasa za Tanzania. Kimeua ushindani wa hoja hapa Jamiiforums. Umetufanya wengine tulale usingizi wa pono. Umesababisha baadhi ya watu wafe njaa kwa kuwa uwezo wa CHADEMA kuwalisha na kuwanywesha haupo. Kutokana na hali hiyo, bado najiuliza nini hatma ya upinzani nchini?

Tukutane kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020 tushuhudie aibu ya chama kikuu cha upinzani kushindwa kupata hata mbunge mmoja.

Msinitafute. Naendelea kula bata huku kwenye nchi za watu baada ya kuhitimu masomo yangu ya Shahada ya Pili.
Pathetic topic ever.....
 
Sasa hivi mnalipwa zile buku saba kweli au mnajitaabisha tu
Chadema haiwezi kufa milele
Ccm ndio imekufa tayari inashikiliwa na police, wanajeshi, na tume ya uchaguzi ili iendelee kuishi lakini kihalisia ccm haipo tena mbele ya mtanzania mpiga kura
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Kwanza kabisa napenda kukipongeza chama changu cha Mapinduzi kwa kusimamia vema mabadiliko ya kimuundo, kimfumo na kiuchumi katika nchi hii chini ya Jemedari Comredi John Pombe Magufuli. Kwa kweli sijajuta tangu nilipoanza harakati za kumtaka awe Rais wa nchi hii na sasa anatuongoza vema. Nchi imetulia, nchi imechangamka, nchi inasonga mbele kwa kasi ya ajabu. Ndani ya miaka 3 tu ya utawala wake tumeyaona tusiyoyatarajia kuyaona. Nani alijua kama kuna Bombardier kama si Rais Magufuli kutuletea? Nani alijua kuhusu Reli ya Standard Gauge kama si jitihada za Rais Magufuli? Nani alijua kuhusu Stiggler's Gourge kama si Jemedari Magufuli.

Kwa hapa tulipofikia Watanzania wameelewa somo. Majority tunazungumza lugha moja nayo ni Hapa Kazi Tu. Majority tunajua kuwa kiongozi na mwokozi wetu ni mmoja tu naye ni DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI. Chama cha siasa kinachong'ara na kutamba kwa sasa ni kimoja tu nacho ni CCM. CUF kimefyekelewa mbali. NCCR Mageuzi tupa kuleeeee! ACT Wazalendo kimekuwa ACT Wasaliti. CHADEMA kimekimbiwa na wabunge na madiwani wengi na sasa kimebaki kuwa chama cha ukoo wa Mbowe tu.

Kifo cha CHADEMA hakileti uhai wa siasa za Tanzania. Kimeua ushindani wa hoja hapa Jamiiforums. Umetufanya wengine tulale usingizi wa pono. Umesababisha baadhi ya watu wafe njaa kwa kuwa uwezo wa CHADEMA kuwalisha na kuwanywesha haupo. Kutokana na hali hiyo, bado najiuliza nini hatma ya upinzani nchini?

Tukutane kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020 tushuhudie aibu ya chama kikuu cha upinzani kushindwa kupata hata mbunge mmoja.

Msinitafute. Naendelea kula bata huku kwenye nchi za watu baada ya kuhitimu masomo yangu ya Shahada ya Pili.
Mimi nimefurahi sana kwa utawala huu kwani Maisha kwangu yamekuwa poa sana

Naweza fanya nitakalo kwa pesa yangu

Nawaonea huruma chadema na wana ccm baadhi ambao walitegemea ccm kwenye
 
Unauliza hatma ya upinzani wakati hamuhitaji wala hampendi mawazo mbadala?

Kama Chadema kweli inakufa mfanye sherehe ya kichama, mle mnywe mkanye sio kuulizia hatma ya upinzani kinafiki.

Punguzeni unafiki maana kuacha kabisa haiwezekani.
 
Siyo rahisi sana kwa CHADEMA kufa, hiyo ni wishful thinking. Kinaweza kisiwe na nguvu kwa sasa kutokana na utendaji wa Mh. Raisi ila wakijipambanua bado wananafasi ya kushindana kama chama mbadala.
 
Nina hamu ya kumshughulikia yule jamaa. Anakumbuka muziki wangu 2015. Asubiri nimhenyeshe. Namfahamu vilivyo kuliko anavyomfahamu mama yake!
Kuwa makini yule ni Jasusi mzoefu usiende kwa kukurupuka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom