Baada ya kifo cha CHADEMA, nini hatma ya upinzani nchini?

Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,894
20,372
Wadau, amani iwe kwenu.

Kwanza kabisa napenda kukipongeza chama changu cha Mapinduzi kwa kusimamia vema mabadiliko ya kimuundo, kimfumo na kiuchumi katika nchi hii chini ya Jemedari Comredi John Pombe Magufuli. Kwa kweli sijajuta tangu nilipoanza harakati za kumtaka awe Rais wa nchi hii na sasa anatuongoza vema. Nchi imetulia, nchi imechangamka, nchi inasonga mbele kwa kasi ya ajabu. Ndani ya miaka 3 tu ya utawala wake tumeyaona tusiyoyatarajia kuyaona. Nani alijua kama kuna Bombardier kama si Rais Magufuli kutuletea? Nani alijua kuhusu Reli ya Standard Gauge kama si jitihada za Rais Magufuli? Nani alijua kuhusu Stiggler's Gourge kama si Jemedari Magufuli.

Kwa hapa tulipofikia Watanzania wameelewa somo. Majority tunazungumza lugha moja nayo ni Hapa Kazi Tu. Majority tunajua kuwa kiongozi na mwokozi wetu ni mmoja tu naye ni DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI. Chama cha siasa kinachong'ara na kutamba kwa sasa ni kimoja tu nacho ni CCM. CUF kimefyekelewa mbali. NCCR Mageuzi tupa kuleeeee! ACT Wazalendo kimekuwa ACT Wasaliti. CHADEMA kimekimbiwa na wabunge na madiwani wengi na sasa kimebaki kuwa chama cha ukoo wa Mbowe tu.

Kifo cha CHADEMA hakileti uhai wa siasa za Tanzania. Kimeua ushindani wa hoja hapa Jamiiforums. Umetufanya wengine tulale usingizi wa pono. Umesababisha baadhi ya watu wafe njaa kwa kuwa uwezo wa CHADEMA kuwalisha na kuwanywesha haupo. Kutokana na hali hiyo, bado najiuliza nini hatma ya upinzani nchini?

Tukutane kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020 tushuhudie aibu ya chama kikuu cha upinzani kushindwa kupata hata mbunge mmoja.

Msinitafute. Naendelea kula bata huku kwenye nchi za watu baada ya kuhitimu masomo yangu ya Shahada ya Pili.
 
Ha haaa haaaaa we Jamaa kumbe upo!

Hawajambo hapo Cambridge?
 
Utakufa wewe utaiacha Chadema ikiwa madarakani.
 
Mkuu tunaomba mtuazime Membe..."tupa Mbowe kule"
 
Back
Top Bottom