Ni kweli chama kikuu cha upinzani kinaweza kukosa hata mwenyekiti wa kitongoji mmoja kwa sababu kinashindana na ccm na matokeo ya uchaguzi yanasimamiwa na kutangazwa na ccm.Wadau, amani iwe kwenu.
Kwanza kabisa napenda kukipongeza chama changu cha Mapinduzi kwa kusimamia vema mabadiliko ya kimuundo, kimfumo na kiuchumi katika nchi hii chini ya Jemedari Comredi John Pombe Magufuli. Kwa kweli sijajuta tangu nilipoanza harakati za kumtaka awe Rais wa nchi hii na sasa anatuongoza vema. Nchi imetulia, nchi imechangamka, nchi inasonga mbele kwa kasi ya ajabu. Ndani ya miaka 3 tu ya utawala wake tumeyaona tusiyoyatarajia kuyaona. Nani alijua kama kuna Bombardier kama si Rais Magufuli kutuletea? Nani alijua kuhusu Reli ya Standard Gauge kama si jitihada za Rais Magufuli? Nani alijua kuhusu Stiggler's Gourge kama si Jemedari Magufuli.
Kwa hapa tulipofikia Watanzania wameelewa somo. Majority tunazungumza lugha moja nayo ni Hapa Kazi Tu. Majority tunajua kuwa kiongozi na mwokozi wetu ni mmoja tu naye ni DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI. Chama cha siasa kinachong'ara na kutamba kwa sasa ni kimoja tu nacho ni CCM. CUF kimefyekelewa mbali. NCCR Mageuzi tupa kuleeeee! ACT Wazalendo kimekuwa ACT Wasaliti. CHADEMA kimekimbiwa na wabunge na madiwani wengi na sasa kimebaki kuwa chama cha ukoo wa Mbowe tu.
Kifo cha CHADEMA hakileti uhai wa siasa za Tanzania. Kimeua ushindani wa hoja hapa Jamiiforums. Umetufanya wengine tulale usingizi wa pono. Umesababisha baadhi ya watu wafe njaa kwa kuwa uwezo wa CHADEMA kuwalisha na kuwanywesha haupo. Kutokana na hali hiyo, bado najiuliza nini hatma ya upinzani nchini?
Tukutane kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020 tushuhudie aibu ya chama kikuu cha upinzani kushindwa kupata hata mbunge mmoja.
Msinitafute. Naendelea kula bata huku kwenye nchi za watu baada ya kuhitimu masomo yangu ya Shahada ya Pili.
Nasikia jamaa aliburuzwa.Ushapata smartphone baada ya kujichanga
Ova
Kombani, Komba, masaburi etc wako wapi ? CDM haifi ng'oooMANENO kuntu
Hongera kwa kuongeza elimu
CCM ni ya milele walahi
Unaweza nithibitishia Udalali na uhaini wa wapinzani wa Tanzania?ni.mara mia kuwa na upinzani wa kizalendo wenye lengo kweli la kusaidia kuendeleza nchi lakini siyo hawa wapingaji , madalali wa kimataifa...waende kule wakawadalalie wazungu...nchi hawaiwezi...
Nilijua umeshakula uteuzi, kumbe bado!
Ingekuwa imekufa msingepata WENGE na uwepo wa CDM,kutwa kukamata viongozi wake,kutwa kuwazuia wasifanye mikutano,ACHENI UOGA.Mkuu, chadema imeshakufa. Acha ubishi.
uliadimika sorry nilifikili keWadau, amani iwe kwenu.
Kwanza kabisa napenda kukipongeza chama changu cha Mapinduzi kwa kusimamia vema mabadiliko ya kimuundo, kimfumo na kiuchumi katika nchi hii chini ya Jemedari Comredi John Pombe Magufuli. Kwa kweli sijajuta tangu nilipoanza harakati za kumtaka awe Rais wa nchi hii na sasa anatuongoza vema. Nchi imetulia, nchi imechangamka, nchi inasonga mbele kwa kasi ya ajabu. Ndani ya miaka 3 tu ya utawala wake tumeyaona tusiyoyatarajia kuyaona. Nani alijua kama kuna Bombardier kama si Rais Magufuli kutuletea? Nani alijua kuhusu Reli ya Standard Gauge kama si jitihada za Rais Magufuli? Nani alijua kuhusu Stiggler's Gourge kama si Jemedari Magufuli.
Kwa hapa tulipofikia Watanzania wameelewa somo. Majority tunazungumza lugha moja nayo ni Hapa Kazi Tu. Majority tunajua kuwa kiongozi na mwokozi wetu ni mmoja tu naye ni DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI. Chama cha siasa kinachong'ara na kutamba kwa sasa ni kimoja tu nacho ni CCM. CUF kimefyekelewa mbali. NCCR Mageuzi tupa kuleeeee! ACT Wazalendo kimekuwa ACT Wasaliti. CHADEMA kimekimbiwa na wabunge na madiwani wengi na sasa kimebaki kuwa chama cha ukoo wa Mbowe tu.
Kifo cha CHADEMA hakileti uhai wa siasa za Tanzania. Kimeua ushindani wa hoja hapa Jamiiforums. Umetufanya wengine tulale usingizi wa pono. Umesababisha baadhi ya watu wafe njaa kwa kuwa uwezo wa CHADEMA kuwalisha na kuwanywesha haupo. Kutokana na hali hiyo, bado najiuliza nini hatma ya upinzani nchini?
Tukutane kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020 tushuhudie aibu ya chama kikuu cha upinzani kushindwa kupata hata mbunge mmoja.
Msinitafute. Naendelea kula bata huku kwenye nchi za watu baada ya kuhitimu masomo yangu ya Shahada ya Pili.
Tangu lini inflormer akawa jasusi. 2015 alipokuwa na nguvu alianguka 2020 akiwa dhaifu ndiyo apite?Kuwa makini yule ni Jasusi mzoefu usiende kwa kukurupuka
Labda hizo scholarship awe anatoa pole poleAkimaliza na mimi nitaingia masomoni!!
Jamaa huwa ana akili nyembamba sana kama ilivyo ada yake.Ameandika kana kwamba ni kiumbe kinachofurahia wokovu hivi.Kumbe ndani kabisa anagugumia kwa uchungu nyikani huku anapiga miayo tu.Viwanda viko wapi watu wangu wanauliza kutoka nyuma ya mtaa
JIULIZE JUU YA HATIMA YAKO KWASABABU UTAKOSA PESA YA KWENDA CHOO KWA KAZI UNAYOFANYA. HALAFU JIULIZE CHADEMA NI NANI??? UKIPATA JIBU KACHUKUE PESA YAKO YA SIKUWadau, amani iwe kwenu.
Kwanza kabisa napenda kukipongeza chama changu cha Mapinduzi kwa kusimamia vema mabadiliko ya kimuundo, kimfumo na kiuchumi katika nchi hii chini ya Jemedari Comredi John Pombe Magufuli. Kwa kweli sijajuta tangu nilipoanza harakati za kumtaka awe Rais wa nchi hii na sasa anatuongoza vema. Nchi imetulia, nchi imechangamka, nchi inasonga mbele kwa kasi ya ajabu. Ndani ya miaka 3 tu ya utawala wake tumeyaona tusiyoyatarajia kuyaona. Nani alijua kama kuna Bombardier kama si Rais Magufuli kutuletea? Nani alijua kuhusu Reli ya Standard Gauge kama si jitihada za Rais Magufuli? Nani alijua kuhusu Stiggler's Gourge kama si Jemedari Magufuli.
Kwa hapa tulipofikia Watanzania wameelewa somo. Majority tunazungumza lugha moja nayo ni Hapa Kazi Tu. Majority tunajua kuwa kiongozi na mwokozi wetu ni mmoja tu naye ni DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI. Chama cha siasa kinachong'ara na kutamba kwa sasa ni kimoja tu nacho ni CCM. CUF kimefyekelewa mbali. NCCR Mageuzi tupa kuleeeee! ACT Wazalendo kimekuwa ACT Wasaliti. CHADEMA kimekimbiwa na wabunge na madiwani wengi na sasa kimebaki kuwa chama cha ukoo wa Mbowe tu.
Kifo cha CHADEMA hakileti uhai wa siasa za Tanzania. Kimeua ushindani wa hoja hapa Jamiiforums. Umetufanya wengine tulale usingizi wa pono. Umesababisha baadhi ya watu wafe njaa kwa kuwa uwezo wa CHADEMA kuwalisha na kuwanywesha haupo. Kutokana na hali hiyo, bado najiuliza nini hatma ya upinzani nchini?
Tukutane kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020 tushuhudie aibu ya chama kikuu cha upinzani kushindwa kupata hata mbunge mmoja.
Msinitafute. Naendelea kula bata huku kwenye nchi za watu baada ya kuhitimu masomo yangu ya Shahada ya Pili.
Hizo ramli hazikuanza leo.Wadau, amani iwe kwenu.