Baada ya kifo cha CHADEMA, nini hatma ya upinzani nchini?

Mkuu lizaboni, umepotea sana sheikh. Karibu sana bongoland tule korosho za kuchoma. Wapinzani huku wanalia machozi ya damu
 
Mbona jemadari wenu ni mwoga sna anapigana na kivuli chake.ruhusu tu mikutano za kisiasa ambyo ipo kikatiba wachilia mbali tume huru uone moto wake.jemadari kashajimaliza mwenyewe kitambo amebakia na mitutu ya bunduki kujilinda nakujihakikishia anarudi kwnye nafasi yake.wote kilio uchumi hakuna pesa hakuna ajira wakulima wanalia wafanyakaz ndyo usipime.haha hahaha hakuna cha ccm wala chadema WOTE KILIO KWA SAUTI KUU
 
Bado wanadai kipo!!!!

wanamtaka Membe sasa!!
huruma
Na huyo Membe atakuwa mjinga nambali wani kama atatoka ccm kwenda chadema.
Pili, kwa 2020 bado wana dili na EL, hajamaliza vipindi vyake viwili; la sivyo itabidi mfalme mbowe ateme cha juu alichoweka kibindoni.
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Kwanza kabisa napenda kukipongeza chama changu cha Mapinduzi kwa kusimamia vema mabadiliko ya kimuundo, kimfumo na kiuchumi katika nchi hii chini ya Jemedari Comredi John Pombe Magufuli. Kwa kweli sijajuta tangu nilipoanza harakati za kumtaka awe Rais wa nchi hii na sasa anatuongoza vema. Nchi imetulia, nchi imechangamka, nchi inasonga mbele kwa kasi ya ajabu. Ndani ya miaka 3 tu ya utawala wake tumeyaona tusiyoyatarajia kuyaona. Nani alijua kama kuna Bombardier kama si Rais Magufuli kutuletea? Nani alijua kuhusu Reli ya Standard Gauge kama si jitihada za Rais Magufuli? Nani alijua kuhusu Stiggler's Gourge kama si Jemedari Magufuli.

Kwa hapa tulipofikia Watanzania wameelewa somo. Majority tunazungumza lugha moja nayo ni Hapa Kazi Tu. Majority tunajua kuwa kiongozi na mwokozi wetu ni mmoja tu naye ni DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI. Chama cha siasa kinachong'ara na kutamba kwa sasa ni kimoja tu nacho ni CCM. CUF kimefyekelewa mbali. NCCR Mageuzi tupa kuleeeee! ACT Wazalendo kimekuwa ACT Wasaliti. CHADEMA kimekimbiwa na wabunge na madiwani wengi na sasa kimebaki kuwa chama cha ukoo wa Mbowe tu.

Kifo cha CHADEMA hakileti uhai wa siasa za Tanzania. Kimeua ushindani wa hoja hapa Jamiiforums. Umetufanya wengine tulale usingizi wa pono. Umesababisha baadhi ya watu wafe njaa kwa kuwa uwezo wa CHADEMA kuwalisha na kuwanywesha haupo. Kutokana na hali hiyo, bado najiuliza nini hatma ya upinzani nchini?

Tukutane kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020 tushuhudie aibu ya chama kikuu cha upinzani kushindwa kupata hata mbunge mmoja.

Msinitafute. Naendelea kula bata huku kwenye nchi za watu baada ya kuhitimu masomo yangu ya Shahada ya Pili.
Un

Endelea na mapambio ila upinzani wa kweli utabaki kwenye mioyo ya watu
 
Hapa ni makinikia na mabox ya ripoti ya pr fesa kabudi na noha mojamoja kwa kila mtanzania
 
Sijaona chochote cha maana alichoandika mtoa mada. Nashindwa kuelewa kama kweli wewe ni Post Graduate Candidate kwa post hovyo kama hii.

Kweli elimu ya sasa ni very sub standard, unaenda huko kuharibu bure hela ya walipa kodi masikini kumbe hamna unachosoma ni umbeya mtupu nashangaa kwa nn msisomee hapa wakati sana sana utakuta eti mtu anasomea Political Science, History au Business Administration. Bure kabisa.
 
Adui wa Tanzania sio chadema hata kuiombea kufa leo au kesho haimaanishi matatizo ya Tanzania ndio yatakwisha.
 
Lizaboni bhana harafu unajihita msomi unasema upo nchi ambayo inaongozwa na upinzani na bado hujifunzi kitu
Kweli aliesema ukitaka kujua ugumu wa maisha acha kazi omba kibarua
 
Gunia la mahindi la kgs 100 kwenu Songea ni 18,000 tena bado hakuna wa kununua.
Kahawa Mbinga wamepeleka ushirika tangu mwezi wa 7 mpaka Leo hawajalipwa.
Hayo ya reli,ndege,bwawa la umeme hata hawayafahamu kilio Chao ni kuporomoka kwa bei ya mazao.
Hata hivyo Wewe endelea kula Bata!
 
Kilikufa NCCR ya mrema hiyo chadema ni bua tu 2020 kaburi liko wazi wote fyekelea mbali tuone baada ya kukosa ruzuku kama wataishi
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Kwanza kabisa napenda kukipongeza chama changu cha Mapinduzi kwa kusimamia vema mabadiliko ya kimuundo, kimfumo na kiuchumi katika nchi hii chini ya Jemedari Comredi John Pombe Magufuli. Kwa kweli sijajuta tangu nilipoanza harakati za kumtaka awe Rais wa nchi hii na sasa anatuongoza vema. Nchi imetulia, nchi imechangamka, nchi inasonga mbele kwa kasi ya ajabu. Ndani ya miaka 3 tu ya utawala wake tumeyaona tusiyoyatarajia kuyaona. Nani alijua kama kuna Bombardier kama si Rais Magufuli kutuletea? Nani alijua kuhusu Reli ya Standard Gauge kama si jitihada za Rais Magufuli? Nani alijua kuhusu Stiggler's Gourge kama si Jemedari Magufuli.

Kwa hapa tulipofikia Watanzania wameelewa somo. Majority tunazungumza lugha moja nayo ni Hapa Kazi Tu. Majority tunajua kuwa kiongozi na mwokozi wetu ni mmoja tu naye ni DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI. Chama cha siasa kinachong'ara na kutamba kwa sasa ni kimoja tu nacho ni CCM. CUF kimefyekelewa mbali. NCCR Mageuzi tupa kuleeeee! ACT Wazalendo kimekuwa ACT Wasaliti. CHADEMA kimekimbiwa na wabunge na madiwani wengi na sasa kimebaki kuwa chama cha ukoo wa Mbowe tu.

Kifo cha CHADEMA hakileti uhai wa siasa za Tanzania. Kimeua ushindani wa hoja hapa Jamiiforums. Umetufanya wengine tulale usingizi wa pono. Umesababisha baadhi ya watu wafe njaa kwa kuwa uwezo wa CHADEMA kuwalisha na kuwanywesha haupo. Kutokana na hali hiyo, bado najiuliza nini hatma ya upinzani nchini?

Tukutane kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020 tushuhudie aibu ya chama kikuu cha upinzani kushindwa kupata hata mbunge mmoja.

Msinitafute. Naendelea kula bata huku kwenye nchi za watu baada ya kuhitimu masomo yangu ya Shahada ya Pili.
Huyu jamaa nasikia ni mkuu wa wilaya
 
Hivi wewe una faida gani hapo lumumba? Maana huna akili hata kidogo,una low IQ
Hivyo,
downloadfile-2.jpg
 
Mtafute mzee mmoja huko ccm anaitwa Stephen Masatu Wassira umuulize atakupa jibu
 
Eti Chadema imekufa, halafu kila siku mnawafungulia kesi, mikutano mnazuia, anatumia tiss, jwtz, police, mahakama na kila idara ya seeikali, sasa kwanini mnahangaika na dead person, na bado mnajiandaa kuiba kura na kupora ushindi. Wewe endelea kula hela ya walipa kodi ila ipo siku na lazima itafika lazima uzicheue. Jueni shoka lipo shinani.
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Kwanza kabisa napenda kukipongeza chama changu cha Mapinduzi kwa kusimamia vema mabadiliko ya kimuundo, kimfumo na kiuchumi katika nchi hii chini ya Jemedari Comredi John Pombe Magufuli. Kwa kweli sijajuta tangu nilipoanza harakati za kumtaka awe Rais wa nchi hii na sasa anatuongoza vema. Nchi imetulia, nchi imechangamka, nchi inasonga mbele kwa kasi ya ajabu. Ndani ya miaka 3 tu ya utawala wake tumeyaona tusiyoyatarajia kuyaona. Nani alijua kama kuna Bombardier kama si Rais Magufuli kutuletea? Nani alijua kuhusu Reli ya Standard Gauge kama si jitihada za Rais Magufuli? Nani alijua kuhusu Stiggler's Gourge kama si Jemedari Magufuli.

Kwa hapa tulipofikia Watanzania wameelewa somo. Majority tunazungumza lugha moja nayo ni Hapa Kazi Tu. Majority tunajua kuwa kiongozi na mwokozi wetu ni mmoja tu naye ni DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI. Chama cha siasa kinachong'ara na kutamba kwa sasa ni kimoja tu nacho ni CCM. CUF kimefyekelewa mbali. NCCR Mageuzi tupa kuleeeee! ACT Wazalendo kimekuwa ACT Wasaliti. CHADEMA kimekimbiwa na wabunge na madiwani wengi na sasa kimebaki kuwa chama cha ukoo wa Mbowe tu.

Kifo cha CHADEMA hakileti uhai wa siasa za Tanzania. Kimeua ushindani wa hoja hapa Jamiiforums. Umetufanya wengine tulale usingizi wa pono. Umesababisha baadhi ya watu wafe njaa kwa kuwa uwezo wa CHADEMA kuwalisha na kuwanywesha haupo. Kutokana na hali hiyo, bado najiuliza nini hatma ya upinzani nchini?

Tukutane kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020 tushuhudie aibu ya chama kikuu cha upinzani kushindwa kupata hata mbunge mmoja.

Msinitafute. Naendelea kula bata huku kwenye nchi za watu baada ya kuhitimu masomo yangu ya Shahada ya Pili.
Ukitaka kupata kichekesho kingine kama hiki kutoka Lumumba bonyeza *150*CCM#
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom