donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,523
Ni burudani
Kwani post imetaja pombe wapi?Amri ya ngapi inakataza pombe? Katika Ahadi zao kuna inayowakataza pombe? wewe donlucchese uliwakuta kwenye guest? Yawezekana hii ni dhifa iliyoandaliwa na kanisa au jimbo hata jumuiya. Wakatoliki siyo wa Islam au walokole.
Wewe mbona uko kwenye utetezi wakati hamna aliyekosoa?Amri ya ngapi inakataza pombe? Katika Ahadi zao kuna inayowakataza pombe? wewe donlucchese uliwakuta kwenye guest? Yawezekana hii ni dhifa iliyoandaliwa na kanisa au jimbo hata jumuiya. Wakatoliki siyo wa Islam au walokole.
Sahihi dadaAmri ya ngapi inakataza pombe? Katika Ahadi zao kuna inayowakataza pombe? wewe donlucchese uliwakuta kwenye guest? Yawezekana hii ni dhifa iliyoandaliwa na kanisa au jimbo hata jumuiya. Wakatoliki siyo wa Islam au walokole.
Mmh dada kwani mtoa mada kasemaje?Amri ya ngapi inakataza pombe? Katika Ahadi zao kuna inayowakataza pombe? wewe donlucchese uliwakuta kwenye guest? Yawezekana hii ni dhifa iliyoandaliwa na kanisa au jimbo hata jumuiya. Wakatoliki siyo wa Islam au walokole.
Hiyo picha ni ya kudhalilisha masista wetu ambao wamekaa kistarabu halafu mtu anawaweka. Kwanini hakuweka watu wengine?Kwani post imetaja pombe wapi?
Picha inasema yote si lazima uongee. Fasihi.Mmh dada kwani mtoa mada kasemaje?
Kudhalilisha kivipi sasa wakati pombe kwenu ni kama juisi tu? Ni sawa unaweka mkristo anakula kitimoto useme kadhalilishwaHiyo picha ni ya kudhalilisha masista wetu ambao wamekaa kistarabu halafu mtu anawaweka. Kwanini hakuweka watu wengine?
Mbona picha huwa zinawekwa hum za watu wanaokunywa pombe na machupa yao mezaniPicha inasema yote si lazima uongee. Fasihi.
Tumuulize aliyeweka picha alikuwa na maana gani? Angeiweka kwenye mada ya wanywaji na walevi ambayo nami ni member aliianzisha mdogo wangu mshana jr. na mrangi ni kama katibu hahahaha. Walininyima cheo sijui kwa vigezo vipi???Kudhalilisha kivipi sasa wakati pombe kwenu ni kama juisi tu? Ni sawa unaweka mkristo anakula kitimoto useme kadhalilishwa
Kama hao masista kwenda kwao hapo bar na kunywa pombe ni kosa au hairuhusiwi kwa maadili ya kazi/dini yao basi wamejidhalilisha wao wenyewe na hakuna aliyewadhalilisha ila kama sio kosa kwao kukaa hapo na kunywa pombe basi sioni ubaya wowote wa hiyo picha.Mbona picha huwa zinawekwa hum za watu wanaokunywa pombe na machupa yao mezani
Niimbie HB leo mwenzio nimevuka mipaka ya kuishi.Sahihi dada
Hiyo picha ni ya kudhalilisha masista wetu ambao wamekaa kistarabu halafu mtu anawaweka. Kwanini hakuweka watu wengine?