Hongera sana mkuu, mwenyew nimeshaanza mitaani, natembea naskafu yaCDM shingoni, halafu simu yangu ya mchina ni full blast wimbo wa pipoz pawaa.Safi sana Makamanda huku mtaani mimi naendelea na Elimu ya Uraia kwa Kila ninaye kutana naye iwe ni kwenye Basi, Sokoni, Hotelini, Baa, Guest kazalika
Mkuu umenichanganya avatar yako nikajua ndio updates zenyewe.Updates tafadhali!
Yap, hii ni nguvu ya umma.Kamanda tayari yuko jukwaani...anawaambia kila mtu aliyeko eneo la mkutano ajisikie amani...
Mkuu mbona kuna uzi humu kamanda anatiririka
Heeeh?! Hiyo nyomi ni Sumbawanga au Mwanza...CCM mnakazi ngumu ngumu sana mbele ya CDM hawa jamaa wako serious kuliko mnavyofikiri..kama wanaweza kupata umati kama huu kwa mkutano wa kushtukiza siyo kitu cha kubeza
Usiyashtue yaendelee kujifariji kwa tafiti za SYNOVATE za kujichekesha/kujitekenya na kucheka mwenyewe!
...Baba YETU uliye juu Mbinguni yawahishe haraka majangili huko jehanamu watanzania wapate kupumua !!!!Kiukweli huwa namshukuru Mungu kuniwezesha kwenda kwenye mkutano wa mwembe yanga 2007 wa list of shame,
Maana hapo ndipo nilianzia kuwa mwanachama hai wa CHADEMA mwenye kadi. Sijutii kuichagua CDM.
Mungu Ibariki CHADEMA,Mungu Tubariki watanzania"
Kuna watu wamelishwa nyamafu na ccm kila siku wanaimba kwamba umaarufu wa Chadema unaporomoka na vijana wanaikimbia. Hilo nyomi la sumbawanga na big nyomi la jana mbeya ni ushahidi tosha kwamba Chadema inazidi kupanda wakati wao ndio wanaporomoka.
Baada ya CHADEMA kuiteka Nyanda za Juu Kusini kwa maandamano na mkutano mkubwa katika Jiji la Mbeya, leo ni zamu ya Kanda ya Magharibi katika Mji wa Sumbawanga, Rukwa.
Sumbawanga utakuwa ni mkutano wa hadhara. Uzinduzi wa kanda hii ya Magharibi umepangiwa tarehe ya mbele.
Mwenyekiti ameanza kwa kufungua misingi kadhaa, kabla ya kuelkea Uwanjani, Rukwa High School...
![]()
Ufunguzi wa misingi na matawi
![]()
Ufunguzi wa misingi na matawi
![]()
![]()
Ufunguzi wa misingi na matawi
![]()
Ufunguzi wa misingi na matawi
![]()
Kamanda Mbowe akiongoza maandamano
![]()
Maandamano kuelekea kiwanja cha mkutano
![]()
Kamanda Benson Kigaila.
![]()
Kamanda John Mlema
![]()
M/kiti taifa CHADEMA akimwaga cheche.
====== Updates ===========
Mkuu Tumaini Makene a.k.a Nyehunge...kazi nzuri sana unafanya ukitoka kule nipitie tukale nanasi Nzera