Cross your fingers for your safety
Hapa dar haichukui hata dakia 10 kama mtandao hausumbui.
Nahisi wanaozima line ni makampuni husika. Huenda Halotel wanatuvutia pumzi.
Ila ukijisajili unapokea 1GB kwa wiki
Nini kilichokua kinakuzuia kusajili mpaka ufikie hatua ya kusubiri laini ifungwe kwanza ndio usajili? 😳Line yangu ilizimwa 00:00 nikawa sipatikani wala siwezi kuingia online (ni card ninayotumia sana kwa ajili ya mtandao). Ilibidi nipite Milimani city nikafanye kuisajili.
Kama wanaweza kukutumia namba then wanaweza kujua kama unayo."Kundi la kwanza waliozimiwa laini ni watu 656,091 ambao wana vitambulisho vya Taifa au namba lakini hawajasajili laini zao". TCRA wanajuaje kama mtu ana kitambulisho cha NIDA au namba lakini hajasajili laini?
Soma reply #172"Amesema kundi la kwanza waliozimiwa laini ni watu 656,091 ambao wana vitambulisho vya Taifa au namba lakini hawajasajili laini zao" Hivi jamani kuna mtu kaelewa hapa. hao watu wamewajuaje wana vitambulisho lakini hawajajisajili mbona tunafanyana kama kuna watu wajinga sana. Mimi nadhani kuna kuongeza muda kinyemela tu hiyo kusema tunazima kwa awamu ni kama kusubiri kushinda kamari hakuna lolote..
Hapo ndio nashangaa kwanini lazima NIDA? NIDA wenyewe changamoto muhimu si fingerprint? nchi zote duniani kunakuwa na option zaidi ya moja kitambulisho au passport na iko clip moja Rais mwenyewe anasema sio lazima NIDA sana kuna nini nyuma ya pazia tusilolijuwa maana hata yeye kiongozi kapiga uturn.Line haziwezi kufungwa sababu vitambulisho vinavyotambulika kisheria vya kisajilia line ni 4 navyo ni 1. National ID 2. Zanzibar Residents ID 3. Voters ID na 4. Pasaport mtandao utakao fungia line yako unaweza kuushitaki mahakamani na ukakulipa fidia za aina yoyote kutokana na usumbufu waliokuletea wakati wanazima line
Card sio ya lazima sana, ile ya lazima ilishafanyiwa usajili mda mrefu.Nini kilichokua kinakuzuia kusajili mpaka ufikie hatua ya kusubiri laini ifungwe kwanza ndio usajili?
Hahahahahah watu wa JF wako vizuri sana kwa mbwembweBora umeona, ni matapeli tu. Mimi nina line tatu na zote ziko hewani. Hakuna mtu yoyote atanitishia. Nilishasajili huko nyuma, sio lazima nisajili kwa namba ya NIDA fullstop.
Inaonekana watuvutia subira wateja wao
And I am no where emotional mnasikitisha na izi ngonjera zenu, at one point you guys get educated hii ni aibu
Yaani wewe ni popoma. Kaa tu kimya badala ya kubishana na mtu anaeweka logic. What's your logic. Unajua mkongo wa taifa unafanyeje kazi? Unajua nani anaeudhibiti huo mkongo centrally?. Yaani kuna watu mnajifanya mnajuua kumbe mnaanika ujinga mlionao!
Sent using Jamii Forums mobile app
Namba unatumiwa na TCRA au NIDA?
Mpenzi wangu kanitumia ujumbe kupitia line nyingine. Eti bby line imefungiwa so nikipata namba ya NIDA nitakutafuta. Tafadhali NIDA msiniharibie mahusiano yangu. Wajibikeni, kutoa namba tu ni wiki nne camoooooon.... Fanyeni fasta nipate huduma za kibinadamu
Sikiliza wewe,kubali tu kuwa hatuna utaalamu na teknolojia ya kutosha katika mambo ya mawasiliano.Hii inajuliakana kabisa ila unabisha tu bure na kupoteza mb zako
Sent using Jamii Forums mobile app
ivi nyie ndo mna mpango wa kuchukua nchi na hizi fikra zenu? naona hata upinzani hauwafai kwa kwel tafuteni kingine mfanyeAcha kupanick dogo.