Mbona wametoa Hoja 15 zifanyiwe Kazi,we unajua Sheria zaidi kuliko hao.Soma Sheria za kimataifa uelewe.UN inayo haki kuingilia nchi yeyote mwanachama kulinda maisha ya watu wawapo hatarini,kumbuka kuna the Hague tumesaini mikataba sisi ni sehemu ya dunia, pakichafuka watakaoingia gharama za kuhudumia wakimbizi ni hao hao UN na sio wakolomije wao watakuwa zao Rwanda wanatuangalia kwenye tv baada ya kukiwasha.Ni heri jumuia za ulaya zitusaidie kuwafurusha wakoloni weusi popote Africa maana wakicheka nao watavuna wakimbizi nchi zao ulaya.Leo ulaya na USA zinapokea wakimbizi toka Africa ni Kwa sababu ya uzembe wao wa kutokuwashughulikia wakoloni weusi waliokosa maadili na Upendo wa malezi bora toka utotoni Kwa Wazazi wao ikapelekea kuwa madikteta sababu ya uzembe wa malezi wa Wazazi wao.Thus kuna msemo usemao Amani ya dunia imeshikwa na mwanamke kupitia malezi ya mtoto.Madikteta wote dunia ni si Hitler, Mobutu,Mao,Bokasa,Iddi Amini nk ni sababu ya mwanamke kushindwa kuwapa malezi bora wakapelekea kuwa madikteta.