Eti wanaomba wananchi tusimame upande wao kwenye hiyo vita ya MABEBERU
Wamesahau watu wanaowapiga virungu na mabomu ya machozi ndio hao hao (wananchi).
Wanaowatekwa na kupotezwa ndio hao hao (wananchi)
Wanaoporwa korosho ndio hao hao (wananchi)
Wanaowekwa mahabusu kwa matakwa ya mtu ndio hao hao ( wananchi)
Na mengine mengi...
Mimi kama mmoja wa wanachi nitasimama upande wa wanaowaita MABEBERU mpaka hao mbuzi jike washike ujauzito.
Hata sasa wanateseka hivyo hivyo, it makes no difference. Kitakachotokea kwa sasa ni hawa wahuni waliolewa madaraka kuungana na uliowataja.Wewe ni kibaraka ,hebu tuambie utapata faida gani kama tukiwekewa vikwazo. kumbuka wadogo zako,watoto wako na hata mama zako pia wataathirika na vikwazo hivyo
Mbn umetokwa povu sana?we una nguvu kuliko aliyokuwa nayo sadam husein?unajua sadam walimuua kwa kisingizio gani?kuna mwanamke yeyote alijitokeza kumsaidia sadam?we una uwezo gani wa kupambana na EU,MAREKANI na taasisi za fedha za kimataifa?dunia ya sasa inahitaji diplomacy ili kuwa na win win situation sio akili zako za kamasi.serikali ikisema inawaomba wananchi waiunge mkono, tambua inawaomba wananchi wote ambao ni zaidi ya 50 milion
Jf tupo chini ya laki tano na nakuhakikishia tunaoiunga mkono serikali dhidi ya hao mbwa wenu wa kizungu tuko wengi
so wewe simama huko huko kwa bwana zako halafu subiri kitakachotokea
for your information unakumbuka matukio ya MKIRU?
Umeshajiuliza kwanini BBC na gazeti la mwananchi ndio walikua wa kwanza kupata taarifa za kila tukio linapotokea?
unapaswa ujue hii nchi imeshaingiliwa na hao bwana zako na ikashinda.
Tuko tayari kushirikiana na yeyote atakayesaidia kung'oa ccm kwa udi na uvumbaEti wanaomba wananchi tusimame upande wao kwenye hiyo vita ya MABEBERU
Wamesahau watu wanaowapiga virungu na mabomu ya machozi ndio hao hao (wananchi).
Wanaowatekwa na kupotezwa ndio hao hao (wananchi)
Wanaoporwa korosho ndio hao hao (wananchi)
Wanaowekwa mahabusu kwa matakwa ya mtu ndio hao hao ( wananchi)
Na mengine mengi...
Mimi kama mmoja wa wanachi nitasimama upande wa wanaowaita MABEBERU mpaka hao mbuzi jike washike ujauzito.
[emoji23][emoji23]View attachment 970897
Mpaka washike ujauzito!
[emoji23][emoji23] BERU#TEAM MABEBERU MIKOOONO JUUUUU,SEMA WOYOOOO,NIKISEMA MABE SEMA BERU. MABE..BERUUUUView attachment 970807
Anajua kuropoka kumbukumbu zeroMkuu nimekuelewa sana nakuahidi naandaa mabuti na kombati kujiunga na kombania ya EU, WB au US.
...Wewe ni kibaraka ,hebu tuambie utapata faida gani kama tukiwekewa vikwazo. kumbuka wadogo zako,watoto wako na hata mama zako pia wataathirika na vikwazo hivyo
serikali ikisema inawaomba wananchi waiunge mkono, tambua inawaomba wananchi wote ambao ni zaidi ya 50 milion
Jf tupo chini ya laki tano na nakuhakikishia tunaoiunga mkono serikali dhidi ya hao mbwa wenu wa kizungu tuko wengi
so wewe simama huko huko kwa bwana zako halafu subiri kitakachotokea
for your information unakumbuka matukio ya MKIRU?
Umeshajiuliza kwanini BBC na gazeti la mwananchi ndio walikua wa kwanza kupata taarifa za kila tukio linapotokea?
unapaswa ujue hii nchi imeshaingiliwa na hao bwana zako na ikashinda.
Hiyo kauli yako inatofauti gani NA ile ya makaburu was Afrika kusini? NA were in kaburu tu tofauti were uko Tnz wale A.kusini ila wrote in makaburu.Wewe ni kibaraka ,hebu tuambie utapata faida gani kama tukiwekewa vikwazo. kumbuka wadogo zako,watoto wako na hata mama zako pia wataathirika na vikwazo hivyo
....Eti wanaomba wananchi tusimame upande wao kwenye hiyo vita ya MABEBERU
Wamesahau watu wanaowapiga virungu na mabomu ya machozi ndio hao hao (wananchi).
Wanaowatekwa na kupotezwa ndio hao hao (wananchi)
Wanaoporwa korosho ndio hao hao (wananchi)
Wanaowekwa mahabusu kwa matakwa ya mtu ndio hao hao ( wananchi)
Na mengine mengi...
Mimi kama mmoja wa wanachi nitasimama upande wa wanaowaita MABEBERU mpaka hao mbuzi jike washike ujauzito.
Mwambie ashughurikie basi hao EU, benki ya dunia na Marekani maana naona wanatuchezea hawamjui vizuri magufuli raisi wa wanyonge / mzalendo anayetaka watu waishie magerezani.