Baada ya dalili ya vikwazo wanaomba wananchi tuwasaidie

Baada ya dalili ya vikwazo wanaomba wananchi tuwasaidie

serikali ikisema inawaomba wananchi waiunge mkono, tambua inawaomba wananchi wote ambao ni zaidi ya 50 milion

Jf tupo chini ya laki tano na nakuhakikishia tunaoiunga mkono serikali dhidi ya hao mbwa wenu wa kizungu tuko wengi

so wewe simama huko huko kwa bwana zako halafu subiri kitakachotokea

for your information unakumbuka matukio ya MKIRU?

Umeshajiuliza kwanini BBC na gazeti la mwananchi ndio walikua wa kwanza kupata taarifa za kila tukio linapotokea?

unapaswa ujue hii nchi imeshaingiliwa na hao bwana zako na ikashinda.
Mkuu hatuombei mabaya kwenye nchi yetu Ila hao mabeberu wakiamua tuvurugane basi ambao itakuwa rahisi kuwatumia na Ambao wana hasira na utawala ni:
Baadhi ya wafanya biashara
Waliokuwa na vyeti chenye utata na wanafuika(familia/ndugu)
Waliokuwa na vyeti feki na wanufaika
Waliokumbwa na bomoa bomoa
Baadhi ya vijana wasio na ajira
Baadhi ya watumishi wanaotaka waongezewe mishahara
Baadhi ya wasiotaka kukubali kuwa raisi aliyeko madarakani alishinda.
Na wengine ambao hawana hata sababu wao ni bendera Fata upepo. Na hawa wanaotaka mafao yao yote pia si wa kupuuzwa.

Siku zote nimekuwa nikisema raisi ni raisi wa wote, ni raisi wa walio magerezani, raisi wa wanyonge, raisi wa matajiri, raisi wa wazalendo, raisi wa wenye vyeti feki. Ni baba wa wote, unapotoa adhabu au unapofanya maendeleo ambayo lazima Kuwe na kuumizana ni vyema kukumbuka kuwa wewe ni baba wa wote.

Tukumbuke tu kuwa kwenye familia mtoto kiburi anapoadhibiwa kupita kiasi, watoto wazalendo hugeuka na kumtetea ndugu yao.

Sisi wote ni ndugu, njia nzuri ya kuhakikisha mabeberu hayaingilii taifa letu ni kuhakikisha tuna umoja na tunatumia busara kupeana adhabu na kushirikiana. Ndugu wanaopendana hata wakibishana vipi, akitokea mtu wa nje kujaribu kumdhuru mmoja wapo hawezi fanikiwa kamwe, wanapigana hata kufa wote. Ila kama wenyewe kwa wenyewe wanafanyiana mabaya, anayekuja kutoka nje wala hatumii nguvu, anawalisha tu maneno ya uwongo halafu anachukua popcon anaangalia mnavyotoana viungo vyenu.

Sasa swali la kujiuliza ni sisi ni ndugu tunaopendana ukiweka mbali tofauti zetu za kisiasa na makosa tunayofanya? Beberu likija litafanikiwa? Bado tuna nafasi.
 
hata kama watanznia wote tukimuunga mkono jiwe hatuwawezi hawa wazungu, tuangalie tumekosea waoi tujirekebishe, watakao umea ni sis wananchi wa kawaida viongozi umeficha hela zenu uswisi msitudanganye
 
uko sahihi kabisa mkuu

Na ndio maana magufuri hajawahi kumdaharau mtu anayetaka kuharibu amani yetu, hata kama ni mmoja atashughurikiwa.
Nyie endeleeni kuwagawa wananchi mkifikiri mko wengi, hiki ni kipindi cha vita ni kipindi mhimu sana kwa watawala kuwaleta watu pamoja, badala ya kuja na maneno ya kujenga mnakuja na maneno ya shombo,

Wakati wa vita Kagera watu tulichanga mbuzi, ng'ombe, magari kwa ajili ya kusaidia wanajeshi wetu, si kwamba wananchi walikuwa na mali nyingi ila ni kutokana na hotuba za Nyerere za kuwaunganisha wananchi za upendo alizokuwa anazitoa.

Endeleeni kufyekelea mbali wananchi mtakuja kutusimulia, ila nikukumbushe tu mnaopigana nao sio Chadema ni magwiji ya figisu duniani.

Soma hapa,

Tumejitakia, Ukiua upinzani wa ndani unakaribisha upinzani wa nje - JamiiForums

Na hapa.

US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali? - JamiiForums
 
Umeongea point mkuu tatizo kenge haumii mpaka aone damu.
Mkuu hatuombei mabaya kwenye nchi yetu Ila hao mabeberu wakiamua tuvurugane basi ambao itakuwa rahisi kuwatumia na Ambao wana hasira na utawala ni:
Baadhi ya wafanya biashara
Waliokuwa na vyeti chenye utata na wanafuika(familia/ndugu)
Waliokuwa na vyeti feki na wanufaika
Waliokumbwa na bomoa bomoa
Baadhi ya vijana wasio na ajira
Baadhi ya watumishi wanaotaka waongezewe mishahara
Baadhi ya wasiotaka kukubali kuwa raisi aliyeko madarakani alishinda.
Na wengine ambao hawana hata sababu wao ni bendera Fata upepo. Na hawa wanaotaka mafao yao yote pia si wa kupuuzwa.

Siku zote nimekuwa nikisema raisi ni raisi wa wote, ni raisi wa walio magerezani, raisi wa wanyonge, raisi wa matajiri, raisi wa wazalendo, raisi wa wenye vyeti feki. Ni baba wa wote, unapotoa adhabu au unapofanya maendeleo ambayo lazima Kuwe na kuumizana ni vyema kukumbuka kuwa wewe ni baba wa wote.

Tukumbuke tu kuwa kwenye familia mtoto kiburi anapoadhibiwa kupita kiasi, watoto wazalendo hugeuka na kumtetea ndugu yao.

Sisi wote ni ndugu, njia nzuri ya kuhakikisha mabeberu hayaingilii taifa letu ni kuhakikisha tuna umoja na tunatumia busara kupeana adhabu na kushirikiana. Ndugu wanaopendana hata wakibishana vipi, akitokea mtu wa nje kujaribu kumdhuru mmoja wapo hawezi fanikiwa kamwe, wanapigana hata kufa wote. Ila kama wenyewe kwa wenyewe wanafanyiana mabaya, anayekuja kutoka nje wala hatumii nguvu, anawalisha tu maneno ya uwongo halafu anachukua popcon anaangalia mnavyotoana viungo vyenu.

Sasa swali la kujiuliza ni sisi ni ndugu tunaopendana ukiweka mbali tofauti zetu za kisiasa na makosa tunayofanya? Beberu likija litafanikiwa? Bado tuna nafasi.
 
Hilo lipo wazi ila kama hawatabadilika bora tuumie wote tu maana hakuna cha kupoteza.
hata kama watanznia wote tukimuunga mkono jiwe hatuwawezi hawa wazungu, tuangalie tumekosea waoi tujirekebishe, watakao umea ni sis wananchi wa kawaida viongozi umeficha hela zenu uswisi msitudanganye
 
Wewe ni kibaraka ,hebu tuambie utapata faida gani kama tukiwekewa vikwazo. kumbuka wadogo zako,watoto wako na hata mama zako pia wataathirika na vikwazo hivyo
Wewe ndio kibaraka ina maana hauoni kuwa hizo hoja hapo zilizowekwa na wazungu ni za kweli?
 
Mwambie ashughurikie basi hao EU, benki ya dunia na Marekani maana naona wanatuchezea hawamjui vizuri magufuli raisi wa wanyonge / mzalendo anayetaka watu waishie magerezani.
watakaa sawa tu, Kama walishindwa kufanya chechote kipindi jecha anafuta matokeo zanzibar

Unategemea watafanya nini leo?

Tambua ni vigumu mno kuingilia masuala ya ndani ya nchi yeyote hapa duniani ikiwa wananchi wa nchi hiyo wako nyuma ya serikali

mbali na hilo hii nchi ina watu waoga kuliko kawaida, so hata kama wananchi wengi itafikia kipindi wasiwe nyuma ya serikali hakuna kitakachofanyika pia

So hao jamaa uliowataja watakaa sawa tu, isitoshe na wao wapo kibiashara, hawana interest yeyote na wewe mwananchi wa kishumundu huko moshi, anaekujua wewe ni magufuri huyu huyu.
 
After AIDS failure, Homosexuality is a new weapon to “wipe” Africans;

By Dr. Adrian Achilles*, Rhodes, Greece, 15-12-2018:

THE European Union (EU) Parliament recently issued resolutions on a number of issues including those touching upon some African countries like Tanzania. At the outset, let me say, for want of better words, I will be consistently referring to them as “shameful homosexual resolutions.”

I would not take offensive with several EU complain on democracy and press freedoms in Africa because so far there is no agreed unit or measurement of what is good or bad democracy! Is it good democracy that we accept some ruling clichés to stay for a lifetime in Europe in the good name of “King or Queen” and condemn a leader in Africa who stays in power for 15 years?

Is it good democracy that we had the US toppling a democratically elected President of Iraq and support toppling of democratically elected Mohsi of Egypt ? Is it good democracy and protection of free speech that the US is chasing Julian Assange who just enjoyed his freedom of speech by “disseminating” life serving documents about the US government? And as he keeps enjoying his international right to asylum, they keep spying on him!see: Wikileaks founder Julian Assange tells Russia-aligned media the FBI is spying on him

Is it right to condemn African countries when they sanction errand media houses for violation of national laws, or wasting time to brand African countries as anti-press freedom for death of one journalist, while the situation is worse among our own EU members (with a record high in journalist deaths in 2017)? Read: Seven journalists killed in Europe since the start of 2017

I reiterate it is deceiving for me to allow a discussion on those baseless fronts; what remain shocking to me is the new trend and probably a new forced universal norm where Capitalist countries would want to impose their own values that are unacceptable among African traditions.

This is shocking and Africans must be united to protest the sanctity of their mother continent, its values and great moral foundations which remain the hallmark of an African homestead that as a young European volunteer I learnt to appreciate.

I laughed to my tears to listen men and women MPs in Brussels sweating to defend homosexuality-they want to impose immorality, abomination and decide for the Africans. It is this sin that angered God who ultimately decided to burn to ashes the twin cities of Sodom and Gomorrah.

The Bible (for my own ignorance of other holly books) Chapter 20:13 (Leviticus) states: “If a man has sexual relations with a man as one does with a woman, both of them have done what is detestable. They are to be put to death; their blood will be on their own heads.”

With the Biblical guide, the resolutions of this sort are unfortunate and shameful. This is dreadful. Today, EU stoops too low to use its parliament to force an African country to become atheists, forcing it to allow homosexuality? Is this a new norm in the international system?

The cursed practice is not human right the EU members know this, it is against human dignity and biblically, it is punishable by death as cited above. We know human rights are not universal except for those basic rights such as freedom to live, gather and share opinion.

Unfortunately, and more shocking, the ones who took the Bible and introduced the God of heaven to Africa, today, they come again and try to force on Africans to commit a blasphemy that the same God they introduced vehemently forbid. Africa may now need to go and teach Europeans the world of God.

This is heinous. Homosexuality is devilish. I would clearly call it, a mockery to the country’s sovereignty. It is obviously upholding the grievous mistakes committed against Africa by the European powers at the 1884-85 Berlin Conference.

I wish I was a native African. Why can’t Africa speak out and vehemently oppose this generational aggression? For how long will it continue? Is it because of aid? It is time Africa reconsidered its position.

Why is it that the African Union (AU) Secretariat and member states are quite, taking in orders and reprimands from EU as if they were their provinces?

How can they choose and force priorities for the African countries? This is wrong. If Africa does not refuse this state of affairs, it will never develop. They say Tanzania’s 30 years is the harshest sentence to homosexuals in the world. Other countries have death penalties and in others, they languish in jail all their life. Can’t you establish the motive here? Which one is the harshest between death, life sentence and 30 years?

EU Resolution Presents A Neo-Control Strategy
The EU “shameful homosexual resolutions,” requiring African countries such as Tanzania to repeal laws criminalizing homosexuality is not new for countries which focused on their priorities to bring development for her people.

This is obviously a pretext to thwart Tanzania’s speed development outcomes that every keen observer can witness. See:

They use same old tricks: they used the human rights card to discredit Col. Gaddafi of Libya, Cuba’s Fidel Castro, Palestine’s Yasser Arafat. Iraqi’s Saddam Hussein and others who choose to define their needs against the West’s neo-colonialist interests.

Former South African President Nelson Mandela told Ken Adelman of the Institute of Contemporary Studies in US that: “ANC was an independent organization and their attitude towards others is determined by their attitudes towards them.” This should be the position.

Mandela told him: “we have our struggle which we are conducting,” this was a perfect answer. How can the Europeans choose priorities for Africa while they have their own struggles? Are these not the ones who colonized Africa? Nevertheless, there is a UN charter that restricts such tendencies.

The resolutions, therefore, are against UN Charter on respect for the principles of national sovereignty and non-interference in the internal affairs of states.

On 9 June, 2016, the European Court of Human Rights (ECHR) unanimously confirmed the non-existence of a right to gay marriage, but today same EU countries would defy their own “rule of law!”

“… the European Court of Human Rights unanimously recalled that the European Convention on Human Rights does not include the right to marriage for homosexual couples, neither under the right to respect for private and family life (art. 8) nor the right to marry and to found a family (art. 12),” the decision read.

Global campaign ad against homosexuality.
It recalled that the question of same-sex marriage is “subject to the national laws of the Contracting States” and Article 12 confirmed the traditional concept of marriage, which is the union between a man and a woman and "does not impose an obligation on the governments of the Contracting States to grant same-sex couples access to marriage."

If the EU itself has no right to force a member state to uphold homosexuality, why does its Parliament full of political flatterers want to impose it on Tanzanians? I appeal to my brothers and sisters, especially in the countries I volunteers fo years like South Africa, Tanzania, Uganda and Egypt to remain steadfast and uphold their culture.

AIDS was man made, is homosexuality another weapon?
Claims are abound that AIDS was manufactured in laboratory to wipe away Africans, it has failed. Africa needs to build capacity in science. Now, homosexuality is being forced on Tanzania and Africa in general. It is a menace. It is a new AIDS intended to “wipe” African intellectuals, youthful resources and drain them into derision.

Homosexuality will deny Tanzania and Africa of the workforce. No children will be born any more. The workers will be imported from abroad. Traditional family life will no longer be there, they African smiles and happiness will be curtailed. The population will seriously drop. Immorality will be rampant and curses will be all around. Are you ready for such a calamity?

*The author is a social volunteer who worked in several African countries for over 10 years and has since 2010 returned to his native Greece.

Umekopi makorokoro meengi lakini umeshindwa kueleza umuhimu nna ulazima wa msaada ya hao Mabeberu kwenu nyie mbuzi jike as long as bado mnahitaji msaada yao lazima Mabeberu yataendelea kuwapanda hadi mshike mimba!
 
Wehu hao eti wanajificha kwenye kivuli cha ushoga.. sasa subiri tukose wote.
Wewe ndio kibaraka ina maana hauoni kuwa hizo hoja hapo zilizowekwa na wazungu ni za kweli?
 
Mngetulia basi muone kama watu wasingetoka road.. kwani ilikua vita si maandamano ya amani tu.? Polisi walizunguka nchi nzima kufanya nini sasa [emoji23]

Polisi ni kazi yao kumlinda muandamanaji, hata wao walishangaa kwanini hamkutoka.
 
Ujue kuna watu wanadhani labda ni utani. Choko choko zinaanzaga hivihivi. Alafu ikumbukwe hao mabeberu wao wanakua hawana cha kupoteza nyie mkizinguana.
 
Hawawezi ingilia maswala ya ndani nakubaliana na wewe ..hilo hata UN hawawezi kulifanya maana ni kukiuka sheria za kimataifa.. na je vipi kuhusu misaada nao utawapangia wakupe au ni sheria kuwa lazima wakupe?
watakaa sawa tu, Kama walishindwa kufanya chechote kipindi jecha anafuta matokeo zanzibar

Unategemea watafanya nini leo?

Tambua ni vigumu mno kuingilia masuala ya ndani ya nchi yeyote hapa duniani ikiwa wananchi wa nchi hiyo wako nyuma ya serikali

mbali na hilo hii nchi ina watu waoga kuliko kawaida, so hata kama wananchi wengi itafikia kipindi wasiwe nyuma ya serikali hakuna kitakachofanyika pia

So hao jamaa uliowataja watakaa sawa tu, isitoshe na wao wapo kibiashara, hawana interest yeyote na wewe mwananchi wa kishumundu huko moshi, anaekujua wewe ni magufuri huyu huyu.
 
Mkuu hatuombei mabaya kwenye nchi yetu Ila hao mabeberu wakiamua tuvurugane basi ambao itakuwa rahisi kuwatumia na Ambao wana hasira na utawala ni:
Baadhi ya wafanya biashara
Waliokuwa na vyeti chenye utata na wanafuika(familia/ndugu)
Waliokuwa na vyeti feki na wanufaika
Waliokumbwa na bomoa bomoa
Baadhi ya vijana wasio na ajira
Baadhi ya watumishi wanaotaka waongezewe mishahara
Baadhi ya wasiotaka kukubali kuwa raisi aliyeko madarakani alishinda.
Na wengine ambao hawana hata sababu wao ni bendera Fata upepo. Na hawa wanaotaka mafao yao yote pia si wa kupuuzwa.

Siku zote nimekuwa nikisema raisi ni raisi wa wote, ni raisi wa walio magerezani, raisi wa wanyonge, raisi wa matajiri, raisi wa wazalendo, raisi wa wenye vyeti feki. Ni baba wa wote, unapotoa adhabu au unapofanya maendeleo ambayo lazima Kuwe na kuumizana ni vyema kukumbuka kuwa wewe ni baba wa wote.

Tukumbuke tu kuwa kwenye familia mtoto kiburi anapoadhibiwa kupita kiasi, watoto wazalendo hugeuka na kumtetea ndugu yao.

Sisi wote ni ndugu, njia nzuri ya kuhakikisha mabeberu hayaingilii taifa letu ni kuhakikisha tuna umoja na tunatumia busara kupeana adhabu na kushirikiana. Ndugu wanaopendana hata wakibishana vipi, akitokea mtu wa nje kujaribu kumdhuru mmoja wapo hawezi fanikiwa kamwe, wanapigana hata kufa wote. Ila kama wenyewe kwa wenyewe wanafanyiana mabaya, anayekuja kutoka nje wala hatumii nguvu, anawalisha tu maneno ya uwongo halafu anachukua popcon anaangalia mnavyotoana viungo vyenu.

Sasa swali la kujiuliza ni sisi ni ndugu tunaopendana ukiweka mbali tofauti zetu za kisiasa na makosa tunayofanya? Beberu likija litafanikiwa? Bado tuna nafasi.

Nimekuelewa mkuu.
 
Umekopi makorokoro meengi lakini umeshindwa kueleza umuhimu nna ulazima wa msaada ya hao Mabeberu kwenu nyie mbuzi jike as long as bado mnahitaji msaada yao lazima Mabeberu yataendelea kuwapanda hadi mshike mimba!
[emoji23][emoji23][emoji23] ni mwendo wa mimba tu si tunasubiri wazaliane tule supu mkuu
 
Back
Top Bottom