Baada ya dalili ya vikwazo wanaomba wananchi tuwasaidie

Eti wanaomba wananchi tusimame upande wao kwenye hiyo vita ya MABEBERU

Wamesahau watu wanaowapiga virungu na mabomu ya machozi ndio hao hao (wananchi).

Wanaowatekwa na kupotezwa ndio hao hao (wananchi)

Wanaoporwa korosho ndio hao hao (wananchi)

Wanaowekwa mahabusu kwa matakwa ya mtu ndio hao hao ( wananchi)

Na mengine mengi...

Mimi kama mmoja wa wanachi nitasimama upande wa wanaowaita MABEBERU mpaka hao mbuzi jike washike ujauzito.
Mimi niko pamoja na Mabeberu 100%
 
Mkuu,hao mbuzi jike watakaoshika adabu ni watanzania wote hususani sisi wananchi wa kawaida wakati mtukufu na kundi lake wakila maisha.Huu muziki hauhitaji hasira,bali hekima na busara kubwa kitu ambacho ni tatizo kubwa kwa tuliowaamini.
 
Mkishika adabu ndo umsukule utawatoka mtaimba wimbo mmoja wa MUSSA. Kenge haelewi hadi sikio litoe damu.mtaelewa tu hata Kwa damu.
Mkuu,hao mbuzi jike watakaoshika adabu ni watanzania wote hususani sisi wananchi wa kawaida wakati mtukufu na kundi lake wakila maisha.Huu muziki hauhitaji hasira,bali hekima na busara kubwa kitu ambacho ni tatizo kubwa kwa tuliowaamini.
 
Mbuzi jike watavaa dela wameingia cha stand,harufu haiwaachi Salama
 
Wewe ni kibaraka ,hebu tuambie utapata faida gani kama tukiwekewa vikwazo. kumbuka wadogo zako,watoto wako na hata mama zako pia wataathirika na vikwazo hivyo
Aliesababisha nani?
 
Muulizeni Mugabe ndo mtajua kama Jiwe ana ubavu wa kupambana na hawa mabeberu. Kwa kuwa bado yuko hai mwulizeni tu.
 
Mko wengi, hivi tukupe Visa muda huu ukatuwakilishe EU na ushahidi wa hayo mauaji kwa mfano, hivi wewe personally utabeba nini?
Kumbe hao wamefia usingizini?? Kazi mliyoomba ni kulinda wananchi na mali zao
 
Eti wanaomba wananchi tusimame upande wao kwenye hiyo vita ya MABEBERU

Wamesahau watu wanaowapiga virungu na mabomu ya machozi ndio hao hao (wananchi).

Wanaowatekwa na kupotezwa ndio hao hao (wananchi)

Wanaoporwa korosho ndio hao hao (wananchi)

Wanaowekwa mahabusu kwa matakwa ya mtu ndio hao hao ( wananchi)

Na mengine mengi...

Mimi kama mmoja wa wanachi nitasimama upande wa wanaowaita MABEBERU mpaka hao mbuzi jike washike ujauzito.
Uraia wako inabidi uchunguzwe si bure. na. Haya maneno yako ungeyatamka ukiwa ulaya ungeitwa gaidi na ungetafutwa kila kona
 
Ukweli utatuweka huru.Huwezi kumnyanyasa MTU halafu utegemee huyo aje kusimama upande wako,MTU wa mtindo huo Afya ya akili itakuwa imeteteleka.
 
Hao unaosemea wanateswa na kunyanyaswa ni kama 4% ya wananchi wote, hao wengine 96% wanaendelea na maisha yao ya kila siku kama kawaida

Halafu Duniani hakuna haki, haki labda mbinguni

Maswala ya kunyanyasana sio serikali tu haya mambo yanaanzia ngazi za chini kama familia na kurithishwa hadi ngazi za juu za uongozi

Na

hayawezi kuisha

"Kila mbuzi atakula kwa urefu wa kwamba yake"
 
Eti wanaomba wananchi tusimame upande wao kwenye hiyo vita ya MABEBERU

Wamesahau watu wanaowapiga virungu na mabomu ya machozi ndio hao hao (wananchi).

Wanaowatekwa na kupotezwa ndio hao hao (wananchi)

Wanaoporwa korosho ndio hao hao (wananchi)

Wanaowekwa mahabusu kwa matakwa ya mtu ndio hao hao ( wananchi)

Na mengine mengi...

Mimi kama mmoja wa wanachi nitasimama upande wa wanaowaita MABEBERU mpaka hao mbuzi jike washike ujauzito.
Niko na Mabeberu bega kwa bega kama Samaki na Maji.
Mimi pia ni BEBERU
 
serikali ikisema inawaomba wananchi waiunge mkono, tambua inawaomba wananchi wote ambao ni zaidi ya 50 milion

Jf tupo chini ya laki tano na nakuhakikishia tunaoiunga mkono serikali dhidi ya hao mbwa wenu wa kizungu tuko wengi

so wewe simama huko huko kwa bwana zako halafu subiri kitakachotokea

for your information unakumbuka matukio ya MKIRU?

Umeshajiuliza kwanini BBC na gazeti la mwananchi ndio walikua wa kwanza kupata taarifa za kila tukio linapotokea?

unapaswa ujue hii nchi imeshaingiliwa na hao bwana zako na ikashinda.

Huu upuuzi ulioongea hapa ndio unafanya mchezee box la kura kwa maslahi ya ccm? Unadhani hatukuona mabox ya kura yakitolewa vituoni kwa uratibu wa jeshi la polisi na kwenda kujazwa kura za ccm? Hayo yaliyotokea mkiru bunge lilitaka kujadili mkagoma, mligoma nini kama hamkuwa na hila katika yaliyokuwa yanafanyika?
 
Haya uliyoandika yalitokea wapi?

halafu huwa sijisikii amani ninapofanya argumentation na mtu anaetumia matusi.
 
Nilishawaambia siku nyingi sana kuwa kuna siku watakuja kuwakumbuka kina Mbowe wanaowaweka mshabusu bila sababu za msingi.
Kwa ajili tu ya ulevi wa madaraka wa mtu mmoja, ambaye tumempa dhamana ya kuwa kamanda-in-chifu.......

Kumbe ukamanda wenyewe anau -abuse power, kwa kuonyesha chuki yake ya waziwazi kabisa, dhidi ya chama kikuu cha upinzani nchini cha Chadema.
 
Haya uliyoandika yalitokea wapi?

halafu huwa sijisikii amani ninapofanya argumentation na mtu anaetumia matusi.

We ni mpuuzi unayejifanya una adabu, rejea neno lako mabwana zenu wa kizungu. Nimekupa maneno yanayoendana na aina yako ya uandishi. Narudia tena, ww ni mpuuzi unayejifanya una nidhamu. Jifunze kujenga hoja kistaarabu ili ujibiwe kistaarabu, kinyume na hapo tutakuchomekea flash mbovu.
 
Sasa kuna shida gani nikiwaita hao jamaa mabwana zako, kwani wewe ni mwanaume?

Au kuolewa hutaki binti?
 
Back
Top Bottom