radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,292
Mkuu mabeberu ni wale wanaume waliokija ikulu kutuahidi kishika uchuba?Ni bora kusimama na mabeberu kuliko kusimama na mkoloni mweusi.
Mkuu mabeberu ni wale wanaume waliokija ikulu kutuahidi kishika uchuba?Ni bora kusimama na mabeberu kuliko kusimama na mkoloni mweusi.
Wewe ni kibaraka ,hebu tuambie utapata faida gani kama tukiwekewa vikwazo. kumbuka wadogo zako,watoto wako na hata mama zako pia wataathirika na vikwazo hivyoEti wanaomba wananchi tusimame upande wao kwenye hiyo vita ya MABEBERU
Wamesahau watu wanaowapiga virungu na mabomu ya machozi ndio hao hao (wananchi).
Wanaowatekwa na kupotezwa ndio hao hao (wananchi)
Wanaoporwa korosho ndio hao hao (wananchi)
Wanaowekwa mahabusu kwa matakwa ya mtu ndio hao hao ( wananchi)
Na mengine mengi...
Mimi kama mmoja wa wanachi nitasimama upande wa wanaowaita MABEBERU mpaka hao mbuzi jike washike ujauzito.
Tulipokuwa jeshini tulifundishwa kuwa kwenye uwanja wa vita chochote mbele yako ni silaha hata mchanga unaoukanyaga kwa dharau unaweza kukuokoa, kwa hiyo usimdharau hata mtu mmoja, huyo mmoja unayemuona wa nini inawezekana ndiye turufu yako ya ushindi.serikali ikisema inawaomba wananchi waiunge mkono, tambua inawaomba wananchi wote ambao ni zaidi ya 50 milion
Jf tupo chini ya laki tano na nakuhakikishia tunaoiunga mkono serikali dhidi ya hao mbwa wenu wa kizungu tuko wengi
so wewe simama huko huko kwa bwana zako halafu subiri kitakachotokea
for your information unakumbuka matukio ya MKIRU?
Umeshajiuliza kwanini BBC na gazeti la mwananchi ndio walikua wa kwanza kupata taarifa za kila tukio linapotokea?
unapaswa ujue hii nchi imeshaingiliwa na hao bwana zako na ikashinda.
[emoji23][emoji23][emoji39][emoji23] noma sanaKisha kiraja akawa haelewi lugha wakamuacha Msamvu terminal [emoji23][emoji23]
Ninachoshukuru ni kwamba nyinyi ni mashujaa wa nyuma ya keyboard.Wewe baki na Mme wenu kipara kwakua anawafiiksha kileleni na hela juu.
Tunao pambana na hali zetu tupo upande wa pili tukirusha grenade.
Faida ntayopata ni kuwa nishavunjiwa nyumba bila malipo., nakatwa 25% ya mafao tena kwa kejeri ... hivyo bora iwe mbwai tu sina cha kupotezaWewe ni kibaraka ,hebu tuambie utapata faida gani kama tukiwekewa vikwazo. kumbuka wadogo zako,watoto wako na hata mama zako pia wataathirika na vikwazo hivyo
uko sahihi kabisa mkuuTulipokuwa jeshini tulifundishwa kuwa kwenye uwanja wa vita chochote mbele yako ni silaha hata mchanga unaoukanyaga kwa dharau unaweza kukuokoa, kwa hiyo usimdharau hata mtu mmoja, huyo mmoja unayemuona wa nini inawezekana ndiye turufu yako ya ushindi.
Keyboard ilisababisha muandamane na majasho yote tarehe 26/04/2018.
Ok sisi tuko nyuma ya keyboard tunaangalia jinsi wanaume wanavyowanyoosha.Ninachoshukuru ni kwamba nyinyi ni mashujaa wa nyuma ya keyboard.
Mwambie ashughurikie basi hao EU, benki ya dunia na Marekani maana naona wanatuchezea hawamjui vizuri magufuli raisi wa wanyonge / mzalendo anayetaka watu waishie magerezani.uko sahihi kabisa mkuu
Na ndio maana magufuri hajawahi kumdaharau mtu anayetaka kuharibu amani yetu, hata kama ni mmoja atashughurikiwa.
Nayaona ya gaddafi
Hwahwahwa hapa ndio nyerere alitukomesha, alituachia uoga, sisi tukauita amaniOk sisi tuko nyuma ya keyboard tunaangalia jinsi wanaume wanavyowanyoosha.
Nyuma ya mapambano yenu kuna agenda yenye sumu kali ya ubaguzi na kudharau Watanzania wenzenu. Wacha sisi wengine tusimame na Wasukuma.Wasukuma wachunga ng'ombe wacha waipate sasa japo tutaumia wote.
True aiseNi bora kusimama na mabeberu kuliko kusimama na mkoloni mweusi.