Baada ya dalili ya vikwazo wanaomba wananchi tuwasaidie

Baada ya dalili ya vikwazo wanaomba wananchi tuwasaidie

Nikisikia huu jumbo wa mabeberu moyo unaniuma; Tanzania yangu nini imekupata ukageuka kituko?
 
Tatizo ni kuwa h ao wazungu wakiwasema madhaifu yenu mnawaita kila aina ya majina mabaya, ila wakija na kibaba cha unga unawasifia sifa zote. Kumbuka kipindi cha makinikia rais wenu alivyokuwa anawatukana wazungu, lakini walipomtembelea ikulu alitamani hata kuwalamba miguu na kuishia kuwaiita kuwa wao ndio wanaume
Kuna jitu moja linaitwa msiba Jana limejiharishia na kunya youtube
 
Tatizo ni kuwa h ao wazungu wakiwasema madhaifu yenu mnawaita kila aina ya majina mabaya, ila wakija na kibaba cha unga unawasifia sifa zote. Kumbuka kipindi cha makinikia rais wenu alivyokuwa anawatukana wazungu, lakini walipomtembelea ikulu alitamani hata kuwalamba miguu na kuishia kuwaiita kuwa wao ndio wanaume

Mkuu hicho ndio alipaswa kufanya na hiyo ndio African diplomacy

Ningemshangaa endapo wangekuja halafu akawakwepa, ilhali walikuja sababu yake
 
Tatizo ni kuwa h ao wazungu wakiwasema madhaifu yenu mnawaita kila aina ya majina mabaya, ila wakija na kibaba cha unga unawasifia sifa zote. Kumbuka kipindi cha makinikia rais wenu alivyokuwa anawatukana wazungu, lakini walipomtembelea ikulu alitamani hata kuwalamba miguu na kuishia kuwaiita kuwa wao ndio wanaume
Usahili wa Uvccm ni kukaa robo saa bila kutawaza kinyesi.. hivyo yeyote anaweza ndomana kichwani gia box hazisomi hao watu mkuu
 
Wewe ni kibaraka ,hebu tuambie utapata faida gani kama tukiwekewa vikwazo. kumbuka wadogo zako,watoto wako na hata mama zako pia wataathirika na vikwazo hivyo
Raisi nae anazingua atalifikishaje taifa katka hali hii. We mpk kuwekewa vikwazo hujaona tu mapungufu yako. Kiukweli TZ hakuna Raisi bali, raisi gani anawakomoa raia wake.
 
Tatizo ukweli katika hoja 14 tunauacha tunashikiria hoja moja ya ushoga.
Halafu hakuna pahali EU wala Marekani wametulazimisha kuukubal ushoga, walichosema ni kuwa watu wanaojihusisha na mambo hayo walinyanyaswe. Ila kwa kuwa ccm wamebanwa kende wanawadanganya watu wasiokuwa na uelewa au wasiokuwa na uwezo wa kuaccess mitandao
 
Eti tumuombee tu basi ila maendeleo tutajijua wenyewe.
Raisi nae anazingua atalifikishaje taifa katka hali hii. We mpk kuwekewa vikwazo hujaona tu mapungufu yako. Kiukweli TZ hakuna Raisi bali, raisi gani anawakomoa raia wake.
 
Ccm ni mzigo kwa taifa hili.
Halafu hakuna pahali EU wala Marekani wametulazimisha kuukubal ushoga, walichosema ni kuwa watu wanaojihusisha na mambo hayo walinyanyaswe. Ila kwa kuwa ccm wamebanwa kende wanawadanganya watu wasiokuwa na uelewa au wasiokuwa na uwezo wa kuaccess mitandao
 
Mimi nitasimamia nao (uzalendo) ila namimi nawataka watuambie kwenye media yale maazimio mengine 14 yaliyobaki kama kikwazo cha misada badala ya kutuleta moja tu.
 
1545026962904.png
 
Team mabeberu vs team Mbuzi jike,heri niwe team mabeberu kuliko wakoloni weusi.
 
Eti tutakuwa kama Libya au Iraq au Syria
Hii mijamaa mijinga kweli
 
Eti wanaomba wananchi tusimame upande wao kwenye hiyo vita ya MABEBERU

Wamesahau watu wanaowapiga virungu na mabomu ya machozi ndio hao hao (wananchi).

Wanaowatekwa na kupotezwa ndio hao hao (wananchi)

Wanaoporwa korosho ndio hao hao (wananchi)

Wanaowekwa mahabusu kwa matakwa ya mtu ndio hao hao ( wananchi)

Na mengine mengi...

Mimi kama mmoja wa wanachi nitasimama upande wa wanaowaita MABEBERU mpaka hao mbuzi jike washike ujauzito.
Nani kawaomba? hahahaha kwani jf kuna wananchi wangapi?
 
Wanatumia nguvu kuliko akili wameingia kichwa kichwa mtego wa Mbowe wakauvaa kumuweka ndani,kumbe ulikuwa mtego na mabeberu yameona hali halisi plus matamko ya wataozea jela.Si kwamba Mbowe ajui nn matokeo ya kuruka dhamana,mahakamani amecheza zaidi ya miaka 20 alijua alichokifanya baada ya kutoka ulaya,sasa wamemmeza mzima mzima wameingia kingi.Kuja mjini mkubwa napo ni mzigo!
Nilishawaambia siku nyingi sana kuwa kuna siku watakuja kuwakumbuka kina Mbowe wanaowaweka mshabusu bila sababu za msingi.
 
watakaa sawa tu, Kama walishindwa kufanya chechote kipindi jecha anafuta matokeo zanzibar

Unategemea watafanya nini leo?

Tambua ni vigumu mno kuingilia masuala ya ndani ya nchi yeyote hapa duniani ikiwa wananchi wa nchi hiyo wako nyuma ya serikali

mbali na hilo hii nchi ina watu waoga kuliko kawaida, so hata kama wananchi wengi itafikia kipindi wasiwe nyuma ya serikali hakuna kitakachofanyika pia

So hao jamaa uliowataja watakaa sawa tu, isitoshe na wao wapo kibiashara, hawana interest yeyote na wewe mwananchi wa kishumundu huko moshi, anaekujua wewe ni magufuri huyu huyu.
Mbona wametoa Hoja 15 zifanyiwe Kazi,we unajua Sheria zaidi kuliko hao.Soma Sheria za kimataifa uelewe.UN inayo haki kuingilia nchi yeyote mwanachama kulinda maisha ya watu wawapo hatarini,kumbuka kuna the Hague tumesaini mikataba sisi ni sehemu ya dunia, pakichafuka watakaoingia gharama za kuhudumia wakimbizi ni hao hao UN na sio wakolomije wao watakuwa zao Rwanda wanatuangalia kwenye tv baada ya kukiwasha.Ni heri jumuia za ulaya zitusaidie kuwafurusha wakoloni weusi popote Africa maana wakicheka nao watavuna wakimbizi nchi zao ulaya.Leo ulaya na USA zinapokea wakimbizi toka Africa ni Kwa sababu ya uzembe wao wa kutokuwashughulikia wakoloni weusi waliokosa maadili na Upendo wa malezi bora toka utotoni Kwa Wazazi wao ikapelekea kuwa madikteta sababu ya uzembe wa malezi wa Wazazi wao.Thus kuna msemo usemao Amani ya dunia imeshikwa na mwanamke kupitia malezi ya mtoto.Madikteta wote dunia ni si Hitler, Mobutu,Mao,Bokasa,Iddi Amini nk ni sababu ya mwanamke kushindwa kuwapa malezi bora wakapelekea kuwa madikteta.
 
Back
Top Bottom