Baada ya corona msiwanyanyase walimu

Baada ya corona msiwanyanyase walimu

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
15,819
Reaction score
40,316
Viongozi wa serikali baada ya shule kufunguliwa msije mkawanyanyasa walimu kwa kauli za maudhi.

Mnakuwa wavivu mbona mlikaa nyumbani bure huku mnalipwa.

Mnaidaidai serikali madeni ya malimbikizo mbona mlikuwa mnalipwa bure.

Juzi tu mlikuwa nyumbani Leo mmeanza kuomba omba ruhusa.

Wenzenu afya walipigana na korona hawakulala nyumbani kama nyie.

N.k

Hizo ni kauli zitakazo tawala Sana kwa wakuu wa idara huko kwenye halmashauri dhidi ya walimu.

Poleni in advance walimu mtayasikia sana haya na mtanikumbuka.

Superbug.
 
Kiongozi yoyote atakayewaletea zengwe Kama hilo mpeni makavu live kwamba nyie sio mlioleta korona msiwe wanyonge mi nawaambia walimu nyie ndio mtakuwa punching bag ya wanasiasa na watendaji wapenda sifa huko halmashauri.
 
Kama wewe ni mwalimu jiandae kuwapa makavu ili walimu wengine waone mfano. Au veeepeee!!?
 
Back
Top Bottom